PolePole: Tulitaka Kiongozi Ambaye Hayumbishwi na Vijimaneno, Tukapata MchapaKazi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • All the African Music. Hottest SHOWS... Experience Africa
    100.5 Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
    Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

КОМЕНТАРІ • 28

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 7 років тому +4

    Mimi nakukubali ndugu PolePole ki ukweli kwanza wewe ni kichwa na jingine umekomaa na shuhuri zako ki sawa sawa kabisa Asante sana.

  • @kassimibrahim4776
    @kassimibrahim4776 4 роки тому +1

    Comrade unauwezo wa juu sana kwa unayoyaelewa.......walisema eti umeshindwa kuvaa viatu vya mtangulizi wako.....ila wapi ww ni zaidi

  • @immaculataroeser8428
    @immaculataroeser8428 5 років тому +1

    Polepole moto wa kuotea mahali! cary on.

  • @hassannyalile2256
    @hassannyalile2256 5 років тому +2

    Fundi mkuu wa ccm taifa, Taifa linakutegemea sana sana kiongozi wangu.

  • @salummuhija4435
    @salummuhija4435 6 років тому +5

    sijamuona mtu yeyote kutoka chadema anaeweza kusimama na pole pole katika mambo haya ya siasa. chadema ni matusi lakini kueleza sera za chama vizuri hamna.

  • @clevalupakisyo7460
    @clevalupakisyo7460 7 років тому +3

    Polepole fireeeee

  • @jessemwasanguti8165
    @jessemwasanguti8165 7 років тому +3

    Uko vizur

  • @almutasemalbusaidi2533
    @almutasemalbusaidi2533 7 років тому +3

    Tunataka part 2

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 6 років тому +3

    wewe nifundi tena una wajibu polepole bila haraka hongera kiongozi

  • @salummuhija4435
    @salummuhija4435 6 років тому +3

    Watu wanaojua mambo utawaona tu, yaani ni makini mno mno. Sasa hapo angekaa mtu Fulani anajiita mchungaji ungesikia matusi tu.

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 2 роки тому

    Haka kimalaya bado kanaishi?...

  • @jeniphermaiko3886
    @jeniphermaiko3886 5 років тому +2

    wewe ni jembeeeeee

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 5 років тому +3

    Hivi Pole pole una miaka mingapi??una onekana mdogo sana lakini una akili buwa kuliko umri wako 🤣🤣🤣🤣Lol

  • @manish-fp1fb
    @manish-fp1fb 6 років тому

    bilioni 300 na na si bilioni 80 ........

  • @lgffumbuka183
    @lgffumbuka183 4 роки тому

    Mmmh, Polex2 ameiva. Nadhani hakutaka tu kusema kwamba CHADEMA waliwaunga mkono Jubilee sababu ya ukabila. Lowassa kama utakumbuka alisema wana umoja wa langwainan wa East Africa hata kabla ya uchaguzi

  • @nassorsaid2331
    @nassorsaid2331 7 років тому

    Waandishi mnashindwa hata kumchallange kama kweli wameongeza hizo hela zote kwenye mikopo haijawai kutokea kwa nini watu wengi zaidi ya jawahi ambao Hawana mikopo ya shule?

  • @nassorsaid2331
    @nassorsaid2331 7 років тому

    Acha ujinga we polepole toka enzi za katiba mpya ushachange your showing your true colors now...na duniani kote kuna maraisi na vyama mbalimbali vya nchi nyingine zinazo endorse vyama vya nchi nyingine

    • @greensky9607
      @greensky9607 7 років тому +2

      Nassor Said mfano pliiz

    • @nassorsaid2331
      @nassorsaid2331 7 років тому

      Brian Baraka wapo wengi tu but to name a few Putin raisi wa Russia kwa trump,wa Israel kwa trump na obama alimu endorse frank raisi wa ufaransa

    • @greensky9607
      @greensky9607 7 років тому

      si sahihi kaka, research upya,
      in short una mu-endorse mtu from the same party within ya country and not outside of ya country simply kuondokana na ukakasi unaoweza kutokea wa kidiplomasia. So the Israelites and Russians(governments) congratulated Mr. trump aliposhinda na sio wakati anapambana katika kampeni, just as our President did. (Serikali hufanya kazi na Serikali zinazoongoza dola katika nchi husika na si wapinzani wa nchi hizo eg Huyo kenyata akishinda atashirikiana na Serikali ya TANZANIA na sio wana cdm).
      Ndio maana hapo mwanzo nimesema kuepuka ukakasi wa kidiplomasia,
      Mf. CDM walisema wanaisapoti jubilee, okay, uchaguzi umebatilishwa na mahakama ya juu, wapinzani waliofungua kesi na kushinda wamepata sifa zao na mahakama hiyo ya juu pia imesifiwa na Kenya kwa ujumla imesifiwa kwa ku exercise demokrasia ya kweli, at the same time kenyata amewapinga majaji(wale4 waliotengeneza historia hiyo) tena kwa kejeli na kuwaita wakora4 kuwa wamebatilisha maamuzi ya mamilioni ya Wakenya japo HANA budi kuheshimu walichokifanya (automatically anapinga demokrasia iliyotendeka), swali sasa, WHERE DO THE CDM POSITION STANDS BY NOW?
      1>PRAISING DEMOCRACY, >>to NASSA and the high court who won the battle of democracy?
      2>KUIPONDA DEMOCRACY >>still to kenyata who opposing the democracy that has been exercised and praised for the whole African continent?
      Hapa ndipo tatizo LA kuingilia siasa za nchi zingine zinapokuwa katika kampeni LINAPOKUJA, ndio ukakasi huo sasa, any jibu between those questions will automatically force them to be seen as the BIG LIARS.

    • @nassorsaid2331
      @nassorsaid2331 6 років тому

      Brian Baraka I know the difference betwhen endorsing and congratulating maybe you need to do more research nenda hata google ka search..mfano mwingine mdogo nchi nhim go za kiarabu zili muindorse hillary sababu ya islamaphobia that's not congratulating somebody

    • @mamad1175
      @mamad1175 6 років тому

      Huna lolote mahakam gani hapa bongo inaweza kuwa km kenya usituongopee

  • @joakimlotho6117
    @joakimlotho6117 7 років тому

    Huna lolote wew u talk nothing

    • @gilbertsalvatory9590
      @gilbertsalvatory9590 7 років тому +2

      Daniel Simon ulitaka aongelee yapi

    • @makambawaziri8588
      @makambawaziri8588 5 років тому

      Daniel Simon apo inaonekana polepole kakiteka kituo na lazima kuangalia muandishi alie kua vizuli ndio mumpe maojiano na mtu kama uyo