Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Kisheria huwezi kukazia mkataba kwa kuweka watu ndani . Tanzania imeshawekwa mfukoni na hawa wachina kama inavyothibitishwa na waziri hapo. Huyo huyo ana mikataba nchi nzima halafu mnamuita mbabaishaji. Mnampa vipi kazi mbabaishaji? Kati yenu na wao nani mbabaishaji?
Ccm achen kutuona mazumbukuku hivi mtu anawezaje kuanza kazi bila advanc ?? Mnafanya mambo kienyeji Kama hamkwenda shule mweshowe mchina anawapelek mahakama za kimataifa mnaenda kumlipa mabilioni ya wavuja jasho ifike mahali mfanye kz kwa elimu sasa mnampeleka polic kuchukua advanc au😅
Tanroads ndio wasimamiaji wakubwa kwanini bado anapewa kazi zingine, kwani hakuna kifungu kwenye mkataba ambacho kina mbana mkandarasi? Viongozi mnatuabisha inaonyesha upendeleo fulani .

ccm mnajikuna wenyewe kazi zinatolewa kwa rushwa uyo mkandarasi hawezi kashachoka sana crsg wamechoka sana
Kisheria huwezi kukazia mkataba kwa kuweka watu ndani . Tanzania imeshawekwa mfukoni na hawa wachina kama inavyothibitishwa na waziri hapo. Huyo huyo ana mikataba nchi nzima halafu mnamuita mbabaishaji. Mnampa vipi kazi mbabaishaji? Kati yenu na wao nani mbabaishaji?
High level management mnasema nyie wakikutana huko normaly people dine and wine
Hivi niwakandarasi wangapi wameisha kamatwa? Mpaka muda huu na wanaishia wapi?
Ccm achen kutuona mazumbukuku hivi mtu anawezaje kuanza kazi bila advanc ?? Mnafanya mambo kienyeji Kama hamkwenda shule mweshowe mchina anawapelek mahakama za kimataifa mnaenda kumlipa mabilioni ya wavuja jasho ifike mahali mfanye kz kwa elimu sasa mnampeleka polic kuchukua advanc au😅
Tanroads ndio wasimamiaji wakubwa kwanini bado anapewa kazi zingine, kwani hakuna kifungu kwenye mkataba ambacho kina mbana mkandarasi? Viongozi mnatuabisha inaonyesha upendeleo fulani .
Na hayo madaraja yawe juu sio kuwachini maji huwa yanapanda
Hao wachina mbona kwao huwa wanajenga hata mvua tunaona hao kuna matapeli tena msiwe mnawalipa bila ya kazi kufanyika wezi tu
Sasa kwani aliyempa kazi zote hizo ni nani?