Hemedi chande tunakukubali unajuwa sana hemedi chande the greatest films utafika mbali maana unafata nyayo na kuvaa viatu vya Steven Charles kanumba utamfikiya hemedi chande towa KAZI uzidi kupeperesha bendera ya Tanzania (tz) speed ile ile 120 kwenye Kona shaa g.hai allah east zuu a.k.a Mimi hemedi chande the greatest films nakupa asilimia 100 bila kupunguza ktk KAZI zako kaka unajuwa sana endeleya kukwaza Buti hivyo hivyo tunakukubali sana east zuu (tz)
Daaah nilii imss sana melisa asanteni kwa kujali fulaha yetu mashabiki zenu♥️♥️♥️ mm nikiwa naangalia hii najikuta ni mtu wa kutabasam kila mda nikimuona Melissa na mack
Kaza Buti hemedi chande speed iwe ile ile 120 kwenye Kona shaa east zuu g.hai allah a.k.a Mimi hemedi chande the greatest films east zuu kaka unajuwa na tunakutegemea film zilikuwa zimepowa sana achiya KAZI ili angalau uheshimishe Tanzania yetu urudi ktk ubora wake wa Sanaa ya uwigizaji kaka tunakuombea kwa mungu ufike mbali sana unajuwa sana
Duh Anita ulicho kifanya sio sahihi kwa mtoto mwenye hana makosa dah ujue unaniumiza so tunashuru kwa kutuletea s2 inaonekana fikra hazikuishia kwenye s1 wish u all good job 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
aya jamani tuendelee na melisa sasa😢😢😢😢
🔥🔥🙌🙌Anko
Haya haya kka kipenzi CHA watu asante sana
Kaz nzuri kaka
Imeweza bro 🔥🔥🔥much love from 🇰🇪
Eiwaaa Melisa is back
Waoooh jaman kama ulikuwa ukiisubiri Melisa S.2 kama mm Gonga like apo😋😋😋
❤❤
❤❤❤
❤❤❤
Kwer naona
@@UMMYMAINGU ni melisa jamani sio mesisa hahah
Actually Melissa ni mrembo sana ❤❤
Sana .....❤❤❤❤❤
Jaman Waooooh 🎉🎉🎉 Wanaoipenda Melissa kama mm gonga like hapa
Team strong hoyee Melissa ndio ii mapema ndio best wadau 😅😅😅
Tupo naangalia Melisa nikiwa Oman Lustaq penda sana Hemedy na Melisa ❤
Hoyeee❤❤🎉
Hoyeee
❤❤❤
❤❤❤
Nakupenda san hemedy na melisa❤
Naipenda sana hii move jmn❤❤❤mungu akutunze vyema chande utupe burudan zeny kutufunza
Wamwisho jamani likini nimefurahi kuona mark na melisa wakitabasamu tena congratulations 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Waw nice merisa welcome tunaapenda san kutoka Burundi 🇧🇮 ❤❤❤❤❤
Woooow jaman nimefurah sana kuiyona hii movie teba
Aya Tunasubiri Mwanarusiii .....Umeturudishia Melisaaaaaa😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Fata sasa nipo wa kwanza like zangu afu tuendele
Umenagalia DUNIA KWANZA WEW😂
Ant yake❤❤❤❤
Nmefurah kuiona melissa kwa mara nyengine tena ❤🎉
Duuuh pole sana Melissa wife wabaya sana 🎉🎉🎉🎉
Mki hendeleza melisa mtakuwa mmefanya jambo lamaana sana ❤😂😂
Atimae tumekutana again 🤗👌😘. This is first love from Mozambique ❤🇲🇿
Waoooo zuri sana❤❤❤
Nlkua naitegea sana hio aya twende nalo sasa❤❤❤
Ilo dude la moto sana❤
Hemedi chande tunakukubali unajuwa sana hemedi chande the greatest films utafika mbali maana unafata nyayo na kuvaa viatu vya Steven Charles kanumba utamfikiya hemedi chande towa KAZI uzidi kupeperesha bendera ya Tanzania (tz) speed ile ile 120 kwenye Kona shaa g.hai allah east zuu a.k.a Mimi hemedi chande the greatest films nakupa asilimia 100 bila kupunguza ktk KAZI zako kaka unajuwa sana endeleya kukwaza Buti hivyo hivyo tunakukubali sana east zuu (tz)
Eti kanumba
Haaa wewe Badoo xanaaaaa we hachana na kanumba ile levoo nyinginee mzeee
Waoooo nawapenda sana afu mack mnaendana sana na melisa basi iwe kweli muwe mme na mke❤❤
Woooooow woooooooow nimeisubili kwa hamu
Ahsante kuturudishia melisa ♥️♥️♥️
Naxhindw nixemeje kuhux melisa🎉😢😮😮😮😅😅❤❤❤❤
Asante jamani kwakutuletea S.2🎉🎉❤❤nilikuwa naisubiri kwahamu sana❤❤🎉🎉🎉
Mtoto malaika sio sawa kabisa alichomufanyia 😢😢😢😢mungu hatokuja akusamehe kamwe kwaulicho mfanyia Mtoto
😂😂😂😂😂
umetishaa
Mbna unafika mbli ww hii kumbuka ni series tuu mbna unahukumu wahusika na kitu walichopangiwa wafanye ila ndio tabia zet watazamaji.
😂😂😂😂😂😂😂
@@HashimSoud-v2n mmh kupangiwa uko kwioo
Melissa is back more congratulation hemed chande
Wa mwisho mm naomba like kama you were waiting for this episode like me . Watching from Uganda 🇺🇬 currently Doha Qatar 🇶🇦
😅😅
Kazi nzuri ❤❤❤❤❤❤❤❤
Huyu mharibifu kakwisha haribu penzi la chado na huku anapambana tena kuharibu mharibifu mkubwa we 😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 nimefurah San jmn umejua nicheksha
😂😂😂 umemtambua mzanzibari wa najima??
Melissa ni mrembo sana❤❤❤
Hapa umecheza kama CR7 kazi nzuri sana from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
I love it ❤
Long time indeed 😂😂 Melissa series.... watching from Kenya 🇰🇪... gd job hemed❤❤❤❤
Anahitaji nyota Tano au sio
Bado tunasubiri Melisa Kwa hamu baba nawapenda sana hemedy na melisa❤❤❤❤❤❤❤
I am happy to have seen the return of my favorite series, thank you very much Hamed
Wow much love guys more blessings 🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Muddy mshenzi kweli 😌
Wee kaka asate sana 💪💪🇧🇮🇧🇮🙌🙌
Hapo saw nikiona Melissa
Ni flesh ❤
Wanao furahia Melissa tena mnipitie n like
Unyama
Kazi nzuri nmeipenda haswaaaaa just a special tarent
Nikiangalia Melissa napata kafilling flani kwa mtoto wa mtu jamani mapenzi nyinyi 😢😂😂😂😊
Upo kama mm
Ww si Wakike Unawaza nn
Nimedhan n mm peke yangu😂😂😢
@@fideliafaida1247 acha tu haka kamovie kanipeleka mbli san
@@joinanganunga6985 tuko wengi
Wooooo nimefurh san kuona Melissa season two nawapenda San ❤❤❤
Jmn mmetuweka sana, sasa mjitahidi kua mnatoa mapema maana tunaamini ukimya wenu mlikua mkijipanga vizuri
Weee zayn ww kalee mimba yako kwa najma kidemu jau jaman daaa umekimbia unguja umemuachia chado wetu msala ukuu😅😅😅
Anaeamin mdogo wa Melisa atakuwa adui juuu ya dada ake kwenye penz Yan kiufup atamtaka shemegi ake aweke like apa😂😂😂
Daaah nilii imss sana melisa asanteni kwa kujali fulaha yetu mashabiki zenu♥️♥️♥️ mm nikiwa naangalia hii najikuta ni mtu wa kutabasam kila mda nikimuona Melissa na mack
Kaza Buti hemedi chande speed iwe ile ile 120 kwenye Kona shaa east zuu g.hai allah a.k.a Mimi hemedi chande the greatest films east zuu kaka unajuwa na tunakutegemea film zilikuwa zimepowa sana achiya KAZI ili angalau uheshimishe Tanzania yetu urudi ktk ubora wake wa Sanaa ya uwigizaji kaka tunakuombea kwa mungu ufike mbali sana unajuwa sana
Wow!! Nimewasubir saana kwa muda mrefu
Fanyen muwe mnatoa kilasiku heee kam unaungan na mim like
Jaman tunashukur movie nzur but mavaz jamn tunashidwa kuangalia na familia
Asante kwa mwendelezo naipenda san❤❤❤❤❤❤🎉
Had rahaaa
Jomon tulofurahia Melissa S2 tujuane kwa like
Tujuwane tunaona hili tangazo Alimarani ramazani ipo karibu . Tunaangaliya hi move huku tukiwa kitandani tumekumbatiya mito tujuwane❤❤
Huyu jaa wa mirasta namchukia sana bona kinganganizi melissa siku hizi na malki ni wazazi.
Hahaha that is just film
Kwa kweli Kingang huy njama
Ananikerq huy mirasita jamn looooo kingaaaa
Xaxa si ni movie ww nae kwenda huko😂😂
Wooooh ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉nilisubili sana kwa ham
Halafu modi achan n melis kalee mimba yako kwa kidem jau mwarabu wa zenji😂😂😂😂😂 🎉🎉
Kbsa aende alee mimba
😂😂😂😂😂
Anajizima data 😂😂😂😂
Mwalabu wa mseweeee voice ya cheusii tiiii
Kwkwer napenda Melisa kumuona anatabasam na mme wake❤❤❤❤❤
Yan afadhari iendereee maana mm kiujumla sikulizika ilivoisha ambao hamkulidhika tunaeza ku like
Mansha Allah niliisubiri kwa hamu sana ..nampenda sana melisa ❤❤
Duh Anita ulicho kifanya sio sahihi kwa mtoto mwenye hana makosa dah ujue unaniumiza so tunashuru kwa kutuletea s2 inaonekana fikra hazikuishia kwenye s1 wish u all good job 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Namkubali sana Melisa na hemed
Wale tunaoangalia Melissa baada ya kutoka kanisani tujuane 🎉🎉🎉🎉
Ulijuaje baada ya kutoka church
Kazi nzuri bro,,,sasa nimefurahi tuu sanaaah,,, good work brother 😊🎉
Mood tafuta mke bwana melisa wake ni hemedy kama unaamini ivo nipe like tukisonga❤❤❤❤
Jmn hii mevo mbn nzuli sana❤❤❤❤
Duuh kumbe na mtoto mdgo anaweza kuigiza amkefaa duuh hii qali😂
Ushasema kuigiza😂
Kumbuka ni kuigiza
Jamanijamani.nom.mis.sanamelisa❤❤❤❤🎉🎉
Mi simpendai huyu mod anaharibu tu
I really like watching your movie
Mwarab wa msewe chado anakutafuta 😂😂
waooooooh nimefurah san kuona melisa tna
Wao tuliokua tuna subiri melisa s2 gonga like
Wow😂 thanks for coming back again 🎉
Wapi nduru ya melisa ❤❤❤❤ ww
Nko apa hemedy chande umetuweka sana unatusahau wenzio jamni ila patamu umu tu 😂😂😂❤
Muddy nakuelewa the situation 😭😭🙌🙌isikie kwa mwenzio
Mapenzi shikamoo
Nimewai leo❤❤😂😂
Zain kidem jau anakusubiri kule 😂😂😂😂
😂😂😂😂
😅😅
Jamn 😂😂😂
Kabisa akamuokoe kituon😂
Napenda sana melisa na .hemedi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Tuliofrai kuangalia Melissa s2 kama mm Wali like zetuu😅
Naipenda sana😅😅
Hapo unyama kajua imeisha kimagumaishi hvo sigekuelewa chande the big 🌟
Nimefurahi Sana Kumuona Muck na Melisa Wakifurahi😃😄
Safi San brother chande nakubar San ❤❤❤❤
Nahuku pia unatafutwa nakidem jau ako namimba yako 😂😂😂😂
😂😂😂na aende akalee mimba
😂😂😂😂😂😂anajizima data
Waowaowaowaowao maombi yangu yamejibiwa ilove melisa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Unyama 2 wanangu kwa huyu boi ila ushauri wang kwako kuwa makn na hii movie ju inakupandisha juu sana
Mambo niyapendayo haya sasa MELISA😍🥰🥰
We rasta Rudi chado anakutafuta 😢😢ukaree mimba yako
Aaaaarg 😂😂😂😂
Ila coment za humu zanifurahisha😂😂
😂😂😂😂😂😂😂🙌...
Watu watu jamani em muachen kaka wa watu😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂hadi huku
Niueee😂😂😂 🙌
Wooow umejua kunikoshaaa😜
Nime chelewa kidogo, ila asante sana CHANDA Tv kwakuendeleya kutu burudisha na kitu kizuri kama ichi 🤜🤛 tuko pamoja na nyinyi mpaka mwisho📺
Hongera hemedy chande🎉🎉❤
Huyo msichan hajui mahali pakuanzia kulipiza kisasi
Aki mm niliisuburia hii hemedy kakangu vitu vyako mbona tamu hivi nakupenda ww mkaka wa watu 🎉🎉❤❤❤
Hemedy kaka unajua kupenda
🎉🎉🎉 wakwanza sizn two naombeni lek na wale wanao mkubali Melisa
Wawoooo niliimis kumuona melisa
Mtoto wa Melissa mzurii mashallah 😍 ♥
Shani karibu sana Kwa Melisa series🎉🎉🎉
Nilikua ni me miss 😂😂😂😂Wooow apa ni sawa kabisa 🫵👌👌😏