Vioja Mahakamani: Ofweneke adanganya wasichana
Вставка
- Опубліковано 4 гру 2024
- Wasichana wengi hapa Kenya husema hawapendi wanaume wa hapa nyumbani, badala yake, wanakimbilia mtandaoni kutafuta wanaume wa nchi za kigeni haswa Nigeria. Baadaye wanalaghaiwa pesa huku wakidanganywa eti ni mapenzi. Mmoja wao Dr.Ofweneke alifikishwa kwenye mahakama. Tazama Vioja Mahakamani
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: bit.ly/3mhaLOh
Follow us on Twitter: / kbcchannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: www.kbc.co.ke/
#Makokha #ViojaMahakamani #Ofweneke