Maashallah Ukhty Arafah unajua sijaona wewe ni wa lavel nyengine kabisa sijaona wakusimama na wewe ktk waimbaji kaswaida wa kike Ila nimeipenda sana hii ligi ya mwisho hapo ila hurayrah kaharibu
Babdeo big up unajitahid sanna wallahi... Ila hao jamaa uliowachukua mbn hawana utulivu wamekuwa kama wahuni... wanapokonyana maik makelele makubwa mno ndio mizuka !!?? Wanaliharb jambo huraira kafel mwisho
Eti mtoto wa kike unakaa kwenye umati unapaza saut yako nyororo mbele ya wanaume na viongoz wa dini wapo na mziki kama kawaida unapigwa unacheza mbele yao halaf watu mnafurahia hili ndio maana dini yetu inashindwa kupiga hatua Kwa mambo kama haya badilikeni haya yote yaliyofanywa hapa Kwa Allah ni makosa kama Kuna mtu anaandiko lolote aje alete hapa.
Utulivu wapendezesha jambo..Laa mutaonekana wahun tu...mnaonaje mukiimba na Kughann kwa utulivu istoshe mada yenyew ni wazaz... Watu wapate ladha hku waumia kutokn na yale waambiway kuhus wazaz.. Likiwepo Fujo kubwa kutapatikana nn.. ..
Mie nauliza tu mwanamke kusimama mbele ya watu juu ya stage hivyo na kutoa sauti ya juu na kulalama hivyo inafaa? Pili nauliza tu tofauti ya hiyo qaswida na taarabu ni ipi? Naomba nielimishwe.
Subscribe our UA-cam channel Babdeo Miladu
Khatwariiii kubwaaaaa........Hawa watu wawili Khatwariiiiiiii.......King Na Queen wa Nasheed Tanzania.💥💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥Mashallah
Arafa Arafa Wallah Allah Akuweke Wewe Dada Jaman Mashallah
No doubt .....Arafa Hussein 💞💞 ...😩😩
Maashallah Ukhty Arafah unajua sijaona wewe ni wa lavel nyengine kabisa sijaona wakusimama na wewe ktk waimbaji kaswaida wa kike
Ila nimeipenda sana hii ligi ya mwisho hapo ila hurayrah kaharibu
Yahya kavamia mtumbwi wa vibwengo Arafa 🔥🔥 hujawahi kosea
Yaa takalam Hussein anta minnah Allah'
Maashaallah nakuelewa mpk najickia raaahaa
Arafa wewe😭 mashaallah
Heshima kwako yahya bihaqi Hussain
Arafa Hussein qween of nashd Tanzania
Mashallah
what a voice ya allah thank u
Mnaokaa V.I.P punguzen kelele hamjui sehemu hizo zinataka utulivu haswaa
ua-cam.com/video/YPZU2oFfrUo/v-deo.html
Wallah Araafaa weweeeh!!I'm speechless
Sawa simbaaaaaaa YAHYA BIHAQ yaani wewe Zanzibar diamond hakubaliki kama tunavyokukubali wewe Yallllllllllllllaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhh
Baba sjafaham umekusudia nini kumlinganisha Bihak na Diamond
Yallaaaaaaaaaah Arafa Arafa Arafa unatangaza vita
Hooooooo MSIJALI JAMMA UWIVUUU SAANAAA
Mama punzi zinakuponzaaa
Hongereni sana wote wakali
Anajua sana
Sisi hua tuna amini maneno ya mashekhe kuliko hata qur aaani nailo ndio tatozo mambo kilasiku yanaongezeka mungu atu ghufirie
Mashaallah
Babdeo big up unajitahid sanna wallahi...
Ila hao jamaa uliowachukua mbn hawana utulivu wamekuwa kama wahuni... wanapokonyana maik makelele makubwa mno ndio mizuka !!?? Wanaliharb jambo huraira kafel mwisho
Tutalifanyia kazi hilo inshallah
Sawa...
Afwan akhiy
Masha Allah ,,, walahi rahaaaaa
Wao
watu bidaaaa wameing'ang'ia sana!!
sasa hıı inatofautı gan na shooo za nasibu
Kumbe hawa sawa na diamond anaehamasisha watu walewe sawa na huyu anaewausia watu wawatendeee wema wazaz wao? Au kivipi
Sasa km ni sawa na nasibu ww umetembelea kuangalia hizi video za nn au ndioo unafki wenyeweee huooo
shoo kama mupo.mazoezi bado sana
Masha Allah
Saaf snaa brother uko vzur
😢😭😭yalllahh
Wallah rah hiz maalim😭😭😭😭😭😭
Hatari hap n ladha tupu wallah duu s mchezo
Eti mtoto wa kike unakaa kwenye umati unapaza saut yako nyororo mbele ya wanaume na viongoz wa dini wapo na mziki kama kawaida unapigwa unacheza mbele yao halaf watu mnafurahia hili ndio maana dini yetu inashindwa kupiga hatua Kwa mambo kama haya badilikeni haya yote yaliyofanywa hapa Kwa Allah ni makosa kama Kuna mtu anaandiko lolote aje alete hapa.
Vinanda nazomali nazo zi itwedufu? Nadufu tuzi itejee?
Ila demu anapapatuwa lakini ataweza kweli kwa YAHYA BIHAQ aa wapi
Mashallah mamy
Khatar nahwaaand imetawala
Vitaaa kwa kweliiii
Utulivu wapendezesha jambo..Laa mutaonekana wahun tu...mnaonaje mukiimba na Kughann kwa utulivu istoshe mada yenyew ni wazaz...
Watu wapate ladha hku waumia kutokn na yale waambiway kuhus wazaz..
Likiwepo Fujo kubwa kutapatikana nn.. ..
Yahaya bihaq na muhiya wanHaribu watu na hayo mawimbi alopita nao ukhty hapo kweny ghunna
Uislamu na vitu hivi wapi na wapi
sa Mbona umekujA kuvi angaLia
@@salamamtoro5869 haposasa 😂😂😂😂
Waislam tunajisahau ndio maana tunazidi kutaaliwa...ndio kwanza tumelala wacha tuzidi kutawaliwa
@@salamamtoro5869hehee wewe naye hukosi mbona sijakuona ukumbini
dahh
bongo bahati mbaya.
Soma dini yako ujuwe wajibu wako KATIKA dini nasiyo kuutafuta moto kupitia sautiyako na kipajichako
Ila huu sio uislamu,mi nachojua hii ni show kama show zingine za wasanii
Vitaaaaaaaa
Mie nauliza tu mwanamke kusimama mbele ya watu juu ya stage hivyo na kutoa sauti ya juu na kulalama hivyo inafaa?
Pili nauliza tu tofauti ya hiyo qaswida na taarabu ni ipi?
Naomba nielimishwe.
🔔🔔🔔🔔🔔
🎶
Mabingwaaaaa haooo
arafa kadwida
Arafa Hussein-This is Ummul kulthoum from Tanzania 😂
sasa yahya mbona haujavaa kanzu wala kofia umearibu shoo umeimba vizur sana lakin umekua kama muhuuni
ny
Eti Halal? watu wanabeba dhimmah kubwa mbele ya Allah..Uhalal upo wap hapo? kwel mwanamke anapafom mbele ya wanaume?
Mtihn wallg
Allah atuongoze kwenye haki, maana mtihani
Mashaallah
Mashaallah