UKHTY SAU - BINADAMU (Qasida Video)
Вставка
- Опубліковано 16 вер 2024
- Welcome To The Official UA-cam Channel For Ukhty Sau
📩 Do you need to make your celebration fun? this is the right time for you.
☎ Call / WhatsApp +255 779 354 988
📍Don't forget to - LIKE 👍 | SHARE 🤗 | COMMENT 💁 | SUBSCRIBE 🤓
Karibu Katika Chaneli Rasmi ya UA-cam Kwa Ukhty Sau
📩 Je, unahitaji kufanya sherehe yako iwe ya kufurahisha? huu ni wakati muafaka kwako.
☎ Piga / WhatsApp +255 779 354 988
📍Usisahau ku- LIKE 👍 | SHIRIKI 🤗 | MAONI 💁 | SUBSCRIBE 🤓
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 © 2022 𝑫𝒊𝒓𝒆𝒄𝒕𝒐𝒓 𝑶𝒏𝒆.𝒕 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
Kwakweli nimempenda bwana harusi🥰🥰
Hongera my partner
ukhty sauuuuuuuuh😮😮😮❤❤❤
KUMBE STAR WNG BADO unatishaaaaaaa mashllh
Masha allah masha allah alf mabrouk Nassour allah awadumishe kwenye ndoa
Mashallah kweli aso mtu ana mungu
Ukht sau weee wakuache miak 10000000 kwsh habar zao habar ya mjn kw ss ni ukht sau
Mashalla kaka cholo kwa kufunga ndoa Mungu awadumishe kwenye ndoa yenu
Mashallah ukht say unatulia ukisoma kaswida Allah akulinda Shari mbal mbalii ktka kz yako
Ahsante uhti sau ninakukubali sana😍😍😍
Asnt
Nakupenda Ukhty sau unatulia ukisoma kasda
Saut lain lafdh tamu......mungu akuzidishie kiendeleee kipaj chako
Mashaallah mashaallah ukt say🥰🥰🥰
Kwakweli sikuizi mtu unaogopa kusikiliza kaswida na watu unaowaheshimu au na watota ila kwa Sau hata msikirini huogopi kusikiliza hongera mtunzi big up msomaji
Shkrn sn #omary
Mashaa Allah Mashaa Allah Mashaa miss you alot mammy umepotea Sana karibu ukhty sau🥰🥰🥰
Mashaallah mashaallah hasbiyaallah ukhty wngu mzur huna mbaya dadaangu nakupnda bure😘🥰❤❤❤❤
Mashllh 🥰🥰mashllh 🥰
Bado uko juu ukht sau kwahiyo
Mashallah... Ukhty sau 🔥🔥🔥🔥 following from Mombasa Kenya
Mashaallah ukhty sau
MAASHAALLAH UKHTY SAU
Al madrasat Twalbina inakupongeza Ukhty Sau kwa qaswid nzr
ua-cam.com/video/us1fd5U3sXI/v-deo.html
Mmm ukhti sau wee mbona unawaumiza kichwa wasoma kasida wenzako maana vitu unavotupa havijirudii ladha
Asante sana kipenz uko vizur kaswida zako zinaheshima. Na maashaallah zina ladha ya ajabu Allah akuzidishie naakukenge na maadui 🤲💯💞💞💞
❤️❤️❤️👍👍👌
@@zaynabhabib770 ameen
Mashallah ♥️ ❤️ 😍 ♥️ ❤️ 😍 ♥️ ❤️ 😍 ukhty sau uko juuu honger nkupend xxn😍😍😍😍😍
Asnt
Shoga yangu siku hizi unajichubua
Mashaallah 💫
🔥🔥🔥
Mwanaume mzima akakae apo kweli dunia imeisha
ww ukishaizibit dunia yako t inatosha kima weee
Choyo t😏
hongera sn ukhty sau.. mashllh
MashaAllah 🥰
Hawana lakusema
Ndoilivo
Mashaallh ❤️
Ukht sau ni mmoja t zanzibar hii nakupenda sana dada angu kwa ajili ya allah .allah azidi kukuinua zaid katika kazi zako
Wee ukht sau mashallahu unaniumiza roho kilanikiisikiliza hii kasida tena mmetulia na bwana kharusi cholo wabaya hao hongereni
Asnt
nice mashallah
Mashaallah dear sau wangu💕💕
Sw nakutaka mwaya kwenye shughuli yangu
mufti kasema kuchanganyik kikekiume mwisho sasa apo nn jmn
Mpigie simu mufti
Ukhtii sauu na kukblii San yaan wee fund wa kusom
Mbona haidonwlodki ukhty tutaipataje hiooo
Mbn inapatikana iyo
Wanaona gere kuoa voo km wanavoona gere kwa saut yako pambee
Hodari
Nassor wa afnania ama ?
Eee ndohuyo huyo
Ndio naam
Mashaallah Ukhty Sau