Haya Njooni. Uinjilisti Kijitonyama, wmv

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • GOSPEL

КОМЕНТАРІ • 41

  • @fortunatah
    @fortunatah Рік тому +7

    i love this song alot guys🙌🙌🙌🙌nabarikiwa kuusikiliza ...tangu nipo mdog mama ang mdogo alikua aniimba nikaijua mpka leo🙌🤭❤️❤️mbarikiwe wote 2023🙏

  • @hekimalufulani1689
    @hekimalufulani1689 7 місяців тому +5

    2024 bado tuko pamoja 🙏

  • @user-by7ff6ft6i
    @user-by7ff6ft6i 7 місяців тому +4

    2024 NJOONI TUSEMEZANE

  • @RemigiusGama
    @RemigiusGama Рік тому +3

    Huu wimbo haukauki kichwani mwangu, asanteni kwa kumbukumbu nzuri

  • @ZabronSama84
    @ZabronSama84 2 місяці тому

    Napenda sana hizi nyimbo nabalikiwa sana

  • @lastname.mulimuli
    @lastname.mulimuli Рік тому +2

    Nimeitafuta hiii nyimbooooo mda sanaaa hatimae leo nimeipata

  • @ericspuspallelo6965
    @ericspuspallelo6965 Рік тому +3

    Wimbo mliutendea haki jamani

  • @muromuro6344
    @muromuro6344 6 років тому +7

    Napenda sana huu wimbo

  • @janethlugazo196
    @janethlugazo196 5 років тому +7

    Naipenda sana nyimbo hii

  • @deusdeditmahunda4698
    @deusdeditmahunda4698 Рік тому +2

    2023, Wimbo wangu pendwa ❤️❤️❤️

  • @listonmalisa8987
    @listonmalisa8987 5 років тому +10

    Yesu mzuri jamani nabarikiwa sana naujmbe huu

  • @albertwayne1590
    @albertwayne1590 5 років тому +13

    Nani yuko hapa nami?

  • @mynesmnkondya1390
    @mynesmnkondya1390 10 місяців тому +1

    Rip mommy😢

  • @leticiaemmanuel1366
    @leticiaemmanuel1366 4 роки тому +3

    Nmebarikiwa sana na huu wimbo

  • @marthamachaki5329
    @marthamachaki5329 Рік тому +1

    Mmeuimba huu wimbo leo...nimekumbuka back then... Mungu azidi kuwabariki Uinjilisti Kijitonyama.

  • @Michael-br5tg
    @Michael-br5tg 7 місяців тому +1

    Nazikubali sana nyimbo za kijitonyama

  • @costacemwangolwa181
    @costacemwangolwa181 4 роки тому +4

    Nabarikiwa sana ninapo sikiliza huu wimbo, 2020.

  • @geraldsanzala8119
    @geraldsanzala8119 Рік тому +1

    Kwanza watu waliomwimbia bwana zamani wako very energetic tazama hata flow yao ipo spiritual saana

  • @natujwachampo613
    @natujwachampo613 Рік тому +3

    De best song I love in ma life.🥰🙏🙌

  • @zentaismael6246
    @zentaismael6246 4 роки тому +4

    Asanten kwa kunibariki

  • @amidumselle5659
    @amidumselle5659 Рік тому +1

    Aya njoon tusemezane asema Bwana. Nakumbuka mbali sana nilivyokuwa mtoto maisha hayakuwa kama sas na Mungu aliwatumia sana wazazi wetu kutukuza katika kumjua Mungu kwa njia mbali mbali ikiwa ni pamoja na nyimbo nzuri kama hizi. Mungu awabariki sana wapendwa 👏#Joshua Mlelwa #KKKT Uinjilisti Kijitonyama!

  • @zakiamseka9698
    @zakiamseka9698 7 місяців тому

    Nakumbuka 2002

  • @maximobonga9617
    @maximobonga9617 4 роки тому +4

    Ameni

  • @dianajastine3448
    @dianajastine3448 4 роки тому +3

    2020 AM here nice song

  • @geofreymaghali183
    @geofreymaghali183 6 років тому +7

    Ujumbe ni mahubiri tosha kutunyenyekesha Kwa Baba wa roho zetu

    • @victorsomba867
      @victorsomba867 3 роки тому +1

      Nilijua tu umepita hukuuu,,, maana hukosi kunako Mambo mazuri Kama hayaa

    • @geofreymaghali183
      @geofreymaghali183 11 місяців тому

      ​@@victorsomba867Hahaha😂😂

  • @miriammassawe4511
    @miriammassawe4511 2 роки тому +1

    Huu wimbo unanibariki Sana, Mungu awabariki

  • @FloraNgoma
    @FloraNgoma 2 місяці тому

  • @everpeter8529
    @everpeter8529 Рік тому

    22 Jun 2023. 🙏🏽

  • @emmanuellingowe7856
    @emmanuellingowe7856 2 роки тому +1

    Hakika Golgotha ilipazaa sauti..

  • @tuzonyava8306
    @tuzonyava8306 3 роки тому

    Mwemwemweeeee kila ninapo uskiliza huu mwimbo nakumbuka mwaka2007 sjui nifanyeje

  • @innocentmushi3036
    @innocentmushi3036 2 роки тому

    2021 na niliisikia kwa mara ya kwanza 2003 na hadi leo hii naipenda na sijaichoka.

  • @hawarajab2760
    @hawarajab2760 Рік тому

    🙏2023

  • @victorsomba867
    @victorsomba867 3 роки тому

    Wimbo umenikaa moyoni huu acha kabisaa

  • @dondiba5136
    @dondiba5136 3 роки тому

    nakumbuka mbali saaanaaa

  • @nuhuelisha369
    @nuhuelisha369 4 роки тому

    Geukeni tumludie bwana

  • @faithmarmo369
    @faithmarmo369 2 роки тому +1

    2022🙏🏾

  • @elizabethgabriel1502
    @elizabethgabriel1502 4 роки тому +1

    💓