Wewe lisu akili auna kama uliweza kutukana mwenyekiti wako kisa huchu wa madalaka mpumbavu wewe. Wewe na chama chako uje utuongozeee nchi. kalale huko ccm wataendelea kuwa juuu
Nashangaa katikati ya nchi yenye rasilimali nying kama madin ya kila namna almas dhahab tanzanite rubi nk, na mbuga za wanyam nying mito maziwa bahari gesi ardhi nzuri lakin bado wananch weng ni maskin wakutupa huku viongoz wao ni matajir na nchi ina matatizo kibao na bado kuna baadhi ya watu hata sas hawajui kua kwao maskin kunatokan na serikal walionayo.
Yaah ni AIBU sana afu utakuta kuna kum...bado yupo kwenye CHAMA CHA MBOGAMBOGA 😭😭 inaudhii!! Utagundua TZ bado kuna wapumbavu ambao HAWAJITAMBUI ......Viva CHADEMA 🇹🇿🇹🇿✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
@@Majambo_Duniani_Tv alitumia nguv nying san na weng waliumia unakumbuka utekaji ulishamiri kipind gan magu alifany vizur lakin alipoharibu ni pale alipotumia nguv nying na watu wakaumia
@@sonilyemily523 swala la nguvu hutumika pale kwenye vikwazo, mi nilitegemea TAL awe wa kwanza kumpa sapot magu badala yake akawa anawatetea wa wekezaji. Shame bro. Haiingii akilini kwamba mwekezaji anaechimba madini anachukua 97% wew anakuachia 3% na isitoshe anaondoka pia na udongo.. Mtu wa hivi lazima utumie nguvu maana anaka na mapandikizi ya kila namna kuanzia wanasheria, vyombo vya usalama na wanasiasa, so ukimgusa utawaona washirika wake wakipiga makelele kuwa unaenda kinyume na makubaliano ya mkataba. Makubaliano ya ajabu kabisa, Magu he was right
@Majambo_Duniani_Tv lakin aliyesain na kusimamia hio mikataba ya namna hio si haohao ccm kabla magu hajaanza kuzuia walikua wanabeba wanapeleka ulaya tokea mwanzo na serikal ikiwepo kiufupi viongoz wa ccm ni fuata upepo
Tatizo tumechoka kuibiwa kura, tunahangaika foleni,jua lakini ccm wanaiba kura zetu. Ninyi viongozi wa chadema mmejipangaje kuhusu suala hili, au ndiyo mchezo ule ule, tumechokaaaaa.
Chadema simpishanishi na mpinga kristo 1, ikiwa watu wanokamata nafasi za uongozi na wale wale waliofanya kazi kwenye serikali siku za nyuma wameifanyia nn serikali ikiwa kila Jambo linalofanywa kwao ni baya tu hakuna Jambo linalosifiwa wananchi wenzangu tufanyeni kazi tusipotezwe na hao chadema waishauli serikali mambo mazuri Ndio tuwaunge mkono ,.
BORA MTENDA DHAMBI ANAEHUBIRI UKWELI KULIKO MTAKATIFU ANAEKAA KIMYAA MBELE YA MAOVU YANAPOENDELEA KUTAMALAKI (FISIEM BUNGENI NA NJE YA BUNGE TUKIACHA MPINA)
Mbowe ana busara na hekima nyingi. Tubuni tabia zenu mponye mpasuko wenu mlichafua chama na viongozi ili mpate uongozi. Mmepoteza mvuto wa chama kabisa mnajinasibu mabadiliko yanakuja hayo ni maneno tu
Wewe ni mjinga unatakiwa kuelewaa serikali yako na wewe ndio utakoma madhara ya marekani kujitoa sio Kwa chadema wewe ni mjinga sijui kama unaelewaa wizara ya afya hospitali matibabu na vyuo vyetu vinabebwa na marekan
@@angelaangela5805 Wewe ni Zombi hujui unachokiongea pimbi wewe! Yaani unafikiria Marekani kujitoa kutoa misaada madhara ni kwa chadema!? Wewe sijui kichwani unatumia nini? Au kinyesi!? Madhara ya Marekani kujitoa yatamgusa kila mwananchi wa Tanzania na Afrika pia! Viongozi wa Africa wengi ni majizi na mafisadi! Nchi ina kila rasilimali za kuwezesha wananchi kupata huduma bora na muhimu na kutokuwa maskini,lakini kwa sababu ya viongozi wabadhirifu na majizi wananchi ni maskini na huduma muhimu kama elimu,matibabu, miundombinu ya maji na barabara bado ni duni! Huku viongozi wanaendelea kujilimbikizia mali na kuacha maskini wakiteseka! Ndiyo sababu hata Rais Trump ameona ni upuuzi kutoa misada kwamba unasaidia maskini wakati Nchi zao ni Tajiri na rasilimali zinaishia kwenye mikono ya viongozi manyang'au!
Kwanini taifa hili lisiweke kula za online tupige kwenye simuu maana tutafanya kazi bure ya kupiga kula kwa makaratasi alafu watu fulani wanaibaa kula aseee 🌚
Ukombozi ni mhimu ZAIDI kuliko kuwaza kunawa ndo ule chakula,,, kula haraka kwanza muda wa kunawa sio muhimu pia komboa watu kwanza usiangalie ulichanaje nywele upepo umezichanganya ndipo ukomboe watu,, time the time before time times you
Kinacholiliwa hapo na lisu ni madaraka ili kuridhisha wafadhiri wake. Ina maana lisu ni bora kuliko watu wote kwenye hii nchi ? Ni upumbavu kuwaza japo ana haki ya maoni lakini msiwe mafara sana kuwasikiliza hawa wanasiasa wanahangaikia sana ustawi wao binafsi.
Mpaka unapata uwezo wa kukoment ni kua umesikiliza huu unao uita ufala je? Ww uko upande gan kama ww unatuambia tucsikilize ufala huu acha kubeza Iman za watu nenda kawashauli wenzako mnae endana nao
Kijana asiyependa mabadiliko basi ungebaki na sofà lako miaka yote bila kubadilisha uone myumba inakuwaje kichaka ndo CCM lazima ubadilishe ili kuona tofauti,haupendi mabadiliko ya nchi
Heche you are best and logical politician ever, all the best bro🔥🔥
Umekuwa omba omba baba 😅😅😅 tunaendaje mbele😅😅😅😅
washauri wa Mwenyekiti mpo vzr hongereni, naona mheshimiwa leo amenyoa na kuchana nywele vizuri
😂😂
Chadema safi sana uongozi mupya saf sana mungu awasaidie sana
Wewe akuna mtu wa kwenda kuandamana hapa tunapenda amani
Huyu Heche anafanana sana na raisi wa kwanza wa Zanzibar. Abeid Karume.
Big brain Lissu, Heche ✌️
Ogopa sana ambaye hana Cha kupoteza...lissu hana Cha kupoteza....tujifunze ya msumbiji TU 😂😂😂
Heche ni next level 😂😂
Wewe lisu akili auna kama uliweza kutukana mwenyekiti wako kisa huchu wa madalaka mpumbavu wewe. Wewe na chama chako uje utuongozeee nchi. kalale huko ccm wataendelea kuwa juuu
Ukitaka usipate mawazo,ukitaka usiwe na presha ukitaka kujua mambo ya nchi hii wasikilize sana hawa watu
Heche nampendaaaa anajua kuongeaaa
Hongereni viongozi wapya wa CHADEMA kwa kuanza kazi Rasmi.Lakini Msituchuuze Wala kulegeza kamba katika kile "No Reforms,No Election"
Nashangaa katikati ya nchi yenye rasilimali nying kama madin ya kila namna almas dhahab tanzanite rubi nk, na mbuga za wanyam nying mito maziwa bahari gesi ardhi nzuri lakin bado wananch weng ni maskin wakutupa huku viongoz wao ni matajir na nchi ina matatizo kibao na bado kuna baadhi ya watu hata sas hawajui kua kwao maskin kunatokan na serikal walionayo.
Yaah ni AIBU sana afu utakuta kuna kum...bado yupo kwenye CHAMA CHA MBOGAMBOGA 😭😭 inaudhii!! Utagundua TZ bado kuna wapumbavu ambao HAWAJITAMBUI ......Viva CHADEMA 🇹🇿🇹🇿✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
Wakati Magufuli anazuia Makinikia yasiende Nje ya Nchi mnakumbuka mtu wa kwanza kumwita Dictator uchwara ni nani?? Tusisahau haraka hivi jaman😢
@@Majambo_Duniani_Tv alitumia nguv nying san na weng waliumia unakumbuka utekaji ulishamiri kipind gan magu alifany vizur lakin alipoharibu ni pale alipotumia nguv nying na watu wakaumia
@@sonilyemily523 swala la nguvu hutumika pale kwenye vikwazo, mi nilitegemea TAL awe wa kwanza kumpa sapot magu badala yake akawa anawatetea wa wekezaji. Shame bro. Haiingii akilini kwamba mwekezaji anaechimba madini anachukua 97% wew anakuachia 3% na isitoshe anaondoka pia na udongo.. Mtu wa hivi lazima utumie nguvu maana anaka na mapandikizi ya kila namna kuanzia wanasheria, vyombo vya usalama na wanasiasa, so ukimgusa utawaona washirika wake wakipiga makelele kuwa unaenda kinyume na makubaliano ya mkataba. Makubaliano ya ajabu kabisa, Magu he was right
@Majambo_Duniani_Tv lakin aliyesain na kusimamia hio mikataba ya namna hio si haohao ccm kabla magu hajaanza kuzuia walikua wanabeba wanapeleka ulaya tokea mwanzo na serikal ikiwepo kiufupi viongoz wa ccm ni fuata upepo
In God we trust lissu
Mungu awaongoze katika kutimiza mema
Chama pendwa Mungu awalinde watanzania wako pamoja nanyi
Tatizo tumechoka kuibiwa kura, tunahangaika foleni,jua lakini ccm wanaiba kura zetu. Ninyi viongozi wa chadema mmejipangaje kuhusu suala hili, au ndiyo mchezo ule ule, tumechokaaaaa.
Nice speech
CHADEMA oyeeee 🎉🎉🎉🎉
Lisu Oyeeeee,,,,, Nakpenda bure!
kuna huyo mama hapo kanuna tu....naona hakuwataka kina heche
True uyo ni mwenyekiti WA bawacha
Wewe ulikuwa hujazaliwa 😂
Stronger together
Mwenyezi MUNGU Awaongoze vyema ndugu zangu
Lissu ni mafuriko
Tupo nyuma yenu makamanda
Ila heche aise🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Chadema oyeeeeeeeeh
Unataka kupata uelewa mkubwa sikiliza hivi vichwa
Safi sanaaaaaaa
Lisu vs heche juuu.
Kama mmejiridhisha mnatosha kuweka battle na CCM nendeni kwenye kampeni tuone kama mtatoboa,.
Chadema simpishanishi na mpinga kristo 1, ikiwa watu wanokamata nafasi za uongozi na wale wale waliofanya kazi kwenye serikali siku za nyuma wameifanyia nn serikali ikiwa kila Jambo linalofanywa kwao ni baya tu hakuna Jambo linalosifiwa wananchi wenzangu tufanyeni kazi tusipotezwe na hao chadema waishauli serikali mambo mazuri Ndio tuwaunge mkono ,.
Lisu,heche atali sana
Nimepitia comment zote nikakumbuka, charses pierce aliwahi kusema "The Truth is not the matter of opinion is the FACT of the world" ✍️✍️
Mmmmh Sasa kumenoga
BORA MTENDA DHAMBI ANAEHUBIRI UKWELI KULIKO MTAKATIFU ANAEKAA KIMYAA MBELE YA MAOVU YANAPOENDELEA KUTAMALAKI (FISIEM BUNGENI NA NJE YA BUNGE TUKIACHA MPINA)
Mdundiko nakumbuka mwaka 1993 nipo la 3 mdundiki ukipita tu unapata nafasi ya kutoroka na mdundiko kweli WAHENGA
Boni yai, sugu, mbowe na wenzenu rudini nyumbani kumenoga. Kama hamtokuja mtaleta tafsiri nyengine
Mbowe ana busara na hekima nyingi. Tubuni tabia zenu mponye mpasuko wenu mlichafua chama na viongozi ili mpate uongozi. Mmepoteza mvuto wa chama kabisa mnajinasibu mabadiliko yanakuja hayo ni maneno tu
siasa xa Tanzania hazihitaji busara wewe KUMA.
low minded thoughts
Una matatizo ya uelewa
Milard wewe mnafiki sana eti wajitokeza😂
❤✌️✌️✌️
Wamezoea kuomba , watakiona , Trump kawafukuza hawana pa kuomba pesa.
Wewe ni mjinga unatakiwa kuelewaa serikali yako na wewe ndio utakoma madhara ya marekani kujitoa sio Kwa chadema wewe ni mjinga sijui kama unaelewaa wizara ya afya hospitali matibabu na vyuo vyetu vinabebwa na marekan
@@angelaangela5805 Wewe ni Zombi hujui unachokiongea pimbi wewe! Yaani unafikiria Marekani kujitoa kutoa misaada madhara ni kwa chadema!?
Wewe sijui kichwani unatumia nini? Au kinyesi!? Madhara ya Marekani kujitoa yatamgusa kila mwananchi wa Tanzania na Afrika pia!
Viongozi wa Africa wengi ni majizi na mafisadi! Nchi ina kila rasilimali za kuwezesha wananchi kupata huduma bora na muhimu na kutokuwa maskini,lakini kwa sababu ya viongozi wabadhirifu na majizi wananchi ni maskini na huduma muhimu kama elimu,matibabu, miundombinu ya maji na barabara bado ni duni! Huku viongozi wanaendelea kujilimbikizia mali na kuacha maskini wakiteseka! Ndiyo sababu hata Rais Trump ameona ni upuuzi kutoa misada kwamba unasaidia maskini wakati Nchi zao ni Tajiri na rasilimali zinaishia kwenye mikono ya viongozi manyang'au!
Ni kweli hicho kitendo cha mkuu wa mkoa wa dar ni cha kinyama kabisa
Kwanini taifa hili lisiweke kula za online tupige kwenye simuu maana tutafanya kazi bure ya kupiga kula kwa makaratasi alafu watu fulani wanaibaa kula aseee 🌚
Ata online wanaiba awawatu nimajangili
😂😂😂@@frankmsai7461
😂😂😂😂🙌@@frankmsai7461
Kwel
LISU YOUR POLITICAL INFLUENCE LET IT BE NOT FOR PRESTGE & POPULARITY BUT FOR THE BENEFITS OF THE MASS( TANZANIANS ) AND THE THE REST OF THE WORLD...
Lisu
😂❤
Tukubaliane kwanza kwamba leo Mh: kanyoa na kuchana nywele😂😂
Wakati wa mapambano nywele utachana saa ngapi 😂😂😂
😂😂😂 kabadilika leo
Ukombozi ni mhimu ZAIDI kuliko kuwaza kunawa ndo ule chakula,,, kula haraka kwanza muda wa kunawa sio muhimu pia komboa watu kwanza usiangalie ulichanaje nywele upepo umezichanganya ndipo ukomboe watu,, time the time before time times you
✌✌✌
Vichwa akili mingi
Hamnazo unapoteza tu muda wako .
Daaaah
Akili nywele , wasio na nyele vipi ?
Genge la wahaini ndani ya chama hakuna mipango ya maana hapa. Tutaona yetu macho na masikio
Genge la wahuni liko CCM maana ni lini mlifanya uchaguzi wa mwenyeketi jinga kubwa wewe
Ukosefu wa akili ni mzigo mkubwa sana
@hoseanobocka7140 Tena mkubwa sanaaaaaaa Bora kuwa kipara ukakosa akili kuliko kuwa na nywele alafu huna akili
Kumekucha
Kinacholiliwa hapo na lisu ni madaraka ili kuridhisha wafadhiri wake. Ina maana lisu ni bora kuliko watu wote kwenye hii nchi ? Ni upumbavu kuwaza japo ana haki ya maoni lakini msiwe mafara sana kuwasikiliza hawa wanasiasa wanahangaikia sana ustawi wao binafsi.
Chuki yako tu wewe bahati mbaya hujajaliwa kuwa kama LISU na kama wapo hatuwabezi kama wewe unavyofanya kwa LISU acha chuki kaka
Mpaka unapata uwezo wa kukoment ni kua umesikiliza huu unao uita ufala je? Ww uko upande gan kama ww unatuambia tucsikilize ufala huu acha kubeza Iman za watu nenda kawashauli wenzako mnae endana nao
Chadema genge la wahuni 😂😂
Wewe na baba yako, na mama yako, na ndugu zako wote ndio GENGE LA WAHUNI.
Zombi usiyejitambua wewe ndiyo mhuni na akili zako za tumboni!
Kijana asiyependa mabadiliko basi ungebaki na sofà lako miaka yote bila kubadilisha uone myumba inakuwaje kichaka ndo CCM lazima ubadilishe ili kuona tofauti,haupendi mabadiliko ya nchi
Wewe una tatizo kubwa sana kichwani
Hujalazimishwa kukoment Kila mtu anao uhuru wa kusimamia anacho kiamini hivyo si vema kuzodoa mitazamo na Imani ya watu
wahuni kazini hahaaaaaaa
Kweli eeh haya sawa
Ikifika uchaguzi na dampening wanarudia mikoa kufanya dampeni
Wachaga nawasingida hawakosekani
Stronger together
Stronger together