KIMENUKAAA! CHADEMA WAJA JUU, MGOMBEA WAO KUTEKWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 16

  • @BethoridKaro
    @BethoridKaro День тому +2

    Hamuna sela nyinyi

    • @BethoridKaro
      @BethoridKaro День тому +1

      Kila sku kulala Mika na kuchochea vurugu chama kimekufa chadema mmekwama

    • @Omarimakuka
      @Omarimakuka 21 годину тому

      Hakuna chama hapo😊😊😊😊

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 7 годин тому

    Kumbe kajificha mwenyewe sasa kwa Hali hii kweli tutafika kusema katekwa kumbe kajificha sasa hii tuite nini si uwongo na kutoaminiwa Tena maneno yenu

  • @thadeusmateru1356
    @thadeusmateru1356 День тому

    Kwa mtindo huu afadhali na ukoloni.. mkoloni hakuwahi kuteka au kuua aliyepambania haki

  • @AsteriaMasika-st5pk
    @AsteriaMasika-st5pk 3 дні тому

    Mungu wangu nchi imeisha hii hatari

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 3 дні тому +1

    Hii kutumia neno kuomba kuomba,linashusha thamani,hii ni haki yenu haiombwi,ni wajibu wa kikatiba.

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 3 дні тому

    Hiv Kiluwiluwi huyu zinamtosha kweli. Unajitekaje. Wauwaji wakubwa .

    • @julianamwamgogwa
      @julianamwamgogwa День тому

      Sesilia unataka uje utekwe wewe ndo ujue kuna utekaji?tena bola ya huyo vyombo vya abali vimetangaza sasa wewe hoeaye nani atalia msiba wako?acha kulopoka ayajakufika

  • @FredMramba-hx3gl
    @FredMramba-hx3gl 3 дні тому +1

    CDM mnalalamika Sana Mpaka kero nyie amjui kuwateka?

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 3 дні тому

      Kitendo hicho unataka, Tutakuwa wakimbizi mapema. Bora tusimame kukataa ujinga huo.

  • @issakazi2758
    @issakazi2758 3 дні тому

    Wenda wazimu tumawafahamu kwa ujinga wenu chadema

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 3 дні тому

    Kwa hiyo uchaguzi una mauaji na utekaji??? Turudi pale pale kwenye maombi Mungu awathibiti watekaji na wale wanaowalipa. Lolote litatokea tu tukiomba kwa nguvu zetu zoote

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa День тому

    Wamempeleka polini kumuua kama kawaida walongido alisema wanawapeka machakani kuwaua na yule wakikosi cha chinjachinja nawengine wengi mungu anajua

  • @kiluiWanguvu
    @kiluiWanguvu 3 дні тому +1

    Mnajiteka wenyewe mnazuga tu

    • @lukomanomaliki5442
      @lukomanomaliki5442 День тому

      Hata kama wanajiteka wenyewe,kwani serikali Iko likizo,iwachukulie hatua.Nini kinaizuia.