UINGEREZA YADAI KUVAMIWA NA URUSI KATIKA BAHARI YAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 44

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 12 годин тому +10

    Mwingereza atulize wenge na atambue URUSI ni 🔥🔥🔥

  • @allyatom2076
    @allyatom2076 11 годин тому +6

    Kila siku mnaongea na kila siku anapita 😂😂😂😂😂 Hayo ni matusi makubwa sna na hadi hapo mnamuogopa😂😂😂

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 13 годин тому +10

    Mwingileza huna nguv yeyotee ,urusi n taifa la mungu

  • @Mwinyi-b4i
    @Mwinyi-b4i 13 годин тому +8

    Acha wapigweeeeeee chma moja na Ukraine w

  • @nizarrama225
    @nizarrama225 13 годин тому +8

    Hawa nao wamechokaaa 😂 wamebaki kelele tu

  • @lailafakhihaji
    @lailafakhihaji 11 годин тому +3

    Safi kabisa lazima mjilinde wao wanamuonea myemeni sasa wakutane na huyu mtemi

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 11 годин тому +4

    ❤❤❤😂😊😊Safi sanaaaa,RUSSIA/PUTIN

  • @imanuelnguya9277
    @imanuelnguya9277 12 годин тому +5

    😂😂😂 kwaiyo walifuatilia mbaka wapi au walienda sirya alafu alafu siwalisemaga wanauwezo wa kupambana na urusi sasa mwenzenu kaja mlangoni kwenu mmeshindwa vp kumkamata

  • @daudinyello4033
    @daudinyello4033 12 годин тому +8

    MBWA KUBWEKA HAKUMTISHI CHATU KUWINI WINDO LAKE....UINGEREZA NI MBWA TU

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 11 годин тому +5

    Urusi hakuipeleka kwa bahati mbaya hii amefanya makusudi kumbe muengereza moga

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 13 годин тому +7

    Pigeni sasa mnasubiri nini? Hahahahahaha😂😂😂

  • @DominickDavid-n3v
    @DominickDavid-n3v 11 годин тому +4

    Waingereza wapo Ukraine na meli zao mbona urusi haisemi

  • @malkiawagiza1327
    @malkiawagiza1327 13 годин тому +4

    Huyu bwana kibweshu kabisa anataka kucheza bangu tu.

  • @feliciarfrancis2388
    @feliciarfrancis2388 12 годин тому +5

    Russia don't fear any body or any country in this world ( Russia is the hand of God)

  • @NdovuDentalClinic_
    @NdovuDentalClinic_ 11 годин тому +4

    Wenzao waliua Nyangumi wakidai ni SPY wa PUTIN

  • @ngendakumanajeanmarrie7490
    @ngendakumanajeanmarrie7490 11 годин тому +3

    😂😂😂siwalisema wamesini mkataba miaka miamoja waipige tuone kama wanajiamini shenzi sana

  • @broumaiyyah8018
    @broumaiyyah8018 13 годин тому +7

    S walipue ss kwl wanajiamini😂😂😂

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod Годину тому

    WINGEREZA NI NCHI NDOGO SANA URUSSI AKIPIGA EROSHINIK WINGEREZA YOYE KWISHA.....

  • @AgustaZaile
    @AgustaZaile 11 годин тому +3

    Apigwe na yeye

  • @IshipalemyPasko
    @IshipalemyPasko 11 годин тому +3

    wajalibu kuipiga tuone sasa kinachojili

  • @zahornassor5420
    @zahornassor5420 12 годин тому +5

    Wambie wapige izo Meli za urusi tuone kitatokea nn😂😅

  • @YohanaMasebo
    @YohanaMasebo 2 години тому

    😂😂kama wanaume si waikamate wameanza kulialia

  • @KilimbikeHaji-iy2fm
    @KilimbikeHaji-iy2fm 3 години тому

    Huyoo muengrza ni msenge tu kama wasenge wasioo jielewa kwenye hii Dunia

  • @kouswayisaidahamada9979
    @kouswayisaidahamada9979 11 годин тому +2

    Si a'gepiga tuone basi

  • @eliudkazoba5170
    @eliudkazoba5170 11 годин тому +4

    Hii nimependa! Ongera Putin

  • @DismasMaturine
    @DismasMaturine 11 годин тому +1

    Mbona wingereza mnavamia Yemen kule red Sea ni kwenu

  • @ZongoKibwana
    @ZongoKibwana Годину тому

    Acheni mikwara kwa putini wehu nyie 😂😂😂

  • @GeremihJuma
    @GeremihJuma 12 годин тому +2

    Zero zero mmetuchosha 😠😠

  • @issajuma910
    @issajuma910 6 годин тому

    Km anatka kupigana na ajichngnye tuu .mbn wao wameplek mkombora yao ukrain

  • @abdallahkhalfan3966
    @abdallahkhalfan3966 8 годин тому

    Hawa hawana jipya kwa sasa kazi kubweka tu

  • @daxenkiller6274
    @daxenkiller6274 13 годин тому +1

    Watoke mpakani kule flnd

  • @DeusRobart
    @DeusRobart 9 годин тому

    Apondio utajua Nn maana ya Z

  • @OmarMuhidin-s4z
    @OmarMuhidin-s4z 14 хвилин тому

    Uingereza unalalamika nin pambana

  • @DismasMaturine
    @DismasMaturine 11 годин тому +1

    Yeme nyie mnafuataga ni ni sheria ipi

  • @nasseralhatmi1762
    @nasseralhatmi1762 10 годин тому +1

    Mbona Wao Waingereza wanavamia Nchi zingine?
    Mfano wamevamia ya
    Bahari ya Yemen mbona Yemen hawakusema Matokeo yake Uingereza imepigwa na Meli zake wakakimbia kwenda Sehemu nyingine
    Basi adabu Yenu nyie ni kupigwa tuuu

    • @AbdulAbdulrahman-u7n
      @AbdulAbdulrahman-u7n 9 годин тому +1

      Tanzania walivamia mpaka Leo wanatuibia madini yetu Alma's yetu hatupati hata puje wanapeleka kwao ulizeni kama mshawahi kusikia ikijadiliwa Almas ya muadui ukithubutu kinakukuta

  • @bogoheidaso2628
    @bogoheidaso2628 11 годин тому +1

    Razima urus atapigwa kama ameanza kuichokoza wingereza