HAPA NDIPO PENYE SABURI, MAMA ASEMA WE MUNGU WANATUMALIZA SASA HATUJUI NANI ANAFUATA MBARIKIWA ASEMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 38

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn Місяць тому +1

    Kiongozi Samia Suluhu hassan.
    Watu wanatekwa na kuuwawa.

  • @luciasteven3314
    @luciasteven3314 Місяць тому

    Naililia TANZANIA Yangu 😢😢😢 Mungu usinyamaze usinyamaze MUNGU.....

  • @mbusswitonyi1930
    @mbusswitonyi1930 Місяць тому +2

    Daaah kweli mwenyezi mungu ingilia kati maana hali hii haiko sawa kabisa

  • @ellyndossy3266
    @ellyndossy3266 Місяць тому +3

    Mungu anaona,tunamuachia maana kisasi ni chake..hakika atajibu kwa kishindo.

  • @annaisrael9468
    @annaisrael9468 Місяць тому

    2:48 2:49 2:50

  • @samoskiyalo6095
    @samoskiyalo6095 Місяць тому +4

    Tanzania tunajenga historia mbaya ambayo haitafutika huu ni msiba wa Taifa kisiasa poleni sana katika hili kuna hasir ya Mungu

  • @Mapitoyazamani-y7n
    @Mapitoyazamani-y7n Місяць тому +4

    Zamu ya watawala kulia kama hivi itafika tu! acha wajifanya kama hawaoni, si wako kimya!, machozi na damu za watu si bure.

  • @KuvunaGonda
    @KuvunaGonda Місяць тому

    Poleni

  • @starlily07
    @starlily07 Місяць тому +1

    Aisee huyu mama ajiuzuru sasa maana hafai kabisa

  • @OtiliaPius-dr1be
    @OtiliaPius-dr1be Місяць тому

    Mungu wetu uko wapi Baba nalia nikiwa dubai ninapoona taifa langu la tanzania ninalia😭😭😭

  • @YasintaRaphael
    @YasintaRaphael Місяць тому +1

    😭😭😭

  • @DaudiMakaza
    @DaudiMakaza Місяць тому

    Mungu yupo hyu raisi ameisalit nchi hii kawapa warabu nia yk n kusambaratish nchi hii

  • @PascalSabonga
    @PascalSabonga Місяць тому +2

    Unapoona giza linazidi ndio panakaribia mapambazuko

  • @glorysungura3180
    @glorysungura3180 Місяць тому +4

    Lipo jibu. Alikuwepo farao yupo wapi sasa, alikuwepo sauli, MUNGU alichofanya kwake mpaka leo kinasimuliwa. Alikuwepo Idd Amin leo yupo wapi. Ipo cku yote yatabaki historia. Mioyo ya wengi inalia, tutapata maginjwa yamoyo watz kwa haya matukio. Kila mtz mpenda amani muda huu analia. Ipo cku.

  • @evangelistpetropiason6202
    @evangelistpetropiason6202 Місяць тому

    Na hii ndio injili ya kweli

  • @WOKOVUNIAKILI
    @WOKOVUNIAKILI Місяць тому +2

    HATUJUI ANAYEFUATA,LAKINI KAMA BWANA AISHIVYO, UKIUA KWA UPANGA UTAKUFA KWA UPANGA.

  • @NeemaHamissi
    @NeemaHamissi Місяць тому +2

    Eh MUNGU tusaidie ni maumivu makubwa eh MUNGU wangu😭😭😭😭😭😭😭

  • @paulojohn9608
    @paulojohn9608 Місяць тому

    mimi sion maana. ya kuwa na jeshi la police nani atakaye tulinda kwa haya yanayo tokea

  • @JosephAkida
    @JosephAkida Місяць тому

    Hii nchi wahusika wa kutekeleza mauaji haya endeleeni sana hakuna sheria ya kuwafanya lolote,nakumbuka enzi za uhai wa Magufuli alitamka tu kwa vyombo vyake vya ulizi na usalama kuwa asisikie majambazi yamehalifu popote na watu wasafiri kwa uhuru hii nchi niyawatanzania ILA MBONA nyakati hizi sasa ndo imekuwa maisha jamani?Asanteni wauaji ila kumbukeni jambo moja kuwa hamna mbingu yenu mtamkuta aliye waumba hata kama leo hii mmemkataa

  • @sophiamalinga18
    @sophiamalinga18 Місяць тому

    Mungu ingilia kati usinyamaze juu ya watekaji na wauaji

  • @UPAKOMINISTRYTV
    @UPAKOMINISTRYTV Місяць тому +2

    Kuna mtu yuko apa nimeona akisema amepumzika kwa Amani maana hakuna anaishi milele nikuulize swali hivi unajua uchungu uyo mama anaepitia omba yasikukute mpumbavu wewe

  • @simonIbrahim-hc8vm
    @simonIbrahim-hc8vm Місяць тому

    Daah mpaka nashindwa kusema 😭😭😭😭😭😭

  • @abrahamuisrael6161
    @abrahamuisrael6161 Місяць тому

    siamin km mama Samia anahusika na Aya,,shida ya nchi hii Ina watu washamba na wa hovyo sana,,

  • @NeemaHamissi
    @NeemaHamissi Місяць тому

    Dah 😭😭😭😭😭😭😭

  • @mengindegeya2780
    @mengindegeya2780 Місяць тому

    Walio uwa mwenzenu hapo anaimba pambio eti nauliza?????? Mlaniwe mlalapo dam ya marehem iwakimbize mbele na nyuma muamkapo pumbavu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!???

  • @williammwamalanga1065
    @williammwamalanga1065 Місяць тому

    Ni wapi hii

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds Місяць тому

    Mungu tufute machozi naomba uwa aibishe hawa wauaji na watekaji nchi yetu amani itawale kwa kila moja wetu

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 Місяць тому +1

    Kilio kitakatifu 😢😢ipo sikuyao awa waaribifu 😢😢😢😢😢😢na wauaji wakatili

  • @barakamwamasage-hy2jo
    @barakamwamasage-hy2jo Місяць тому

    Naona mioyo yenu inafuraha sasa kuona watu wanalia ok sawa Mungu yupo

  • @HawaOman
    @HawaOman Місяць тому

    Hivi ni siasa au nini kila siku utagaji na mauaji jamani mungu silala

  • @Prosperkisama
    @Prosperkisama Місяць тому

    Ingawa amefariki hivyo ana heri kwani amepumzika kwa amani maana amesamehewa. Je mwisho wangu na wetu au wao itakuwaje? Hakuna wa kuishi milele.

  • @clevermgedzi4708
    @clevermgedzi4708 Місяць тому

    Viongovi mnaona au? Mama samia hii ndo nchi yako

  • @JosephMagige-lf9ns
    @JosephMagige-lf9ns Місяць тому

    Aminiamini hata wao watakaji siku inakuja na wao kiikombe watakinywea.

  • @samoskiyalo6095
    @samoskiyalo6095 Місяць тому

    Je Mungu akiachilia kimbali mutazuwia? Acheni kusema Watanzania ni waoga maji yakimwgika hamtazoa Maonezi yana mwisho

  • @RehemaMtono
    @RehemaMtono Місяць тому

    Kisasi ni cha BWANA

  • @Elzaberthjohn
    @Elzaberthjohn Місяць тому

    Nani kafa

  • @BensonMpete
    @BensonMpete Місяць тому

    😢😢😢😢