Mapishi ya Biringanya / Mabiringanya Matamu Sana/ Eggplant Recipe / Tajiri's Kitchen
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- RECIPE ZENGINE KAMA HIZI ⬇️.
Kuku na Mboga Mboga /Baked Chicken & Vegetables /Kuku wa Kuoka ➡️ • Kuku na Mboga Mboga /B...
Rosti la Bamia/ Nyama na Nazi /Okra Meat & Coconut Cream/ Mabenda ya Nazi na Nyama➡️ • Rosti la Bamia/ Nyama ...
Jinsi ya Kupika Rosti la Bamia, Biringanya ,Mabenda, Nyanya chungu /Vegetables Recipe ➡️. • Jinsi ya Kupika Rosti ...
Jinsi ya Kupika Vitungu Vya Mviringo Vitamu Sana /Onion Rings Crunchy ➡️ • Jinsi ya Kupika Vitung...
Spinach Recipe /Jinsi ya Kupika Mboga ya Majani na Mambo Muhimu ya Kuzingatia➡️. • Spinach Recipe /Jinsi ...
Ugali / Mboga ya Majani /Sembe ,Mchicha na Samaki /Ugali , Fish & Amaranth /Full healthy Recipe ➡️ • Ugali / Mboga ya Majan...
FACEBOOK : TAJIRI'S KITCHEN ➡️ / tajiris-kitchen-100334...
INSTAGRAM : TAJIRI'S KITCHEN ➡️ ...
#mboga #mapishi #swahilifood #kenyafood
Verry good food thanks tamu tamu
Nmependa nzur
Looks very delicious
Tajir's kitchen super
Shukran 🥰
So good
Wow nice napendaga mapishi yako asqnte napendaga yakipikwa mazur ni matam
Asante sana
Maa shaa Allah
Maa Shaa Allaah
Haiya...HIYO ni recipe TAMU XANA..imekaa kama achari maembe... love from Mombasa MAGONGO MKOMANI KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Masha Allah
Asante mama umenifundisha vitu vingi mpaka sasahivi nimeheshimika kupitia wewe 🥰🥰🥰🙏
Nafurahi sana kuskia ,na karibu sana 🥰
Rostiiiii🤤🤤🤤 mashallah bado wali thuuuu😋😋
Kabisa tena, yani utakula hadi usinzie 🤣🤣🤣
Yummmmmm na Ka sima soft
Wajulia 😋
Asante, nimepika leo nikapenda sana. Sijawai pika biringanya tamu kama hii ya leo
I came back to watch it so I can make it exactly because it looks delicious I will ad beef broth
😍😍😍Hope you will enjoy habibty
Masha llah ❤❤
❤asante sana mum kwakunifunza kupika piringnya
Thank you..Mungu akuweke uendelee kutufundisha
Ameen.......atuweke sote dear ❤️
Mashallah mpishi
😍😍😍
Sisi Huku tanzania,tunaita mabilingani!😊👌🏻
Yeah, ni sawa tu sis
Napenda sana mapishi yk
Shukran sana
Looks very delicious...
Thank you
Haya niyapate Na kipande cha papa na ugali,,utamu ju ya utamu 😋
Aki you cooked them so well
Heee Wajulia sana hun, yani umetaja huyo Papa mate yanitoka natamani nimpate😋
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 haha…pole, i know
Hebu njoo ule hadi ubebe
@@terryskitchen337 😋
Very delicious
Thank you
Tamuu
Sijawahi kujua ya egg plant MashaaAllah looks so delicious ♥️ asante I don’t really like eggplant I eat it in a blue moon I think it’s time for it after seeing this 😊
Nilikuwa sipendi eggplant lakini tangu nianze kula Mediterranean food, I fell in love with eggplants, I cook lots of different recipes from it.
Apo upate kaugal laini na mziwa mmbo ni yummy 😋
Wajulia sana dear
Mwiko kama wa oman
Yanavutia nyanya chungu napendaga kuyakataga ivyo
Jamba sana unaeza piga kbx
Looks very nice! Recipe is easy to follow too! 😀
Thank you dear 😘
I love egg plant 😍
Yeah it's so yummy 😋
Hallo plz tuonye achari ya biringanya
Mambo mazuri … I love your recipes xxx 😘
Yummy 🤤🥰🥰
Yeah🥰
Yummy
😋😋😋
😁
Mashallah shukrani habiptiy maana hapa nimeletewa fuko la mabinganyi kama yote kwa pishi lako nimekuelewa vizuri wacha nikapike na mie
Karibu sana habibty na jienjoy kwa utamu ulio hapo 😋👌
Inaoendeza sana nitajaribu
👍
Yummy but mm huwa sipendi spices nyingi
Utaweka kiwango chako tu dear
Asante sana
Karibu sana
Ukikosa izo green pepper unaeza ukaweka Hoho instead??
Yeah unaweza weka zozote tu dear
Shukran 👍
🤪
My Dada kwani biringanya haimenywagii
Ukipenda unamenya dear, but SD kwetu nyumbani sikuwahi kuona wakimenya hadi hivi😊
Nadondokwa mate
😋😋😋
Cook with mavuta only
Jinsi ya kupika halwa sijaona
❤❤❤❤❤❤❤😂❤
🙄🙄😋😋😋
😍😍
Upate na wali wa nazi na tafi
Heee utakula hadi usinzie 🤣🤣🤣