KUNDI LA WAGNER LAHAMIA RASMI BELARUS|LUKASHENKO ALIPOKEA|KUSHIRIKIANA NALO KWENYE CHANGAMOTO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 31

  • @ilhamseif7896
    @ilhamseif7896 Рік тому +3

    Ni mbinu za kivita ili wagner waweze kufika belarus kuifikia kiev kwa urahisi

  • @madalanasri2226
    @madalanasri2226 Рік тому +4

    Asante sana Kwa habari njema

  • @jumaasungwi6574
    @jumaasungwi6574 Рік тому +2

    PMC WAGNER

  • @emmanuelkanyela275
    @emmanuelkanyela275 Рік тому +2

    Uraaaaaaaaaaaaaaaa Putin ni anambinu nyingi sana haisee urusi ni hatari

  • @manmanonline6394
    @manmanonline6394 Рік тому +3

    Nice 👍

  • @jumabuckary7698
    @jumabuckary7698 Рік тому +1

    Wagner hawajaaasi wala kusaliti zile zilikua mbinu au mipango imepangwa Kama act vile ili Wagner wafike Belarus kulipokua siraha za nueklia ambazo urusi walizipeleka kule.

  • @binkhalifa6956
    @binkhalifa6956 Рік тому +1

    Big up

  • @Dirockselikari-ig2kj
    @Dirockselikari-ig2kj Рік тому +1

    Hiki ndo mapango walikua wamepanga ili wagner waende bera kuilinda

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 Рік тому +2

    Ni muda wa kuelewana na sio kugombana

    • @mudighurayra
      @mudighurayra Рік тому +1

      Hamna kukombana apo wana kijua wanacho kifanya

    • @omarmohammed5157
      @omarmohammed5157 Рік тому

      @@mudighurayra kama wanakijuwa wanachokifanya ni sawa ila ikiwa nimigombano basi si muda wakugombana

    • @mudighurayra
      @mudighurayra Рік тому

      Usiwe na wac wac Belarus kuna watu wame pandikizwa wana enda kueka sawa huku ukrein vita ishaisha saiv ni zamu ya jeshi la urusi la serekal kuenda kumaliza kazi 2

  • @Masta313
    @Masta313 Рік тому +3

    Hapo anasubiriwa mmarekani ajichanganye Kyiv akumbane nao hawa jamaa wa Wagner...
    Kiufupi wameizunguka Kyiv na muda wowote kinawaka moto na hizi ni hatua za mwisho za Urusi kuichukua Ukraine yote.😂😂

    • @IsmailBagayabakwe-bb1pl
      @IsmailBagayabakwe-bb1pl Рік тому

      Unajidanganya wewe

    • @Dirockselikari-ig2kj
      @Dirockselikari-ig2kj Рік тому

      Una hakiri sana mkuu

    • @Dirockselikari-ig2kj
      @Dirockselikari-ig2kj Рік тому

      Ndo lengoo sasa wanasubiri nato ikate misada uone kitakacho tokea

    • @IsmailBagayabakwe-bb1pl
      @IsmailBagayabakwe-bb1pl Рік тому

      @@Dirockselikari-ig2kj ume logwa akili wewe Nani kakuambiya kama NATO ataacha kutuma misaada walisha ongeya kama wata muunga mukono Ukraine Adi mwisho urusi ionekane kama nguvu zake zinaisha

    • @Dirockselikari-ig2kj
      @Dirockselikari-ig2kj Рік тому

      @@IsmailBagayabakwe-bb1pl sasa acha tusubiri washa anza kujitoa mdogo mdogo ndugu yangu

  • @BenjaminiJoel
    @BenjaminiJoel Рік тому

    Huu mchanganyo sija uerewa jamani kapona sema eti nimbinu mmmmmm sidhani

  • @kijokasumu
    @kijokasumu Рік тому