Alfa kabisa, awe na Ari, ajiamini kama bundi gizani, asome vitabu kadhaa vya hadithi pamwe na mifano ya insha mbalimbali. Zaidi ya hayo, afanye mazoezi kabambe ya uandishi. Hatimaye, ataibuka kifuambele.

Maelezo mazuri, hongera kabisa!
Unafanya KAZI nzuri mwalimu. Watoto wetu lazima wapite SOMO la kiswahili
Ningependaunifunzekwandiinsha❤❤❤❤
Insha ya aina gani?
Hongera sana kwa kazi nzuri kaka
Good job mwalimu
Asante kwa kazi hii nzuri
Uko vizuri 👍 bana
this will help me in kpsea
Nzur
Ninaye mwana wa mwenzio na nimenuia sana awe bora katika uandishi wake wa insha. Naomba wasia wako tafadhali
Alfa kabisa, awe na Ari, ajiamini kama bundi gizani, asome vitabu kadhaa vya hadithi pamwe na mifano ya insha mbalimbali. Zaidi ya hayo, afanye mazoezi kabambe ya uandishi. Hatimaye, ataibuka kifuambele.
Alfa kabisa, awe na Ari, ajiamini kama bundi gizani, asome vitabu kadhaa vya hadithi pamwe na mifano ya insha mbalimbali. Zaidi ya hayo, afanye mazoezi kabambe ya uandishi. Hatimaye, ataibuka kifuambele.
Shukran mwalimu
Ni israel
Inachukua masaa ngapi kuandika Insha
Mimi ninapatikaba kwa daresay lako grade 6
Asante sana Israel endelea kunifuata