#BREAKING

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • #BREAKING: KINANA AMUANDIKIA RAIS SAMIA BARUA ya KUJIUZULU UMAKAMU MWENYEKITI CCM - OMBI LAKUBALIWA...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 75

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Місяць тому +5

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc Місяць тому +3

    Mzee huyu,Nampenda sana Ni kiongozi Bora,Mungu ampe maisha marefu,

    • @NzingulaSonda-lo1qc
      @NzingulaSonda-lo1qc Місяць тому

      Acha uongo huyo mzee kinana anaroho mbaya sana nimefrahi sana kujiuzulu 😂

  • @JumaKiyogomo
    @JumaKiyogomo Місяць тому +10

    Sasa hivi wataanza kumsema sema rais wetu kama walivyofanya kwa magufuli

  • @SharifaOman-bf1bn
    @SharifaOman-bf1bn Місяць тому +6

    Bora. Aende. Salaama.

    • @VicentBakila
      @VicentBakila Місяць тому +4

      Duuuu ameona jamaaa zake wametolewa

  • @loner_wolf
    @loner_wolf Місяць тому +3

    Kinana alijulikana rangi yake enzi za JPM .....alisema anapumzika , lkn JPM alvyopass tu , Kinana akarudi tena na smile 😂 . Hii inaitwaje ?

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 Місяць тому +9

    Kunani ccm mbona kama gizaa nenee

  • @Shalom803
    @Shalom803 Місяць тому +2

    Ila wazuri hawafi😢😢

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Місяць тому +3

    Wameshachota za kutosha mkija kushtuka kumekucha😂😂

  • @bongo39
    @bongo39 Місяць тому +4

    Washaanza kuumbuka wabaya wote na inshaallah watazidi kuumbuka mama piga kazi wote hao utakuja kusikia wanajiuanga kufungua chama Chao

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 Місяць тому +2

    Nyuki wameanza kutoka kwenye mzinga wa bibi. Uhakika wa asali unapungua.

  • @OmarAmran-t7k
    @OmarAmran-t7k Місяць тому +2

    Kinana na nape na jamuary dah . Bora mimi team jaffo

  • @MkaliZuberi-rt3gb
    @MkaliZuberi-rt3gb Місяць тому +1

    Wezi bado wapo mama kua makini

  • @calvinlema6107
    @calvinlema6107 Місяць тому +1

    Du msigwa anafaa kuwa makamu mwe/ kiti ccm🎉🎉🎉

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 Місяць тому +3

    Kuna jambo wanaunda hao mafisadi

  • @swelehemkumba5007
    @swelehemkumba5007 Місяць тому +3

    Umeona watoto wenu wametolewa na wewe umeamua kujiuzuru, nenda chama ni kikubwa sana.

  • @BakariTlagha
    @BakariTlagha Місяць тому +1

    Piga kazi Rais wetu Hawa wote wanajaribu kukukwamisha ila hawataweza

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 Місяць тому +5

    Yajayo.yanachekesha

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 Місяць тому +2

    Miongoni mwa uchafu uliokuwa CCM ni huyu kinana. Genge la wezi limeanza kuondoka

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 Місяць тому +3

    Kinana, Nape, Makamba. Evil trinity

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 Місяць тому +1

    Rais Samia ajiandae kijinsia, kisakorojia, na kiitakadi.

  • @nestor384
    @nestor384 Місяць тому +2

    Hovyoo.. we don’t remember anything good from him..

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b Місяць тому +1

    Nafasi ya kinana apewe mpina au ally kakulwa bashilu

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 Місяць тому +2

    asanteee sana

  • @mangobase
    @mangobase Місяць тому +3

    Genge linafuatana huyu na mwanzo wa hila mbaya kama walivyo Fanya Kwa JPM

  • @matalo0551
    @matalo0551 Місяць тому +1

    NATABIRI MWENYEKITI MSAIDIZI AJAE, ATAKAECHUKUA NAFASI YA KINANA NI MZEE WA SPANA MHESHIMIWA MAKONDA, NIPO PALE NANGOJEA UTEUZI WAKE KUTANGAZWA......

  • @GasparMfoi
    @GasparMfoi Місяць тому

    Washarithika na awastaafu wanataka wakatumie pesazao

  • @erastuskajuna812
    @erastuskajuna812 Місяць тому +1

    Anayefaa kumsaidia vyema sasa ni Bashiru!

    • @melch3097
      @melch3097 Місяць тому +1

      Wako naye ikulu, tangu wiki mbili zilizopita

  • @julianamasunga3458
    @julianamasunga3458 Місяць тому

    Aendee hana maajabu

  • @JamesAbel-ig8wb
    @JamesAbel-ig8wb Місяць тому

    Msigwa umeona hiyo siyo kukurupuka kisa wenzio wamekuudhi. Unatoka kuchafu unaenda kuchafu zaidi.

  • @user-il5pk2dr5n
    @user-il5pk2dr5n Місяць тому +2

    Kumekucha kumekucha..

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 Місяць тому

    Mh, Kinana umefanya vizuri kujiudhulu kwako maana wazee hasa wanatakiwa kupumzika wawaachie vijana tu na kama ingewezekana wazee wote wapumzike wawawaachie vijana ambao bado ubongo wao bado unakuwa na kupanga mambo bila kusahau maana uzee marz unaweza mengine unasahau wazee tuamue kama alivyo amua mwenzetu tungatuke vijana wapate ajira.

  • @RabihuHussein
    @RabihuHussein Місяць тому +1

    hii nilijua tu lazma ije

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 Місяць тому

    Bora

  • @HasinaIbrahim-bu5kq
    @HasinaIbrahim-bu5kq Місяць тому

    Mama kwa Sasa amebaki mwenyewe jmn watanzania ni wakati wa kumuunga mkono

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Місяць тому

    Asante mama Kwa kusikiliza kilio changu,Sasa nasubiri utamteua nani ? Maana huyo Mzee anyedai kujiuzuru angekutia aibu kunasehemu watu walijipanga kumzomea na kutoka kwenye mkutano kama angesimama huyo,na Mzee makamba kwani walichokifanya wanajua,kwangu roho kwatu mama pambana

  • @ExodusMarcStanley
    @ExodusMarcStanley Місяць тому

    Mama endelea kuwa jasiri waamini vijana

  • @feelNice-vi3lo
    @feelNice-vi3lo Місяць тому

    Mama ndio binadamu tulivyo muamini mungu tu sio binadamu mungu ni muweza wa yote amani amani amani amani amani tanzania

  • @simonkabuka9170
    @simonkabuka9170 Місяць тому +3

    Kinana ni mnafiki, kaachia ngazi kwa sababu ya kutumbuliwa kwa January na Nape.

    • @magdalenampanda1426
      @magdalenampanda1426 Місяць тому +1

      Uko sahihi kabisa.

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 Місяць тому +1

      Aaah! Eti eee! Na kweli kama no ramuli umeijua kwa kuunganisha doti

    • @tumainimayala8187
      @tumainimayala8187 Місяць тому

      Wote hawa ndo walewale…Kinana,January,Nnape..na baba zao..Magufuli alivyoeashugulikia hakuwa mjinga…

    • @elizabethkweji7304
      @elizabethkweji7304 Місяць тому +1

      Nahisi hiki ni chama😂😂😂,magufuli alikuwa na jicho la kuona,

    • @melch3097
      @melch3097 Місяць тому

      Ccm wote lao moja

  • @user-ry3zq8vp5c
    @user-ry3zq8vp5c Місяць тому

    Hayayangu macho kwamajirani mtaumbukasana bado mrezi kikwete nababu makamba

  • @user-wi2mv9hz3p
    @user-wi2mv9hz3p Місяць тому

    Dah group la utatu mtakatifu limeondoka

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter Місяць тому +1

    Wacha mvua inyeshe tuone panavuja

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 Місяць тому

    Mmmh kuna namna hapa 😂😂😂

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Місяць тому +1

    Pumzika Mzee Kinana , wewe Ni mtu mwema Saaana

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Місяць тому +1

    Tusishangae kijacho... PCM anachukua kiti kiulaini.. mtasikilizia muziki wake.. labda amefichwa mahali akipewa training..akiibuka huko patanuka

  • @renatusjeremiah
    @renatusjeremiah Місяць тому

    Hiiiiiiiiiiii aha!!!!

  • @chrissamani7921
    @chrissamani7921 Місяць тому

    Mama kawatoa timu yake kwenye sistym, asingebaki cheni imekatwa! Tusubiri njama za majungu tena,kama tulioshuhudia huko nyuma!

    • @melch3097
      @melch3097 Місяць тому

      Ndio kwanza kazi inaanza, mama aendelee kupiga sala tuu

  • @bushbabytz
    @bushbabytz Місяць тому

    KIMENUKA😂😂 WATAPIGANA MPAKA...

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu Місяць тому

    Walewale

  • @tobiaspaul9203
    @tobiaspaul9203 Місяць тому

    Hawataki agombee urais

  • @salehwaziri5062
    @salehwaziri5062 Місяць тому

    Tushawachoka kilasikunyinyitu kwanihamnawengine

  • @Ezeakutelevision
    @Ezeakutelevision Місяць тому

    Sepa 😂😂

  • @walidmgonja3644
    @walidmgonja3644 Місяць тому

    Mh!hii sio ile channel ya mataahira kweli!sianini habari zao mpaka nione Ayo au channel zingine za watu wenye akili.

  • @francismigongwa4146
    @francismigongwa4146 Місяць тому

    Muuu

  • @ShambaVillage
    @ShambaVillage Місяць тому

    Afadhari

  • @Shalom803
    @Shalom803 Місяць тому

    Amechelewa sana😂

  • @Nyaboke-123
    @Nyaboke-123 Місяць тому +1

    Hovyo huyu aende salama.

  • @makelemohuya2723
    @makelemohuya2723 Місяць тому

    Bada ya kumuuzi RC wa ARUSHA

  • @SalminTenga-fx6wi
    @SalminTenga-fx6wi Місяць тому +1

    Uyo knana ndo walewale kna nape makamba .ndungai

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 Місяць тому

      Mtoe ndugai hapo, hayuko kwenye hiyo circle