Je, ni nani anayewateka nyara vijana wa Kenya?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 25

  • @Zezeta-yr3hy
    @Zezeta-yr3hy День тому +14

    Mnauliza nini hapa...ni Ruto na hakuna mwengine

  • @mamuomar5749
    @mamuomar5749 19 годин тому +3

    SubhanAllah na mbona ichungwa yuasema ni gachangwa kumbe ruto pia yuausika

  • @jamesnganga6387
    @jamesnganga6387 15 годин тому +1

    Karibu kanya hakuna matata sahizi kuna matata very bad🙆Ruto ndie boss waa wasee wenye wanatufinya makende🙆✌️🇰🇪

  • @LucySimba
    @LucySimba День тому +2

    Asante kwa vijana kurejea Mwenyezi Mungu Awalinde

  • @VipQatat
    @VipQatat 21 годину тому +5

    Ruto MUST GO

  • @franciskimweli8909
    @franciskimweli8909 День тому +5

    Ni ruto

  • @ekaalemathew8340
    @ekaalemathew8340 День тому +3

    They must give all information.

  • @kebasomoraraa
    @kebasomoraraa 21 годину тому +2

    The problem with Africa is that those with leadership ideas are in not in power but those in power have no ideas on leadership. Senator Onyonka is one of the people whom I can share ideas with as much as leadership is concerned. For the abductions cases it's so disheartening; Billy Mwangi's father made me shed tears when he cried in court asking where his son is.. At least my tears didn't shed in vain.Thank you Lord for Billy's return. It's not yet over. I still believe RUTO will not reach 2027. His time is coming. If you agree with me leave a heart and follow please ❤️.

    • @geofreyngero9449
      @geofreyngero9449 18 годин тому

      Na wewe ni kabaso kweli ama ni mtu anatumia jina la morara vibaya??

  • @sammTutor
    @sammTutor День тому +1

    The fact that hukusherehekea na wazazi wako was enough for these kids....But one day God will fight for us. Kwanza kware open graves....Kweli Kenya mnyonge hana haki

  • @babewajeff
    @babewajeff 17 годин тому

    Nani amekuwa akichorwa ama mliona sura ya gachagua pahali..Ruto always twisting stories and looking for who to blame after his failures..

  • @kilofaqacumar6294
    @kilofaqacumar6294 17 годин тому

    Hiyo habari ni uchafu na sisi wakenya hatutakubali wahalifu waendelee kuchafua usalama wa nchi hii ya kenya

  • @gthricer
    @gthricer 16 годин тому

    Who can provide change

  • @gthricer
    @gthricer 16 годин тому

    Yamezidi

  • @LucySimba
    @LucySimba День тому

    Hu jambo Nimoroud Tabu naomba wakati Taarifa zinapotokea zije pia kwangumoja kwa moja mnachelewesha sana baada ya siku moja ama mbili ndio nipate Matukio ya nchi

  • @Jamesmulei123
    @Jamesmulei123 21 годину тому

    Mnauliza nini sasa? Ruto na magaidi wezake ndio wahusika pull stop

  • @Rafaeljay76.
    @Rafaeljay76. 23 години тому

    Government eating it's own.

  • @SheeMaryam.M
    @SheeMaryam.M 16 годин тому

    Kwa nn ni wale tu wana pinga government?? Sio wengine?? Watu sio wajinga..

  • @MagyNganga
    @MagyNganga 23 години тому

    Bila shaka ni ruto na sasa anataka awekelee gachagua watu sio wajinga juu ata Vile hakua ametoa gachagua bado walikua wanawabeba vijana

  • @intelligencechris
    @intelligencechris 21 годину тому

    this was scripted by wambugu ngunjiri and cleo malala

  • @Beliers
    @Beliers 20 годин тому

    Stop pretending msaada y nn

    • @SheeMaryam.M
      @SheeMaryam.M 16 годин тому

      Kama anaendea mtu kwa nyumba, wanashindwa kuwafata kwenye wako