Shalom watumishi, hongereni kwa utumishi wa Bwana. nabarikiwa sana na wimbo huo wa umisheni. swali langu mna nyimbo nyingine zaidi ya huo? je ninyi ndo mloimba jiachie na Rehoboth? na kama ni ninyi mbona kule siwaoni naona sura ngeni tu na kama mko tofauti mbona sipati nyimbo zingine?
Nisisi mtumishi wa Mungu sema nachoweza kukiona hapo wimbo wa umisheni tulienda kufanya shooting yake MANYARA kwahiyo tulikuwa na watu wa makabila mbalimbali napia kama unavyojua kunawakati kundi likisafiri halisafiri lote kunawatu wengine huwa wanabaki angalia hao watu vizuri utaona tu
Hongereni sana Kwa huduma nzuri Mungu awatie nguvu
Amina sana mtumishi wa endelea kutuombea 🙏
Hongereni Wapendwa wangu wa AICT Vijana Choir. Mbarikiwe sana kwa ajili ya huduma njema. (Rev. Elkana Gonda)
Amen Mungu akubariki sana endelea kutuombea tu mtumishi wa Mungu 🙏
Hongereni sana watumishi wa Mungu kazi yenu ni njema sana Mungu awabariki sana
Amen dada yetu mpendwa ubarikiwe sana 🙏
Amen
God bless you 🙏
Shalom watumishi, hongereni kwa utumishi wa Bwana.
nabarikiwa sana na wimbo huo wa umisheni.
swali langu mna nyimbo nyingine zaidi ya huo?
je ninyi ndo mloimba jiachie na Rehoboth? na kama ni ninyi mbona kule siwaoni naona sura ngeni tu na kama mko tofauti mbona sipati nyimbo zingine?
Nisisi mtumishi wa Mungu sema nachoweza kukiona hapo wimbo wa umisheni tulienda kufanya shooting yake MANYARA kwahiyo tulikuwa na watu wa makabila mbalimbali napia kama unavyojua kunawakati kundi likisafiri halisafiri lote kunawatu wengine huwa wanabaki angalia hao watu vizuri utaona tu
Ahsante kwa kutufatilia na Mungu wa mbinguni akubariki sana 🙏