JESHI LA POLISI ZANZIBAR LILIVYO FANYA MSAKO “WENGINE WAMEKIMBIA”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 36

  • @Humble.....
    @Humble..... 3 роки тому +3

    kw tulipofikia stoshirikiana na police mpaka wajirekebishe dhidi ya raia.....

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 3 роки тому +1

    Wapeni mzigo wao vibayani hivyo mbavyofanya si wawalipe tu muwaachie mzigo wao

  • @hijjafakky1381
    @hijjafakky1381 3 роки тому +1

    Hv hayo marobota mutayachoma moto au tugawane

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 3 роки тому +5

    Mimi mwenyewe nakuja kufanya hayo magendo sawa¿kwa sababu nyinyi wenyewe m'mefanya magendo kupokonya Serekali ya Wazanzibar sawa¿nyi Laana ya Allah iwe juu yenu...

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 3 роки тому +2

    Ni ngumu kwa wananchi kutoa ushirikiano kwa serikali kwa sababu serikali yenyewe haitendi haki kwa wananchi mlituekea mazombi wakatuua na kututia vilema na mkiulizwa mnasema hamjawatuma ss kivipi tutoe ushirikiano

  • @aminaomar9675
    @aminaomar9675 3 роки тому +3

    Sasa hii yote ni Tanzania magendo hayo yanatokea wapi

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 3 роки тому +1

    Punguzeni tozo wekeni tozo za kawaida nyie hivovifaida vya wafanya biashara mwavicgua vyote mtu anawatoto mke wazee wote wanamtegemea punguzeni kodi ili wananchi nao wawe waadilofu inshaallah

  • @abdul-razakkhamisjuma4716
    @abdul-razakkhamisjuma4716 3 роки тому +4

    Sasa kumbe vitenge mi nadhani bangi unga no muna watoza ushuru mkubwa ndio mana

    • @abdul-razakkhamisjuma4716
      @abdul-razakkhamisjuma4716 3 роки тому

      Lakini haya yote munayataka nyinyi wenyewe wazanzibari ni wanafiki ngoja muonyeshwe kwasababu zanzibar ni zanzibar na bara ni bara kwanini sasa munakubali kunyanyaswa nchi yenu wenyewe et serekali imefanikiwa kuwakamata wahujumu uchumi et watu wa magendo kisa nn vitenge wangapi wanaingia unga ndani yaserekali muna wajuwa kwasababu eti nimuheshimiwa hawawezi kumtaja munaonea watu sibora basi aji obama aongoze nchi wallah nadani ya mwaka moja tu inaka sawa nchi inaongozwa na mtu mweupe bwana asikudanganye mtu wesi tushukuruni tu sisi niwatumwa ekeni u ccm pembeni huu simuda wakuwa naditikadi za kichama nimuda wa kukubaliana mukaunda Zanzibar yenu bombo claaa

    • @abdul-razakkhamisjuma4716
      @abdul-razakkhamisjuma4716 3 роки тому

      Wallah aibu serekali ya Zanzibar kutowa kitu Zanzibar kwenda dar muna daiwa ushuru fuck

  • @suleimankhamis8298
    @suleimankhamis8298 3 роки тому +1

    dah msingi umekwenda na maji

  • @bihterziyagil3821
    @bihterziyagil3821 3 роки тому +3

    Hamuna kazi nyinyi, tafuteni kazi za kufanya

  • @hashimalsaadat4905
    @hashimalsaadat4905 3 роки тому +2

    Kumbe Kutoka Kutoka znz Kwenda Bara Kwatakiwa Ushuru

  • @shemsaomarsuleiman8600
    @shemsaomarsuleiman8600 3 роки тому +2

    Uadilifu mnaujua nyie wapeni vitenge vyao wakatafute riski mnaridhika mkiwaona watu vijiweni wala unga?? Nchi moja hii

  • @zanzibarsmzenji
    @zanzibarsmzenji 3 роки тому +1

    Mungewakamata Wale wanaoiba Kura.munaroho mbaya

  • @zubeirsalum128
    @zubeirsalum128 3 роки тому

    SI tunasikia nchi hii ni moja hayo magendo ni ya aina gani hayo

  • @MohamedAli-ds8uz
    @MohamedAli-ds8uz 3 роки тому +1

    Tatizo Zanzibar mnafanya tuzo kubwa

  • @seifabdulwahid4579
    @seifabdulwahid4579 3 роки тому +1

    Ww mwenyewe mhalifu

  • @seifabdulwahid4579
    @seifabdulwahid4579 3 роки тому +1

    Serikali ya dhulma

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 3 роки тому +1

    Doria gani iyo mpaka kamanda yuko doria? Mmepewa tarifa ndio mmejitoa

  • @chikushija5407
    @chikushija5407 3 роки тому +1

    Hii dunia sio mbaya ila sisi binadam ndio wabaya hatuhitaji kumuona gulani kafanikiwa ndio maana na hiyo tozo serikali haitaki kumuona mnyonge kafanikiwa maana wanyonge ndio tunao umia pesa unaweka kwenyesim kuhogia nyumbani kibubu wala unga vibaka watakipitia huku serikari nao wanawaza hiyo iwetozo kwao kubakia asee hii dunia sio mbaya sisi binadam ndio wabaya ila Alhamdulilahi nikinga tosha tusemeni alhamdulilahi

    • @rehemamost444
      @rehemamost444 3 роки тому

      Mumezid tozo bandalimi zanz, nililipa,80alfu, nafika bandali ya dar naambiwa ,laki2, box hizohizo10 hata huruma na maskin Hanna uliuliza, mama anataka kodi, ndo Tunavyojibiwa,

  • @abdul-razakkhamisjuma4716
    @abdul-razakkhamisjuma4716 3 роки тому

    Tokeni apa mbona kura mulizo ziiba hamukuzikamata unafiki tu sasa ondoweni ushuru mkubwa basi

  • @kreamagdfsa1697
    @kreamagdfsa1697 3 роки тому +1

    Stak

  • @allymuhammad8956
    @allymuhammad8956 3 роки тому +1

    Haahahahaha

  • @seifabdulwahid4579
    @seifabdulwahid4579 3 роки тому +1

    Unasema nn ww mashavu km Mimba ya panya

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 3 роки тому +1

    Kuna mtu kachoma apo

    • @yasalaam590
      @yasalaam590 3 роки тому +1

      Yawezekana hao wenye wivu na roho mbaya sababu hapo hapo yote tz kwa nini ushuru uwe juu?