Jay kindly connect me with that guy, not becoz of his wealth hata mm niko na something working a broad. Am an aset not liability to anyone, i believe hes my age mate na umwambie i have 2 cute kids, they come first. Thank u in advance
when you have a girl whose dress is above the knee and closser to the hips that's a red flag and go to her at your own risk, utapata character development.
kama bibi yako na watoto wanalia , hakuna furaha kwa maside chicks expecting peace of mind in a relationship which foundation is the tears of another 😢
ii video sijaiamini inakaa kipindi ju uyo mwenye kuuza kwan alkuwa anajua ka iyo gari do itanunuliwa ati amekam na fuguo yake na pia iyo bargaining siiamini
Wakikuyu in the house,,,inoniyo ngari ya kuhaicha kama ile ya pastor Ben wa JCM, kana ya jamii jamba ya mweya ,,,,anyway huyu mzee nikama ako na family
Hello nyie ma cheaters mkijua mwa cheat mkuange na simu mbili ya ukora n ile sawa lakini ukipata mwanaume mzuri hivi mbona umcheat akii God why???hizi baraka huendanga tu kwa watu hawananga haja n life
Mzeeeee kutoka US nakuliza wewe na hio miaka yako ulikosa mature woman walika yako juu huyu ni mtoto sanaa kama ur last born child khaki wewe umepoteza njia Mzee
This kind of old men are the one making young girls lazy,buying a car to her she will never know how to struggle with men at their age.This young lady should even be careful cz may be mzee is even in evil businesses.....men who spend money this way......
Leo mie nimewai nipee likes guys plz
The happiness was short lived 😅😅
😂😂😂😂
Sometimes you can't understand life ,those who is faithful they can't get true love only disappointed.
True scola
It's very hard
Life is so easy, if you are a 40 year old man ,u marry a 20 year old girl who u can't satisfy in b£d 99.9% chances are she will ch£at😂
The shorter the dress the shorter the relationship it's about to go down
Very true sijuwi kwa Nini
Mzee rudia Bibi yako mjijengee otherwise hii Rika itakutuma mbinguni mapema
😂😂😂😂😂😂😂 Alaaaaaah
Ukweli, na hawaskii😂😂😂
Mbinguni ama hell😢
Jay kindly connect me with that guy, not becoz of his wealth hata mm niko na something working a broad. Am an aset not liability to anyone, i believe hes my age mate na umwambie i have 2 cute kids, they come first. Thank u in advance
how about the father of your kids.
when you have a girl whose dress is above the knee and closser to the hips that's a red flag and go to her at your own risk, utapata character development.
Sure ushamaliza🎉
😂😂😂😂
The shorter the dress the shorter the relationship 😂😂😂😂
This is not even a dress I don't know what it is 😂😂😂😂
I just had to laugh, they can send u to an early grave
Aki kwa nini watu Royal kama mimi sipatangi mwanaume kama huyu,siezi mcheat hata kitu kama huyu
Usijali ipo siku mungu atakupa wako muaminifu usichoke kuomba.
@jancintawanjiru walai kama mimi hapa napatananga na cheater 😢
One day Mungu atakujali
Usijali tuko wengi
God's time is the best❤
Hivyo ndiyo yesu atarudi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu mzee ako na bibi na watoto wakubwa huyu ni sidechick
Nikii ma🤣🤣
Ukweli
True 👍
Baaaana😅😅😅😅npitie pia please
Baaaaana npitie pia please @@hannahwanjirumwangi6438
I will love u forever,,,,not untill sanitisation
Dress yenyewe inadescribe huyu mama😅
Wacha kikurabe huyo ni mtoto wa rika ya mtoto wako
Wana advertise magari
Thinking the same
Niliwaambia zunguka dunia yote mwishowe ni kwa wife
Huyu si nikama mtoto wako kuongea ukweli
Watu hua wanaangukia wababa wenye wako na pesa❤❤mm watu wenye napata wanataka mm niwasaidie😢😢😢 God plzz I’m very good girl nilikosea wapi😢
Continue praying for a husband God will give you at the right time
Same here sis,but one day one time God is going to bless us beyond our imagination, let's keep praying sis.
Jay anajiuliza time itafika saa ngapi anza kusanitize😂😂😂
vile J unacheka cheka while waiting for sanitization tym
Shock loading 😂😂
kama bibi yako na watoto wanalia , hakuna furaha kwa maside chicks expecting peace of mind in a relationship which foundation is the tears of another 😢
Huyu alichelewa kuoa why 😮😮😮huyu dame sio rika yke
Exactly 💯😂
Age is just a number
Lakini wanaume akili ziro
Bure kabisa ya mwanaume.
Hii kiherehere yote....kilio baadae
Scripted, marketing the car was the main agenda
ii video sijaiamini inakaa kipindi ju uyo mwenye kuuza kwan alkuwa anajua ka iyo gari do itanunuliwa ati amekam na fuguo yake na pia iyo bargaining siiamini
Hata mie sielewi kabisaa. Ni kipindi hii
Mzee una tupa pesa ndani ya choo.😂😂😂😂😂.Huta juwa haujui.
Ongeza volume
Uyu ni mzee mwenye ako na kwake na family yake
JAY
I need that guy not because of money just for real 💕
Kama wewe niwa mlima najua the reason why 😂😂😂😂
Your name betray you madam work hard
@@isaacmbugua3118😂😂😂😂😂
Hey Jay hapa ndio uliprank Bela na gari😂😂😂
Ee anatuona matako yetu
😂😂😂😂
Kwani huyu mutoto alikuwa naemiaka ngapi akishikana na huyu muzee jamani
Wazee ndo wanapesa
Mzee mzima eti beb. Shame on him. Hili jina beb lilitoka wapi😁😁😁 nashukuru God sijawai litumia🙏🙏
I'm a grown up not a baby, but have babies.
Wanawake 😅😅 so cheap and so desperate
Mbona huyu mzee ana behave kama under 18 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂lazima akuwe level moja na huyu mtoto😂😂😂
Old men have turned to be Malaya kabisa
Wee baada ya mapenzi ni kilio.
😂😂😂weee Jay harakisha kusoma sms
how old is she?if the man has been living in US for 30yrs,kwani aliolewa akiwa na 5yrs
A good question 😂😂😂😂😂hii mambo 😮
😅😅😅 the question I was looking for 😅😅
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 swali mzuri director jay jibu
Am waiting for answer also
Clothing designs describe the character
True
Heheeee Cheka tu after that santization on set
I pity these situations how they are loosing the golden opportunities which comes once in your life time. Pole young girl
Huyu mzee alikuwa na hiden agenda 😂😂😂. Ni vile dem hakujua😂😂😂
Huyu mzee ni mulela marika
Bado simu Kwa mkono meaning simu dio special than car😂😂
Chei but huyu mzee naye hakosi bibi na watoto
Jay nipee mtu bwana ...na unisanitize.Niko ready
Niko hapa kuja tuchore vile kutakuwa
😅😅😅aki Jay niuganishe na huyu
Hey. Mr jey
Jay
Jay unachekeshanga sometimes where is Bella baby girl jay
Bytha Jay you area good person❤❤I wish to meet you one day......m
😂😂 wallai mimi nipate tuh mzee kama uyu ata kama ni mzee bora ananipenda nasonga naye
Wakikuyu in the house,,,inoniyo ngari ya kuhaicha kama ile ya pastor Ben wa JCM, kana ya jamii jamba ya mweya ,,,,anyway huyu mzee nikama ako na family
Woye majabu weee gift yote umemwacha sababu ya tama weee ashomeshe aende azae na mwengine weeee na hiyo mimba ilibebwa akua ana juua
Director Jay si utawai ona mambo jameni😅😅😅umezubaa apo unashagaaa izi Ni gani😂😂😂nakupenda jay😊
Aki ma slayquean ndio mababas wanataka anichukue mimi wa rika yake aki
Na hii jina “ babes “ iwekwe age limit si mpaka ancestors wanaitana
Hii ni yako na jamii🔥🔥 what do we ladies really need aaargh😤
Si mnipee bwana like nko so serious mtu anitoe soko 😮😮😮
Ni pewe Huyu nitulie sasa
Noma sana
That age ya mzee haimruhusu kuongea hiyo Sheng. 😢😢😢
Kwani Hawa wanaume wanapatikana wapi,or ni Mimi Sina nyota
Mm single nilikosea nani nipate loyal man like this😢😢
How can he be loyal yet he is playing his wife?
Na sasa mama mnaked anapekaga mtoto wapi sponyo akicome
Aki Mungu be fair to us wenye tuko waaminifu utupe pia nasi watu waaminifu🙏
Walai mungu tuonekanie
God's plan is sufficient my sister
God's plan is sufficient❤
Huyu ni mtoto wako jameni, heartbreak is loading🤷🫣
Exactly! Men never learn. You are 50 year old u marry a 20 year old who u can't satisfy what do u expect?😂😂😂
Wanaume kaa hawa wanatokanga wapi surely 🤔🤔🤔🤔🤔
Kumekucha vzee na watoto ety beb jina ya kushimu
Kwani huyu mzee alikosa wanawake huko marikani
Jay sanitize huyo Dem kwanza
Haha jay nitafutiwe mtu wa majuu
Money is not a problem 👌 bae bae what is
Mungu si unipe mtu mzuri kama huyu plz
Sisi yenye hatuna ata crush tufanye nini😂
Pengine ni wa Facebook
Hawa waschana wadogo akiliyao iko juu kunyonya pesa wanajia
Mimi hata sina wakunipigia sim then uko na Bahati
Vijana fanyeni kazi kwa bidii, wasichana waache kukimbilia mababu zao
Hello nyie ma cheaters mkijua mwa cheat mkuange na simu mbili ya ukora n ile sawa lakini ukipata mwanaume mzuri hivi mbona umcheat akii God why???hizi baraka huendanga tu kwa watu hawananga haja n life
Mzeeeee kutoka US nakuliza wewe na hio miaka yako ulikosa mature woman walika yako juu huyu ni mtoto sanaa kama ur last born child khaki wewe umepoteza njia Mzee
KIpenda roho hula nyama mbichi.
Si hivo ndo wao hutaka. Vijitoto
Huyu mzee hakosi Kua na wajukuu
Paka Mzee hunywa maziwa
This kind of old men are the one making young girls lazy,buying a car to her she will never know how to struggle with men at their age.This young lady should even be careful cz may be mzee is even in evil businesses.....men who spend money this way......
Mzee utauliwa weeee
Hawa wanaume wazuri wanatokanga wapi,
Sasa hawa wazee wanajiwekelea kuoa watoto kwanni
Huyu jaamaa ni lika ya baba ya huyu msichana.
😂wewe mzee..avasalitu..ugekaa..na
Bibi yako..tu..
Jay anahema aje akisoma chats
Ni nini inasumbua wanawake sure
Aki jay nipee namba yake bana plz
Mzee was looking for a way to dispose this girl roho safi😂😂😂😂
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢yani mtu uko na bibi ukimwacha likni unabuyia malaya gari😢😢😢😢 mtafika mbinguni km mungu amewakans vile mnskana watoi wenyu
Mbona Mzee kama huyu anafikiria anaweza pendwa na mdem ka huyu?😂😂😂 Rudi Kwa John the hustler😂
Si ni online dating jamani si ati alimuowa 30 years ago! They’ve been dating for 3 years girl Toto alipata sponsor. Mzee anafikri amepata bibi.
And that is a dress, weh! My dress my choice,
😂😂😂😂😂 unafurai na Bado sanitizer 😂😂😂😂 but Mzee ni mkubwa kwa babagu walai😂😂😂
Lakini kama ni mimi nijue na cheat walai siezi peana simu naeza leta kisirani nikatoka nikijua tu hujajua ukweli so utanitafuta tu 😂😂😂😂
Yaani unapata mwanaume mzuri hivo ubamcheat ak ,, mmoja c akuje tu wa kuanzia 45 yrs ak tukuwe wapenzi
Na huyu mzee amekuwa wapi? I guess he was married to a white woman, alafu akadumpiwa😅
😂😂😂😂😂😂my mother god rest her in peace used to say asiye na bahati habatikagi😅this old mzee anabahati hiyo gari ampatie director J for saving him😅
Mungu nope good husband mwenye tutaelewana kwa life
Kumekucha vzee na watoto ety beb jina ya kushimu
😂😂😂😂
30 years unangonea mtu?how?
Haiya Huyu jamaa hajaacha ku yawn😢😢
Tafuta mtu close to your age. Otherwise utaishi kuhurtibrakiwa.
Ngai,,,,,Haina ata number plate 😮😮😮😮