MZEE WA UPAKO ATAADHALISHA VIKALI WATANZANIA BAADA YA KUSAINI DP WORLD

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 вер 2024
  • Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda.
    Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia runinga ya channel ten na zaidi ya watu milioni 1.7 wanaungana na Mzee wa upako kupitia majukwaa yake ya mitandao ya kijamii ulimwenguni.
    Mzee wa upako anaweza kusikika 24/7 kwenye channel zake za UA-cam Mzee wa upako na TUTASHINDA CHURCH. Ungana na Askofu Antony Lusekelo kwenye Instagram Mzeewaupakotz.

КОМЕНТАРІ • 26

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 11 місяців тому

    Ahsante sana baba Mungu akupe hekima na ujasili wakuwa muwazi kwa kile unacho amini

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 11 місяців тому +2

    KATIKA CHAWA WAHARIBIFU WA TANZANIA HII WEWE MZEE WA UPAKO NI MOJA YA CHAWA HATARI SANA KWA MAANA UNAUJUA UKWELI LAKINI UMECHAGUA UONGO,😭😭😭😭😭😭😭😭😭💚

    • @simonmwasile4377
      @simonmwasile4377 11 місяців тому

      Pambaf ulishindwa kumzika hata mamakp,lichawa likubwa

    • @leothardngonya4842
      @leothardngonya4842 11 місяців тому

      Wewe ndiye chawa usiyejitambua. Wenzio wanalipwa wanasafiri nje , hata wengine wamefugwa huko. Unabwabwaja hata Passport ya kutorokea nje huna. Nyambafuu. Gaidi sasa ameshatoroka anahubiri akiwa nje. Yaani hata hujui kwamba Bwana zenu huwa wanasafirisha vita nje. Ili waibe kirahisi. Wewe jichanganye tu chawa mkubwa weeee.

  • @JafariAbdallah-ot9gp
    @JafariAbdallah-ot9gp 11 місяців тому +1

    Ukweli mtupu mungu akuhifadhi mzee wangu

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 11 місяців тому +1

    Nakukubali mzee.

  • @ruwaichijoseph5946
    @ruwaichijoseph5946 11 місяців тому +1

    Hujui kitu nyamaza ule sadaka,tuachie tanzania yetu

  • @amosiabdulallh7965
    @amosiabdulallh7965 11 місяців тому +1

    Comment zamatusi zinatoka upande wambeya,wambeya wanaroho kama zawatu wamalawi za ubaguzi,waulize wa Malawi waishije huko mnaropoka ropokatu bila sababu zakueleweka

    • @peterjengela1770
      @peterjengela1770 11 місяців тому

      Fanya utafiti kabla ya kusema au kutoa maoni yako kwakuwa matusi hayatoki Mbeya bali hata kwenu pia

  • @CornelThomas-gc8rz
    @CornelThomas-gc8rz 11 місяців тому

    Sikuelewi sijui unazungumzia nn si uache tu

  • @geraldluiso6792
    @geraldluiso6792 11 місяців тому

    Kama inchi iliukataa Sasa serikali imeusaini wa Nini?

  • @patrickjulius5951
    @patrickjulius5951 11 місяців тому

    Tupo juu kwa uwelevu tunafahaamu kinacho endelea ukiupinga ufai uulizwi unaingia kwenye matatizo mkataba kwa mtutu wa bunduki.

  • @piusmusigula3512
    @piusmusigula3512 11 місяців тому

    IGA ipo palepale. Hakuna kilichobadilika. Kilichosainiwa ni HGA ambayo ni mwanzo wa utekelezaji wa IGA.

  • @mkulimatarimoamina8316
    @mkulimatarimoamina8316 11 місяців тому

    Mwongo. Alishawahi kusema usicheze na jina la mmtu aliyejenga kwa miaka mingi umaarufu.alikuwa mkali.HALAFU LEO ANASEMA UMAARUFU HAUNA MAANA

  • @MsafiriMbwana
    @MsafiriMbwana 11 місяців тому

    Huyu mpuuzi tu. IGA siyo HGA. Malalamiko yaliyotolewa na kurekebishwa kwenye IGA moja tu ni lipi?

  • @elibarikimeela2761
    @elibarikimeela2761 11 місяців тому

    This is 100% politika.
    Ukomo wa mkataba wa miaka 30 nao ni politika kwani mkataba ni fiche.
    Ushauri kwako::
    Achana kabisa na hii kitu kwani kila mtz anajua Sababu ya unachofanya.
    Huna washauri????

  • @oseamkama6264
    @oseamkama6264 11 місяців тому

    Konyagii

  • @derickcowly6681
    @derickcowly6681 11 місяців тому

    Wewe ni mtumishi wa shetani shetani piya anaitwa mungu kwa wale wanao mwabudu ujiamini mtumishi wa Mungu ktk kristo Yesu awezi kuongea ujinga kama wako

  • @MwanakomboNassor-bw3by
    @MwanakomboNassor-bw3by 11 місяців тому

    Ni kweli chief

  • @israelmlabwa9783
    @israelmlabwa9783 11 місяців тому

    NDAGHA LUSEKELO, UMESEMA KWELI, TUWE NA AKIBA YA MANENO, HEKIMA ITUONGOZE.

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 11 місяців тому +1

    Cheif Kama Chief KATIKA ubora Wake Wacha Chief atupie Mchango wake nipo nakusikiliza Hapa Mtemi wangu CHIEF MWAN- TEBE

  • @BrayanKalinga-jk1jb
    @BrayanKalinga-jk1jb 11 місяців тому

    We jingamoja tu kama majinga mengine hatjakwelewa chochote zaidi yakkuona unajizalilisha kowe ndounaakiri kuliko maskofu nawasomi wetu mijitu mingine mnakera mpaka basi

  • @benedictntilla6943
    @benedictntilla6943 11 місяців тому +1

    Anthony wewe siyo mwanasheri acha kupotosha watu jipendekeze kwa mengine. Msikilize wakili Madeleka anachokisema ni mwanasheria nenda kalewe huko.

  • @brownaled2576
    @brownaled2576 11 місяців тому

    Mzee umejifunza nn Sasa baada ya mawazo yako yote kukataliwa?

  • @novatidamian7236
    @novatidamian7236 11 місяців тому

    Naraya mkubwa wewe sema tu mlibahatika mkaoata vidonge vya kupunguza ukari wa virusi vinginevyo ungelikuwa umenpotelea mbari