Jinsi ya kutumia Tampons wakati ukiwa kwenye siku zako (hedhi),kwa mara ya kwanza!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024
  • Wapenzi kwenye hii video nimeongelea na kuelekeza vizuri kuhusu tampons( pendi)
    Jinsi ya kuzitumia na vitu mbali mbali.
    Video ya kufanya usafi 👇🏽👇🏽
    • Jinsi ya kutumia Tampo...
    🌸instagram:bariki.k

КОМЕНТАРІ • 40

  • @barikikaroli6088
    @barikikaroli6088  2 роки тому +3

    Usisahau kuuliza kama una swali lolote 💕💕

    • @RahmaRajabu-sw7yr
      @RahmaRajabu-sw7yr 8 місяців тому

      Je ukiwa unatak a uchafu chn unawez tumia Tampax..???

  • @saumuimeda5181
    @saumuimeda5181 2 роки тому +1

    Hapana kwakweli mie naogop huo uzi🤔acha nitumie kitambaa tu🤗but asante sana kwa kutufundisha😍

    • @barikikaroli6088
      @barikikaroli6088  2 роки тому

      Sawa dear ni kweli mtu unaogopa mara ya kwanza ila badae unazoea ila ni vizuri tu kila mtu kutumia kitu anajisikia kutumia 😘

    • @cynthiawanjiru559
      @cynthiawanjiru559 2 роки тому

      Hahaaa, muoga wewe 🤣🤣🤣

  • @neemamandari4991
    @neemamandari4991 2 роки тому +1

    But all in all aisee don't skip a week without video pulziiii darling 😘

  • @janetjosephat8093
    @janetjosephat8093 2 роки тому

    Nazipenda cz surface ya juu haipati damu kabisa na pia huwez sikia harufu ya damu kabisa ni nzur sana sana,

  • @jumahagai9013
    @jumahagai9013 Рік тому +1

    Je ikijaa umechelewa kuitoa damu inatoka nje kama kawaida

  • @jojokweka1902
    @jojokweka1902 2 роки тому +1

    Ni mzuri mno...pads nilishazisahau

  • @Kenchiyh
    @Kenchiyh 2 роки тому +2

    😅unaikuta mlangoni lol kwa kweli

  • @neemamandari4991
    @neemamandari4991 2 роки тому +1

    Umenkumbusha mbal kwel dear.
    Yaan io ktu 4 the first time nlkiona kwa shangaz angu ckujua sasa matumiz ake yaan nciende nayo kwny daladala nkatoa nkaanza safshia mackio🤣🤣 nkajiona me wakshua kwel 😆😆 aisee cjui nlkuw nawaza nn

  • @NanisGatwiri
    @NanisGatwiri Рік тому

    Nauliza unaeza Eka pendi aje usijulikane umeeka?

  • @amidahperis
    @amidahperis 10 місяців тому

    Naezakojoa ikiwa ndani?

  • @Kenchiyh
    @Kenchiyh 2 роки тому +1

    omg lol I hate tampons, I hate how it feels down there 🤣 zilinishandaga izi aki , ngoja niendelee kuangalia video

    • @barikikaroli6088
      @barikikaroli6088  2 роки тому

      Mimi situmii muda wote kwasababu kweli unakuwa ujisikii vizuri ukizitumia muda wote

    • @Kenchiyh
      @Kenchiyh 2 роки тому

      @@barikikaroli6088 yeah, kweli bora times maalum kama ulivo elezea

  • @LifestylewithLyne
    @LifestylewithLyne 2 роки тому +1

    Tampoon mi Nazipenda sana haswa nikiwa na mizunguko ya nje ila nikiwa ndani napenda nivae pad

  • @rentadelilah
    @rentadelilah 2 роки тому +1

    Kwangu naona afadhali nitumie tampons kuliko pads...nachopendea hizo tampons ukivaa nguo ya kubana haonekani kama pads

    • @barikikaroli6088
      @barikikaroli6088  2 роки тому

      Yea ni nzuri sana hata mimi siku hizi napenda sana kuzitumia

  • @neemakambi
    @neemakambi 2 роки тому +1

    Zinauzwa wap dear

  • @mkaiteafetu6782
    @mkaiteafetu6782 2 роки тому +1

    Jamani wengne damu kutoka nyngi sana cjui kama kitaimili

  • @ndekundiommary2637
    @ndekundiommary2637 2 роки тому +1

    Jaman mm naogopa kwani huu uzi unaobaki huwezi kuingia ndani asante lakin kwakutufuza mm mwenyewe nilikua sijuii ni nn

  • @rentadelilah
    @rentadelilah 2 роки тому +1

    Tangu nianze kuitumia sijawahi kurudi nyuma

  • @Smile99269
    @Smile99269 2 роки тому +2

    Ndiyo Kwanza naijua leo

  • @haibadoreen1812
    @haibadoreen1812 7 місяців тому

    Ukisikia mkojo unafanyaje

  • @vailethsawere1263
    @vailethsawere1263 Рік тому

    Naomba namba zako

  • @janethmwafula2025
    @janethmwafula2025 2 роки тому +1

    Ndo naiona leo

  • @emiliaschroeder2275
    @emiliaschroeder2275 2 роки тому +1

    Wa kwanza leo jamani …