WACHEZAJI WA 4 WA KIMATAIFA WATATUTA SIMBA MWENYE KITI WA SIMBA ATOBOA SIRI HIYO /

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 29

  • @mashakabundala9955
    @mashakabundala9955 2 роки тому +4

    Simba sc tanzania is the best 👌 among teams in Africa football club 👏

  • @donedaddy4561
    @donedaddy4561 2 роки тому +1

    Nakupenda Simba ukiwa kimataifa tu ila ukiwa huku nyumbani mi yangaaa

  • @enalamlenga6188
    @enalamlenga6188 2 роки тому +2

    Hoja zote zilizoongelewa pambe saaaaaan.hongeren.nguvu MOJAAAAAAA.

  • @malandojames5151
    @malandojames5151 2 роки тому

    Hongera sana shabiki wa yanga ninayekuona hapo. Najua unajifunza.

  • @gaspersamba1329
    @gaspersamba1329 2 роки тому +2

    Simba nguvu moja

  • @elmerickmsigwa148
    @elmerickmsigwa148 2 роки тому +1

    Simba mnyama hatali saaàaaaaana

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 2 роки тому +2

    Simba Nyinyi ni Wakubwa Sana Africa Hilo Hakuna ubisha kabisa

  • @jacqulinemukandara8162
    @jacqulinemukandara8162 2 роки тому

    Mungu awabariki wooooooote hapo pichani mwaaaaaaaaaaaa

  • @jacqulinemukandara8162
    @jacqulinemukandara8162 2 роки тому

    UMENIFURAHISHA BABA

  • @saluhadu6100
    @saluhadu6100 2 роки тому

    Mzee unatisha unajua sana

  • @abdullahsuleimansalim2339
    @abdullahsuleimansalim2339 2 роки тому +1

    Very nice

  • @stephanogumbo6293
    @stephanogumbo6293 2 роки тому +1

    Ngumu kumeza lakini dawa💪🏽

  • @fatumakassim64
    @fatumakassim64 2 роки тому +1

    Uyu yanga vp tena apo♥️♥️♥️♥️😂😂😂😂😂😂😂

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 роки тому

    Kweli kabisa wachezaji wanne wa kimataifa 'WATATUTA SIMBA.'....Kweli WATATUTA hamna shaka..!

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 2 роки тому +1

    MTANI HUYO MPENI OFA AKAONE MECHI.

  • @soccertv293
    @soccertv293 2 роки тому

    Kesho tuu manara na bumbuli wanaitisha press 😁😁😁

  • @mussasaid4948
    @mussasaid4948 2 роки тому

    Mzeee wambie hahoo mtopolo

  • @isackmwaluko407
    @isackmwaluko407 2 роки тому

    Ongeeni ya kwenu....mbona mda mwingi mnaongea na semaji la dunia..

  • @gorator132
    @gorator132 2 роки тому

    Watatuta ndo nn sasa? Huyu aliyeandika kichwa cha habari

  • @fautz5759
    @fautz5759 2 роки тому

    kuna ukwel

  • @obedpeter7500
    @obedpeter7500 2 роки тому

    Nguvu moja

  • @yohanawillberforce641
    @yohanawillberforce641 2 роки тому

    Tumekusoma mwenyekiti

  • @stanslausbereghe3819
    @stanslausbereghe3819 2 роки тому

    Elezeni ya kwenu jamaniii, mbona mapovu mapovu, tuuu??? Kurudisha kwa jamii cyo hivyo,, kutoa tiketi ndiyo kurudisha kwa jamii, labda kucheza ngoma...

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 2 роки тому

    Mikubwa wasipoe wachezaji wanaboa Sana pale wanapo zubaa halafu Mohamed Hussein aambiwe asipande kushambulia yeye ndiye magoli mengi tunayofungwa na hasa tunapotolewa wapinzani wanapita kwake hata krosi zinazotuadhibu zinatokea kwake apunguze mzuka wa kushambulia kwenye mechi muhimu hizo na kapombe pia watulie wakabe na wafanye making ya mwilini Kama walivyo mdhibiti kisinda waache mapepe ya kushambulia kabisa

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 2 роки тому

    Simba nguvu moja