Ki ukweli uko poa sana deo coy hizi ndizo idea za msingi badala ya vijana wetu kuhangaika Mara kwenda Kenya kwny Churchill. Big up bro we support you for every stage..
Ahahahaaa nimecheka jmn.. Alielewa nyumbu ni nani hem fanya ku like apa tujuane wale wambea wenzangu hahahahaa,,, et mkia wa kihaya miguu yakichaga hahahaaa mungu anakuona ww hahahahaaa
nakujuzeni tu kua nimekuja kumcheki deo baada ya kuangalia kipind kule kwa sky tujuane basi tuliocheck sky ndio tukaja kumchecki huyu mwanasheria , nimecheka sana unafanya poa sana kip it upu bro
The best comedian in tanzania according to my side,big up sana kwako coy kwa kuwaonyesha watanzania uthubutu wako
Deo Deo hongera sana umetujua wanawake kwa kwel😂😂😂😂😂😂🙌
Huyu ndio anakijua anachokifanya namkubali kinomaaaa huyu mpuuzi piga like
Nemekubali bro unaweza😂😂
Nimeangalia video mbili za huyu jamaa, nachokiona hapa ni huyu jamaa ni my favourite comedian at all time
This is called comedy intelligence. Keep it up sir
Ki ukweli uko poa sana deo coy hizi ndizo idea za msingi badala ya vijana wetu kuhangaika Mara kwenda Kenya kwny Churchill. Big up bro we support you for every stage..
Umetisha sanaaà..#GeniusLaughter
hahahaha huyu jamaa ni noma xanaaa eti brooo ungekua na maskio makubwa vile ungependa kelelee hahaha
Hello
Hahahaaa, kwel umewapatia sana wanawake😂😂😂
hatari sana kaka Deo ,,hao wanawake umewapatia,,ukiwa na jazba za kitarime unaua mtu... aisee
Nakupeeenda bureeeeeee afu umejuaj nacheeeeka t kila nkiii chek😂😂😂😂😂😂😂😂
Daaah, nimekubal brother 😂 you hit on nail bro. Really life events
Deo nakupenda always u made my day😂😂😂😂😍😍😍😍😍
mchizi anjuwa hatari, my first favorite comedian in cheka tu....
Deo your the best 😂. Big up utafika mbali
We jamaa ni genius ur so smart bro big big xnaaa mana ni kweli kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaa yan dahhhh
Hiyo stage background Ni another level
Kilinako Shengelo n
You're so talented Mr Deo keep it up brother, I'm so much pleased,
Deo umejua kunfurahsha...... 😁😁😁😁🙌 big up broooo
Yaani huyu Kaka ananisema Mimi kabisaaaa😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe hahahahahahahah
Bro big up unajua sana 🔥🔥🔥
Big up bro....stand up comedy is taking over in tz
Guys you are doing Great. 👍👍👍👍👍
✊✊✊👊 big up broo..!
😂❤️ hahhahha nakukubali
Deogratius you're talented brother... Thumbs up... Now that's the real meaning of stand up comedy.. Big up cheka tu platform
Always nafurh when isee ur things....%100 ur genious
Hahahahahaaaa hili jamaa ni hatari sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu jamaa namkubali sana sana
Deo noma unajua mpaka unakera hawa wanawake wote wako hivi hivi ni comedy lkn ni real story😅
deo ure the best aiseeeee....hongera mnoooo
Deo ana kipaji kikubwa sana cha kuchekesha akiendelea kukaza atafika mbali...
ignas almas
Mwamba Kaza Ur Talented One
mimecheka sana jaman 😹😹😹😹sitamani umalize 😹😹😹😹😹
hahaha unanifurahisha sana Deo nice talent
Deo deo mungu anakuona 😂😂
huyo boya anachekesha ase kama unamkubali gonga like hapa chin
Deo ume2shinda tabia 😂😂😂
Big up deo, genius comedian i ever see
Tabia yangu hii nimecheka mpk mbav zina uma😂😂😂😂😂
Leo nimekuwa Wa nne sio mbaya next time ntakuwa Wa kwanza
Hao ambao hawacheki wanakuwa wameenda kutest mabandama km ynafnya kaz😂😂😂
2020 tar1 mwezi wa1 namcheki fundi wa commed tanzania nzima
Yani jmn we ytreee naangalia mar ya 7 hii ncheka😂😂😂😂💕💕
Uko juu mzee
😂😂😂😂😂wow woww👏🏼👏🏼👏🏼
Thumbs up. You’re super talented bro!
napendaa vichekesho vyako coz unafanya commedy lkn iko driven frm the logic something that is unique!....keep t up bro!.....
Chrysostom John Thanks 🙏 man!
wonderful
@@deo_gratius me nakukubali halafu unachekesha na wala hutumii nguvu watu wanacheka
Kazi nzuri hongera sana
Deo...
We mjinga sana
Daaa nimeipenda San hii
Wooow jomoni npenda xn unvy chkexh
Patapatapata Patapatapataaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂
Unajua bloo 😂😂😂😂😀
Ahahahaaa nimecheka jmn.. Alielewa nyumbu ni nani hem fanya ku like apa tujuane wale wambea wenzangu hahahahaa,,, et mkia wa kihaya miguu yakichaga hahahaaa mungu anakuona ww hahahahaaa
Wema😜😄😄😄
@@ramlajuma1598 😂😂😂😂 kweli aiseee yule nyumbu nyumbu hasaaaa
@@sesiliajoseph211 mimi simo 🤣🤣🤣🤣🤣
bro uk vzr xn nimekukbl kinyam
Unatisha bro.
Deo unajua san Mwanangu! Kaza
Uwiiii mbavu zangu Deo
Unajua brother
Wewe ninamba moja kwangu...ninoma sana
😂😂😂😂 Deo mkali sana...
nakujuzeni tu kua nimekuja kumcheki deo baada ya kuangalia kipind kule kwa sky tujuane basi tuliocheck sky ndio tukaja kumchecki huyu mwanasheria , nimecheka sana unafanya poa sana kip it upu bro
Unatumia Akili nyingi Sana D kila la Kheri.. Brother
uyu mwamba anajua kuchekesha😂🤣😂
You're the best
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣niambie mjinga mwenzangu🤣🤣
Anatisha jamaa
yaaani wewe😍😂😂😂😂Afu weweeee🙌🙌🙌
This is so funny nimekubali kiwango mwamba na jana Mlimani city ukitoa beneficial this dude Killed the stage non stop
kiingilio ni sh ngap jamn ??? na wako wap
+Maryceline Sarakikya
Makumbusho Lpf flow ya kwanza kiingilio 10000 Regular 30000 VIP
Safi sana tena ongera bro deo
🤣🤣🤣🤣🤣 We jamaa Nomaa
Hii ni fact na ndivyo wanawake Walivyo, taabu kweli wanaume kazi tunayo
U a ver talented bro
Very very talented nigahh
Big Up Deo
Very Dankastic
I just love you
Dah kwa Mara ya kwanzaaaa nakucheki man ninaburidika kisechu Yan ileeeee we nyumbu unajuaaaa .
Anajua sanaa huyu
Nimecheka sana nimecheka sana nimecheka mimi...ndio maana nime subscribe na kuwasha kelenge😂😂😂
baraka temba umejitaidi comment
@@josephthobias4017 😀😀
Haaaahaaaaa
Hehehehehehehehehe nimeipenda hiyo
Baraka ahaaaaaaaa
Unajuw kak cna budi kusema mwambaaaa kazaaaa
deo utanimaliza mimi mbavu
Nimecheka sn eti dadaangu mjinga mwenzangu😅😅😅😅
😁
Nimecheka leo tena
I enjoyed the show
Huyu kaka ni lijinga la mwisho hana kipaji kabisaaaaaa nakushauri kachome hata mandazi
Veronica mgoma 😂😂😂😂
Vzr sana bro
@@veronicamgoma1173 wew unacho hujaombwa uangalie
Jamaa unajua kinoma
Nakukubali mzazi chuma chuma
Deo ww mungu anakuona 😂😂
He is Simply the Best, Genius!
unajuwa Kaka yangu
K
Noumaaa broo
Tallented Deo😂😂😂😂
Mwamba ni nomaa
Duh ww jamaa ninoma sana kweri yani duh nyumbu hatari unajua
Daaah yanai umenigusaaa mimi na boyfriend wangu
We jamaaaa dah!
Hahahahhaa deo umetisha bro wake dah nyumbu nyoko
Jaman cheka tu inaanza lini tena
Deogratius ,mikono yangu nimeiinua juu....
Nice one...
Good job Deo.. Keep going
Comedy is not about talk wat u ate last night ur problems but it is entertainment make people smile, take them in different lifestyle