"Nakuomba Bi Kiongozi, msamehe" - Pete | Maisha Magic East

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 50

  • @jaffarumar5258
    @jaffarumar5258 4 роки тому +2

    Aah bana mwatuonjesha tu,refusheni twalipia kuiona east Africa trending programme...but long time waiting

  • @murshidalam9398
    @murshidalam9398 3 роки тому

    Hii move mashaala nzuli sana

  • @abdillahnuhu1118
    @abdillahnuhu1118 4 роки тому +3

    Sema sudi huyo mtt mashaallah

  • @dyanabubelwa5000
    @dyanabubelwa5000 4 роки тому +3

    Nice pete

  • @nahyanhareb4053
    @nahyanhareb4053 4 роки тому +3

    Nzuri

  • @jumamohamed1340
    @jumamohamed1340 4 роки тому +2

    Yani tamu kweli iwendefu kiasi basi

  • @camelinenatuluku942
    @camelinenatuluku942 4 роки тому +4

    Next episode plz

  • @magynzioka1122
    @magynzioka1122 4 роки тому +2

    Bodo ni kijiji jirani tunnanfunzi pia lakini tatizo m metumia haya majina na hata ufuo mazingira yote ni ya bodo na funzi lakini hakuna mtu wa hapo hata m moja yuko kwa hii filam wote wa.bogo moving sio vizuri kabisa kutumia maeneo ya watu na wati wenywe awafaidi mimi ni majirani zangu bodo funzi na wajua wote hamjawatendea haki

  • @rajabwaziry8020
    @rajabwaziry8020 4 роки тому +2

    Mbn muendelezo hamna jamn.Hata haiko Moto Kama zamani.

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 роки тому +3

    Nuru Jamani Umepotea Sasa,Penzi Kwa Sabasi wa Mtaa Kweli,Jasiri naye afata jini.

  • @asinatikarim5401
    @asinatikarim5401 4 роки тому +3

    Jamani Pete muendelezo lini

  • @aseelaaseela4913
    @aseelaaseela4913 4 роки тому +2

    Litakalokuw naliwe mie niko tayar hat kukaa eda meipenda hi ni MIMI unajua kukomesha😅😅😅😅😅😅😅

  • @munnababygal8460
    @munnababygal8460 4 роки тому +3

    Mnatuonjesha bwana

  • @lucybaya3183
    @lucybaya3183 4 роки тому +1

    Tuekeeni full

  • @kutanisalim8987
    @kutanisalim8987 4 роки тому

    Mbn amtuonesh episode zengne kwni kwaendaje????

  • @gladysmumbi1431
    @gladysmumbi1431 4 роки тому +2

    Nuru layini na sudi love love

  • @fidelismutinda7575
    @fidelismutinda7575 4 роки тому +2

    sudy ,tafadhali umechukua heartbeat ya Jasiri,,,,,,umeweza anyway!!!!!!!!

  • @bijumafundi1737
    @bijumafundi1737 2 роки тому

    Kizaaaa 😅😘

  • @aishahusein2541
    @aishahusein2541 4 роки тому +2

    Sudi

  • @lizbebyaddition8592
    @lizbebyaddition8592 4 роки тому +2

    Waaaah,,, hapa nuru umechomaaa..... Jasiri ndie wa kwako mwache sudii😂😂😂

  • @salhiamkubwa6384
    @salhiamkubwa6384 4 роки тому +2

    Sudi anahashuooo😃😃😃

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 роки тому +2

    😂😂😂😂Litakalo kua na liwe mm niko tayari kukaa EdaSudi kulikoni tena na Nuru

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 4 роки тому +1

    We Sudi ww

  • @bnussrahlimsantah3730
    @bnussrahlimsantah3730 4 роки тому +3

    Taharuki kweli bikiongozi yupo tayari kukaa eda

  • @saadamohamed2351
    @saadamohamed2351 4 роки тому +2

    Sudi aota Huyu yupo Na nuru

  • @shilangida4330
    @shilangida4330 4 роки тому +2

    😂 😂 😂 Sudi wacha chocha

  • @maryamjuma9816
    @maryamjuma9816 4 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣 jmnii sudiiiiiih duuuh

  • @zeddydaqueensy4612
    @zeddydaqueensy4612 4 роки тому +2

    Nuru na Sudi wapenzi

  • @omanmuscat3461
    @omanmuscat3461 4 роки тому +2

    Sudi we mapenz na nuru 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Khilarious
    @Khilarious 4 роки тому +2

    Nisaidieni jina la wimbo ulokuwa ukiimbwa sudi akicheza na Nuru...

  • @rashidhusain2958
    @rashidhusain2958 4 роки тому +2

    Isije kisha mlinzi chuwa akapinduwa serikali ya kiongozi.....

  • @mikyfosikama8752
    @mikyfosikama8752 3 роки тому

    Sudi umezidi umbeya😃😃

  • @mamalaozphilemon.8800
    @mamalaozphilemon.8800 4 роки тому +2

    sudi ww tena!!🤣🤣

  • @harounmkubwa7999
    @harounmkubwa7999 3 роки тому

    Loop

  • @TheGovernorOnlineTVKenya
    @TheGovernorOnlineTVKenya 4 роки тому

    Huyu Nyanya na uchawi zake atafanya Niru amukose Jasiri jamani, sasa onaaa...

    • @abshow1193
      @abshow1193 4 роки тому

      Ashamkosa tayari kwa huyu mmbea

  • @fatumamwaita7639
    @fatumamwaita7639 4 роки тому +1

    Sudy umbeya si kz, kz nikusutwa🤣🤣🤣😋😋😋

  • @sablinitanzania2215
    @sablinitanzania2215 4 роки тому

    Sudi wewe tena

  • @buruhanimandazi8000
    @buruhanimandazi8000 4 роки тому +1

    Mbona nusunusu jamaniii..🤦

  • @rashidykidude1555
    @rashidykidude1555 4 роки тому +1

    Tumen muendelezo jaman mpaka tuwakatae cyo

  • @iamiconboy
    @iamiconboy 4 роки тому +1

    Hey fans ukiview fanya ku subscribe @breezmedia

  • @shuubinty1447
    @shuubinty1447 4 роки тому

    Yako ya mtoto 😆😆😆😆

  • @ubahabdirashid9622
    @ubahabdirashid9622 3 роки тому

    CHENELIHIKININZURI

  • @thetrends0128
    @thetrends0128 4 роки тому +2

    😂😂😂😂

  • @hawaaomar2333
    @hawaaomar2333 4 роки тому +1

    jmn mwataja kwetu mngejua nnavyo kumiss huko bodo 🤔

  • @amynamsomaly3315
    @amynamsomaly3315 4 роки тому +1

    Muendelezo tafadhal

  • @serajahmad2714
    @serajahmad2714 4 роки тому +1

    😂😂😂😂😂😂

  • @abdillahnuhu1118
    @abdillahnuhu1118 4 роки тому +2

    Sema sudi huyo mtt mashaallah