Don't blame your colleagues you take over bibi ya ndolo na ndolo alijua ndiyo imekuharibia kazi dawa ni kuwacha maovu rudi kwa mungu utapata kazi yako tena
DCI Mark alituambia Jonathan is his mentor na ndio alimfunza kazi. Sasa what happened juu DCI MARK ni askari honest and he gives justice to all..,. Shetani ushindwe katika jina na yesu
Senior Dave unakuanga na Roho ya kusaidia please hachana na hawa watu wanakuja kwako wakiwa wazuri but kuna mission wanakuwa wametengea kufanya so avoid kabisa kuwa na wao ju watakuumiza
Kuna Watu ukifanya mapenzi na wao kazi yako na kila kitu and that is their mission to go out there have sex with someone and that is how unaisha juu wanachukua nyota 🌟 ya mtu ,Huyu bibi ya Ndolo anatumia uchawi to get man alitumia kwa TOM na pia kwa Jonathan
Mungu nanawaita mumoja mumoja kwa majina yao. Wacha mungu aitwe mungu wacha viburi vyote vishushe.
Don't blame your colleagues you take over bibi ya ndolo na ndolo alijua ndiyo imekuharibia kazi dawa ni kuwacha maovu rudi kwa mungu utapata kazi yako tena
THANK YOU JESUS, JONATHAN ANAKAA SHETANI.GOD PLEASE DON'T GIVE HIM ANY JOB.HUYU N GAIDI TU HATA SURA
Jonathan next time remove Kofia wakati wa maombi. SD you did good to give him a listening ear.
DCI Mark alituambia Jonathan is his mentor na ndio alimfunza kazi. Sasa what happened juu DCI MARK ni askari honest and he gives justice to all..,. Shetani ushindwe katika jina na yesu
Huyo bibi ya ndollo atawamaliza tamaa mbaya
Bibi ya dollo anatumia cham
Hapa kuna kitu kimepangwa lakini God is there
Kwanza Jonathan na tom waliplan kuuua fred na dave
Huyu mwamerika anadanganya
Senior Dave unakuanga na Roho ya kusaidia please hachana na hawa watu wanakuja kwako wakiwa wazuri but kuna mission wanakuwa wametengea kufanya so avoid kabisa kuwa na wao ju watakuumiza
Stand up when praying,,,,,,,,
Wakati mgamga aliulizwa na Riaga walikata wakatoka
Toka nianze kujua jonathan sijawah ona akicheka ..leo anacheka ? Hapa deve kua careful unapimwa bangii
But men nini shinda yenyu for sure
Alikuwa na number ya Nguku wa nguli kwani hakumsaidia ????but uchawi ndio imearibia Jonathan job
Jonathan amerogwa na bibi ya Ndolo
Utaki kusema ukweli kesho babu atakuja na ndolo wakikudai
Jonathan na tom instead of doing ur job mlichukua bb ya ndolo and hio has costed u ,ur jobs and family
Me kwanini siamini huyu Jonathan hii sio dill wanataka kuanza kukuvuruka tena
Hiki kimadevu kinaongea ukweli kweli???
Madevu akuwa anataka kukusaidia sai anataka nini
KwNi Jonathan bizo nguo zako ni za devil worshipper, expose every one of them in Jesus name
Kuna Watu ukifanya mapenzi na wao kazi yako na kila kitu and that is their mission to go out there have sex with someone and that is how unaisha juu wanachukua nyota 🌟 ya mtu ,Huyu bibi ya Ndolo anatumia uchawi to get man alitumia kwa TOM na pia kwa Jonathan
Huyu Jonathan niaskari keep?hio beard hapana ,hii niscript.