DOGO ZUUH KUSELELEKA NA NYAGO BAADA YA KUJIONDOA KWENYE MIPANGO YA UMOJA WA WANASANAA,YOUNG RULLER.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 жов 2024
  • Book us for any event @ferdbird1234@gmail.com or Alobo vibes on social media
    Subscribe to our channel: / alobovibes
    Follow US & GET IN TOUCH
    IG, TikTok and FB: @alobo vibes
    Copyright © Alobo Vibes TV
    #AloboVibes
    #AloboVibesTV
    #WereHereForAloboVibes
    #shambemedia

КОМЕНТАРІ • 29

  • @BilvasBoss
    @BilvasBoss 4 місяці тому +2

    Kwasasa kiruwii bisoshii ndo kundi ambalo Lina beba nyarugusu Kwa sasa 😊❤

  • @annayambayamba8614
    @annayambayamba8614 4 місяці тому +5

    Zuuh umependeza ❤

  • @ZawadiEskanda
    @ZawadiEskanda 4 місяці тому

    Nyago ❤❤

  • @sosafryog9229
    @sosafryog9229 4 місяці тому +3

    😂😂😂😂😂😂😂 waimbaji wa Camp niata nacheka Kam Mazur

  • @EmanuelRaul-v4f
    @EmanuelRaul-v4f 4 місяці тому +5

    Mimi nipo Congo , Pia nafatiliya sana sanaha ya camp , kundi ambolo linajulikana hapa ni kiriwih Ila msani anayo jina hapa kuliko wangine ni follow Bugatti huyo ndo ukweli

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 4 місяці тому +4

    Chenchi Seen It , Yan Humu Tu

  • @Yusufu940
    @Yusufu940 4 місяці тому +7

    Ata mama yako unamchana ndo kukosa adabu umekosea apa Nyago Man😂

  • @CallMeog-df6wu
    @CallMeog-df6wu 4 місяці тому +4

    Father paka

  • @Nickmj-s7e
    @Nickmj-s7e 4 місяці тому +2

    Ukweli nilazima usemwe zamani mziki wetu ulikuaga na bebwa ba coco band na new light band . na mziki waho uhukuga na kasi sana ulikuaga wakawaida sana so watu wanatakiwa kujua kama kiruwiih ni sababu ya mziki kua mkubwa camp . Na ikasababisha wasani kua wengi camp watu waka penda mziki wa camp na mziki wa camp ukakua na wa fuasi wengi so sometimes inatakiwa nyago man apewe eshima yake tu . Na ndo maana ukiangalia ngoma za grand music ya zamani wasani wote wakubwa sasa ivi ni mashabiki wa nyago. So alobo vibes tafuteni picha mbao na mchapishe comment yangu .🔥😂😂🤣💪🇧🇷👈

    • @Nickmj-s7e
      @Nickmj-s7e 4 місяці тому

      Na nyago man ndo msani ambaye toke 2018 mpaka sasa ana hit tu bebero 🔥🔥

  • @MaombNahomy-fh6yj
    @MaombNahomy-fh6yj 4 місяці тому +4

    Alobo vibes

    • @annayambayamba8614
      @annayambayamba8614 4 місяці тому +1

      Unaonesha wew ni mfariliaji wa sanaa ya camp kbs ongera 😊😊😊

  • @EmanuelRaul-v4f
    @EmanuelRaul-v4f 4 місяці тому +9

    Msinichoke maana kuongeya kwa nyago some time huwa kuna kera sana , nataka niweke wazi hichi kitu kuhusu nyimbo zilizo tranding hapa congo kivu ya kusini tarafani fizi na uvira kidogo maana siyo congo mzima , notenda ilihimbwa na tarafa mzima , ngengelece ilihimbwa na tarafa mzima , eborekwa , un jour , pia kuna ingine ambayo jina imenipita waliyo himba true music kama wa msoaci wane msùlùme , kuna kazi ya tiger music eguagudé ambayo ndo kazi iliyo hutambulisha mziki wa camp hapa tarafani fizi kupita huho wimbo ndo watu wengi walifahamu kwamba kambini kumbe kuna wasani nakuhanza kufuatiliya kazi za hapo sasa , kuna ngoma ya gunias music garçon mbombo ulihimbwa mpaka na watoto hapa fizi , ngoma za grand music zilizo himbwa hapa congo kidogo ni pamoja na nimùsaa , bilùmbe , pamoja na ngoma waliyo himba kiriwih mzima kwenye safari ya giz ,

    • @EmanuelRaul-v4f
      @EmanuelRaul-v4f 4 місяці тому +1

      Na kingine msicho kijuwa huko mliko , mimi ndo mwenye sanaha ya camp kwa kuifatiliya kama siwezi kuwa wa kwanza hapa fizi nipo wa pili , maana sizani kama naweza nikawa watatu hapana , msani mmoja wa kike ambaye anajina hapa Congo ni Rebo peke yake , hao wengine wote akuna , dogo Zhou amisha himba sana hapo camp kuliko hata Rebo , Ila wote toka wahanze kuimba , dogo Zhou , Fety , Huba awaja wahi kufanya kazi za kuwatambulisha hapa nyumbani Mimi siyo mnafiki Ila huo ninao wahambiya ndo ukweli , kuna wengine hapa nyumbani wanajulikana kisura lakini awana majina kama Rebo ni pamoja , na Shany kupitiya eguagude pamoja na nimosaa , kuna Edouine kupitiya ngengelece na notenda , japo kuwa aliye weka zile sahuti alikuwa ni Huba lakini wasiyo juwa wanamjuwa Edouine maana yeye ndo alionekana kwenye vidéo , hata huyo Tina branda akuwahi kupata jina kwao brk kwenyewe kama Rebo , na musipo ni hamini basi ulizeni wengine waliyoko hapa Congo , Pia kwenye upande wa wanahume mimi nawakubali wasani wengi hapo camp lakini zaidi alikuwepo Avrih Simba pamoja P boy , Ila niwahambiya kwa hivyo vyote walivyo hima na kufanya hapo camp kihukweli hapa nyumbani akuna aliye kuwa na jina kwenye jamihi labda sisi wafatilihaji na wanafamiliya Pia labda wana mziki wa hapa lakini kwenye jamihi awana majina hapa , mwengine ambaye alikuja Ku trading hapa nyuma alikuwa ni dogo Faound maana Hadi sasa ngoma zake zote zinapigwa kbs , ndo ukweli huo

  • @Yusufu940
    @Yusufu940 4 місяці тому +3

    Dogo Zu kauwa kizazi sn

  • @Heiskmb
    @Heiskmb 4 місяці тому

    Ududu mwingi

  • @Mzawadi
    @Mzawadi 4 місяці тому +4

    𝗗𝗮𝗮𝗮𝗮𝗮𝗵😂😂💙💙💙

  • @Madamsofi
    @Madamsofi 4 місяці тому

    Mnaho soma community mje pole pole 😂😂😂

  • @BahatiElisha-rk8td
    @BahatiElisha-rk8td 4 місяці тому +4

    Ako kadogo zuu kasura yakukauka

  • @JOHN-b9x4r
    @JOHN-b9x4r 4 місяці тому

    Mbona ako ka dogo zuuh kana pendaga kujilinganisha na zuchu sana ivyo shiiiiih mikoshi sasa iyo acha ujinga wewe😏😏😏

  • @EmanuelRaul-v4f
    @EmanuelRaul-v4f 4 місяці тому +1

    Wewe nyego man , ukihambiya kupata msiba siyo kusema wewe ndo utakufa , hata mtu mwengine kwenye jamaha Yako kama alivyo fariki mama Yako aliye kuleya , hizo hela hapo ndo zitafanya kazi , kuwa mpinzani siyo kupinga kila kitu

  • @EmanuelRaul-v4f
    @EmanuelRaul-v4f 4 місяці тому +2

    Pia wewe nyago huwezi kuwa msimamizi wa wasani hata siku moja , pia akuja wahi kuwa kiongozi mzuri kwenye kusimamiya kitu fulani , hata magufili kuna waliyo kuwa wakimchukiya hapo tz , Yeye madin ana busara pia na Hekima , maana unaweza kumtambuwa mtu kadiri anavyo hongeya hata kama hujawahi kumuona , kuwa kiongozi siyo mpaka ufanye heet song nyingi no , mbona waliyo fanya heet song kubwa hapo kambini nzima ni K boys mpaka leo hii kila mtu anajuwa hivo , na nyuma ya hao ni True music , hacha shobo nyago

  • @sergioramoel9704
    @sergioramoel9704 4 місяці тому +1

    😂😂

  • @LEGENDSBROTHERHOOD
    @LEGENDSBROTHERHOOD 4 місяці тому +4

    Na hapo ndo huwa unafeli una fikiri wewe ni msanii mkubwa wakati watoto wadogo wanao kuja wanakupita na wewe uko hapo tu , uko hapo kwenye rangi nyekundu yenu

    • @Nickmj-s7e
      @Nickmj-s7e 4 місяці тому

      Kwani wewe ulimjuaje kama yeye sio msani mkubwa 🤣

    • @LEGENDSBROTHERHOOD
      @LEGENDSBROTHERHOOD 4 місяці тому

      @@Nickmj-s7e nilikuwa nakuona mtaani amepauka na rangi nyekundu

    • @LEGENDSBROTHERHOOD
      @LEGENDSBROTHERHOOD 4 місяці тому

      Mbona wewe nakufahamu na sio msanii