КОМЕНТАРІ •

  • @yudadaniel4867
    @yudadaniel4867 2 роки тому +22

    sura nzuri kichwani empty

  • @zubedamagambo9600
    @zubedamagambo9600 2 роки тому +18

    Muacheni, Kama mwanaume kamtia mimba mwanamke af akamkana kisa alikuwa na yule muhindi koko, mwanamke analea mwenyewe mtoto wake, mtoto hapati mapenzi ya baba coz baba anaogopa kumuudhi mwanamke mwingine aliye naye. Kuna ulazima gani wa kusema baba yake ni fulani wakati baba mwenyewe kivuli tu. Hata kama ni mimi nampotezea mbali.

    • @amanimanase8798
      @amanimanase8798 Рік тому

      Lkn ata Kama umkane si Una uhakika kuwa alikutoooomba na kukutia mimba au vip

  • @matayongwallo2270
    @matayongwallo2270 2 роки тому +2

    tatizo lenu nyie wadada mnapenda kutembea na masupa staa matokeo yenu mnalia na mapenzi kinakacho endelea mtadanga sana tu maisha ya mtu wa kawaida yanaraha sana/

  • @piusphilip307
    @piusphilip307 2 роки тому +40

    Uzuri wa Sura wa baadhi ya wanawake wa Kitanzania, ungekuwa Hadi ubongoni. Nchi hii ingepaa kuikaribia marekani.

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 роки тому +3

    Duuuuu

  • @nuruanafisoo4220
    @nuruanafisoo4220 6 місяців тому +2

    Mwanaume ambaye hajakutambua kweny shida iweje achukue mtoto mtoto niwa mama cku zote.wanaume wajifunze kutunza mimba maan uzazi ni nusu kifo

  • @peterwapesa7947
    @peterwapesa7947 2 роки тому +5

    Hili li demu kumbe ni jipu eeh.. Baraka songa mbele achana na kiazi hicho

  • @mzeejesh6112
    @mzeejesh6112 2 роки тому +2

    Ww mwanamke chizi sana

  • @lightmsuyya1714
    @lightmsuyya1714 Рік тому +2

    Nyie Hamja elewa baraka Ali mkana kuwa so mwanae sasa caren uwezi jua kuwa kapitia mangap wanawake wana pitia mengi ndo mana ina fikia time ana sema so baba yake coz Ali mkana

  • @eugenemimbi1330
    @eugenemimbi1330 2 роки тому +4

    Uzuri wa sura sisi wanaume hatuangaliagi sasa jikaze

  • @mwamwajaonline1881
    @mwamwajaonline1881 5 місяців тому

    Kibongo bongo sishangai mtoto akawa na baba sita

  • @rassanleezedon6861
    @rassanleezedon6861 6 місяців тому

    hii ni bongo tu! mwanamke mwenye makalio makubwa. kichwani bongo empty. huwa wanajikuta kama wanadiploma

  • @techsavvyswahili
    @techsavvyswahili 2 роки тому +4

    Huyu Dada akili hana

  • @powerofpraisingandworshipp7875

    Diva uache kuforce kupat habar tyu bila kuangalia hali ya mhusika some things are taken as privacy respect confidentiality acha ushamba inaonekan unamuonea wivu mdada wa watu

  • @keizerkaundila8805
    @keizerkaundila8805 2 роки тому +4

    Diva unaongea point sana nakpenda sana afunguke mtoto ni wa balaka

  • @saviormayeye3374
    @saviormayeye3374 2 роки тому +3

    Namuonea huruma ila mtoto ni wa da prince kabixa

  • @merymboya1330
    @merymboya1330 Рік тому +2

    Sasa kama haudumii mnataka aseme ni baba jina au

  • @luckyvenance4576
    @luckyvenance4576 2 роки тому +2

    Mwenyewe km baba mtoto asipomuhudumia mwanae asahau tu kuwa atamjua Huyo mtoto ajipange tu

  • @zenayakalawa930
    @zenayakalawa930 2 роки тому +3

    Hapo inawezekana mtoto ana baba Zaid ya wawili...lakini unamuweka hatarini mtoto,, wedada,muogope mungu

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 2 роки тому +4

    Diva kasema sio mtoto wake. Kubali au usikubali

    • @lucylucy3678
      @lucylucy3678 2 роки тому

      Diva anakmata wajinga kweli anakutega mbk unaingia mwenyew

  • @hassanbaoma8798
    @hassanbaoma8798 2 роки тому +3

    Hii nchi inatakiwa kuwekwa sheria Kali Sana kwa mwanamke anae badilisha ubini wa baba kwa namna moja ama nyingine

    • @vanessarobyn4584
      @vanessarobyn4584 2 роки тому +7

      Vile vile iwekewe sheria kali kwa wanaume wanaokimbia watoto kukataa kuwatelekeza na kuwakana. Angalia kitu unachokiongea

    • @saebajoma8419
      @saebajoma8419 Рік тому

      Hata mm sishangai nimenadili jina lababa wamwanangu yy kanikomoa kakimbia namm nimemkomoa kumnyia nisawa huyu dada yuko sawa km baba hatoi hudumu kwamwanae

    • @menalikechildren8836
      @menalikechildren8836 6 місяців тому

      Hahaha

    • @frankngoloka5416
      @frankngoloka5416 6 місяців тому

      Kapewa baba mwingine

    • @subiraibrahim8100
      @subiraibrahim8100 6 місяців тому

      Kwani baba akimkataa mtt mwanamke afanyeje anabadilisha tu

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 6 місяців тому

    Tatizo wanawake wa kibongo wanawahi kubeba mimba bila kumjua jamaa hawaogopi ukimwi matokeo yake wanazaa kila mtoto na baba yake, kama Baraka alikubali kuzaa nae asingemkana mtoto, demu kakimbilia kubeba mimba ili azae na star apate maokoto akaambulia patupu

  • @lugeradismas1675
    @lugeradismas1675 6 місяців тому

    Baba wamtoto ajawai badirika wanawake ni vichaa Sana

  • @eugenemimbi1330
    @eugenemimbi1330 2 роки тому

    Wan awake wakitanzania n wa wajinkiwajika sana utaongea hv ukiwa kijawa kijna sasa jidai utakoma hata hata kma asipokuwa mtoto wake jinga sana ww

  • @user-qb3hx2ku9v
    @user-qb3hx2ku9v 6 місяців тому +1

    Diva amekamata mwizi 😅😅 imeniuma sana wanaume kuwa makini usiangalie sura au usitaa angalia akili ya mwanamke hapo mumejifunza 😅😅

  • @GeorgeChitemo-kt8sw
    @GeorgeChitemo-kt8sw 6 місяців тому +1

    Wanawake ni mapepo kabisa ukiangalia huyu mwanamke anasema mtoto wa kwake kama yeye aliijitomba mwenyewe

  • @amanizocharomwangoboy5416
    @amanizocharomwangoboy5416 2 роки тому +4

    Mimi ndio baba ya mtoto sio BARAKA

  • @MahmuduKharidi
    @MahmuduKharidi 6 місяців тому

    Nyie ndio Mnapigwaga Bastola wee Ongea Kama mtt wake au sio wake

  • @carenalphonce5013
    @carenalphonce5013 2 роки тому +5

    Wasanii bana wakiongea bila kuhema kwa nguvu awawezi

  • @africanproudly4004
    @africanproudly4004 2 роки тому +1

    Inawezekan kuna kitu kwa nini anapata wakati mgumu kujibu anyway tuache umbea

  • @aidanmaganga7051
    @aidanmaganga7051 6 місяців тому

    Huyu dada hajui kujibu maswali

  • @musicheals1545
    @musicheals1545 6 місяців тому

    Ukweli utabaki pale palee

  • @Gmalen
    @Gmalen 2 роки тому +1

    Tafuteni ela wazee

  • @julianaandreea5836
    @julianaandreea5836 2 роки тому +1

    Uvaae nguo ya 50 alf miwani ya milioni2 jmnii awa wasanii

  • @hanifakijjah6960
    @hanifakijjah6960 2 роки тому +1

    Mmmh mtt sio wake kasema

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 роки тому +1

      Nadhani mtoto ni wake lakini alipozingua akaamua kutompa huyo bwana. Kama haya hayajakukuta huwezi elewa mmmh maisha haya

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 2 роки тому

      @@MsAggie5 KWA J HIYO JAMAA KASUSA KUMA PAMOJA NA MTOTO.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 роки тому

      @@salimsaid7200 hongera kwa matusi na ndiyo hiyo hiyo iliyojutoa duniani
      Huna hata aibu unazani kutukana humu ni sifa au jifunze ustaarabu matusi ni ushambab

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 2 роки тому

      @@MsAggie5 BASI KASUSA ANDAZI 🤣🤣🤣

  • @babujinga4511
    @babujinga4511 2 роки тому +8

    Ucmlazimishe kujibu utaka vyo wewe ni mtangazaji tu

  • @harryvice77
    @harryvice77 7 місяців тому

    Kafanya maamudhi ya hasira

  • @zeddybass6672
    @zeddybass6672 6 місяців тому

    Huo weusi wa baráka haukwepeki 😅😅😅

  • @philipocharles9239
    @philipocharles9239 Рік тому

    Hawa ndo wanawake tunaoambiwa eti wanaume tu akwepa majikumu,,hivi hivi hivi

  • @anastaziuscyriacus5415
    @anastaziuscyriacus5415 2 роки тому

    Caren kumbe ni jinga tu.

  • @fredrickraphael1624
    @fredrickraphael1624 6 місяців тому

    Uyu manzi kilaza kwel

  • @NasraN-hr5uh
    @NasraN-hr5uh 6 місяців тому

    yaani hata me nisingetaka kumwita mwanangu jila mpuuzi baraka huyu anajikuta mnoo

  • @jamesvmusic2677
    @jamesvmusic2677 2 роки тому

    🤔

    • @madinasilima9506
      @madinasilima9506 2 роки тому

      Hongera sana dada kwa kumbadilisha mtoto jina mimi mwenyewe nimembadilisha mwanangu jina na niko njiani kumbadillisha na jina nala baba yaani mpaka naona Chungu has unanichunguliya

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 2 роки тому

      @@madinasilima9506 NDIO IWEJE SIFA.

  • @noelarhobininestide5190
    @noelarhobininestide5190 2 роки тому +1

    mtoto ni wa mama,,,ametoka kwenye kitovu cha mama

    • @mzeeomary5780
      @mzeeomary5780 2 роки тому

      Acha ujinga baba we unapingana na Mungu

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 2 роки тому

      KWELI LAKINI SIO KITOVU MAMA KATOKA KWENYE KUMA YA MAMA BAADA YA KUTIWA UBOO NA BABA BILA UBOO ASINGEZAA.

  • @nhobolasilas9366
    @nhobolasilas9366 2 роки тому

    Huyo demu ni ana akili zisizo na akili

  • @rachaelmwanje6331
    @rachaelmwanje6331 2 роки тому +1

    Bure kabisaa 🤔

  • @mwanzashinyanga8060
    @mwanzashinyanga8060 2 роки тому +1

    wanawake walio wengi ni wapuuzi tu ikitokea wametofautiana wazazi wanawake wanakua wepesi sana kuwalisha sumu watoto sasa sio mtoto wake kwa sababu mna ugomvi mpuuzi sana wewe dada

    • @anitahkim9857
      @anitahkim9857 2 роки тому

      Baba hua baba sababu ya huduma anayo toa Kwa mwanae .mama ni mama sababu ya kuzaa huo mtoto Na connection yake Na mtoto huazia akiwa Kwa tumbo . wanaume mujue kuhudumia watoto wenu nikitu mhimu sana

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 2 роки тому

      @@anitahkim9857 BILA YA KUMTOMBA ASINGE ZAA.

  • @Daudilukas
    @Daudilukas 2 роки тому

    Bakubal wcb kinoma

  • @wlkmwlkm2174
    @wlkmwlkm2174 2 роки тому

    Huna hakil ww mudada

  • @boyochu1308
    @boyochu1308 2 роки тому

    Huyu mdada fala kweli yani

  • @johnrobert48
    @johnrobert48 Рік тому

    Hawa sio wa kuitwa kwenye interview

  • @bonnycosta3828
    @bonnycosta3828 2 роки тому +1

    Kumamako uzuri bure hakirii empty

    • @flipflop8409
      @flipflop8409 2 роки тому +1

      Ni “akili “sio “hakiri “

  • @bimkubwaali1605
    @bimkubwaali1605 2 роки тому

    Leo kingelleza kapata mswahili ptueeee huyu dada kwakweli anajuwa kucheza akili za watu

  • @DM_15
    @DM_15 6 місяців тому +1

    Wanawake wanaojiona niwazuri hawana akili kabisa that's why kuoa mwanamke mzuri hatushauriwi sana hivi viumbe there so stupid much

  • @streetconatv100k
    @streetconatv100k 2 роки тому

    Malaya huyo

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu2676 2 роки тому +3

    Kwan lazma kusema nawe peleka umbea uko....

  • @zezenature
    @zezenature 2 роки тому +4

    Diva unaForce Sana personal issue ya watu....

    • @judiehance1736
      @judiehance1736 2 роки тому +1

      Umeona

    • @zezenature
      @zezenature 2 роки тому

      @@judiehance1736 na sio Mara moja....huwa anatishia watu eti hii ndio kazi yake....I think anafanya hvyo ju anafanya kwa radio station kubwa....

    • @judiehance1736
      @judiehance1736 2 роки тому +2

      @@zezenature yeah kila mtu ana privacy zake , huenda akiziongelea ataharibu uhusiano wake na wanafamilia ,sasa huyu mama haelewi 🤔🤔ndo maana aligombana na lulu diva maana ana force uongelee usiyotaka

    • @afiqmohammad8495
      @afiqmohammad8495 2 роки тому

      mtangazaji na haki yake kuuliza na si kujudge out..na mara nyingi huwa inasaidia wao kuuliza wasanii kujibu..cuz hata baadae mtt anapokuwa anakuwa na profile ya kutosha yenye ushahid stahiki

    • @fatmaomar8203
      @fatmaomar8203 2 роки тому

      Uyo diva ana mswli y kijing sn

  • @Cath844
    @Cath844 7 місяців тому +1

    Ni nani huyu dada asiyejua kujibu maswali?!😂🙌🏾

  • @DM_15
    @DM_15 2 роки тому +2

    Wanawake bwana takataka kama hiz hazifai hatakuzaanae walakuoa pumbakabisa

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 2 роки тому

      TAKA TAKA LAKINI ANA KUMA.

    • @DM_15
      @DM_15 2 роки тому

      @@salimsaid7200 hatakaswende zinapatikanahumohumo .pia taka taka mdamwingine hutumika kamambolea . Kwaio kuana mti haimaanishi utayalamatunda matamu mengine sumu. Lakini yoote ni miti. Kama ulivyotamka hicho ulichakisema anacho lakini haimaanishi anafaa kuitwamama bora kwahuo ujinga anaotakujifanya mjuzi kuliko Mungu kwaio mtoto hana Baba. Takataka hatayesu aliwai kuona mtimzuri wenye matawi mazuri akavutiwanao alipo ukaribia akagundua hauna Matunda akajisemea mtimzuri kamahuu yawezekanavipi kukosamatunda basi yesu akaulaani mti ule. Nadhani umrnielewa. Ule nimti kama mitimingine lakini ulikuanakasoro yesu akaulaani . Taka taka tuu.

  • @ramsodavidson6011
    @ramsodavidson6011 2 роки тому

    MALAYA HANA MKOLE

  • @elizacasmiry3338
    @elizacasmiry3338 2 роки тому

    Pumbv 😂

  • @norbypoltv
    @norbypoltv 2 роки тому

    Bongo land😁

  • @techsavvyswahili
    @techsavvyswahili 2 роки тому

    Huyu Dada akili hana

  • @wazirmlogi7532
    @wazirmlogi7532 2 роки тому

    Na hii ndiyo sumu ya mijanamke mikahaba ya kibingo yan hapa tayar lishauza mtoto kwa boy mwingine

  • @fareesfarees7634
    @fareesfarees7634 2 роки тому +2

    hahahahhaha hii ndo raha ya kuzaa nje ya ndoa...mtoto anakosa raha tangia utotoni....ndo maana halisi ya kuzaa mtoto wa haramu...cha haramu kimegeuzwa kua halali

    • @mbonimarog5903
      @mbonimarog5903 2 роки тому +2

      Kitanda hakizai haramu

    • @fareesfarees7634
      @fareesfarees7634 2 роки тому +1

      @@mbonimarog5903 wapi nilisema kinazaa haramu....soma uelewe sio unjb tu

    • @boyochu1308
      @boyochu1308 2 роки тому +1

      @@fareesfarees7634 na wewe rudia hiyo coment yako vizuri utaona kama hujasema mtoto haramu

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 роки тому +2

      Hongera wewe usiyezaa haramu lakini sema pole pole kwani kuna wengi wamesubiri kuolewa sasa wako fifty hawajaolewa na hawajazaa sijui utawaitaje na kama wewe mzazi huwezi jua uzao wako utakuwaje kwani hata hao wanaozaa haramu wazazi wao waliomba yasiwakute lakini ndo hivyo either way iwe kwa kuhangaika kwao au kwa kubakwa au kwa kupenda wasiojua kupendwa.

    • @fareesfarees7634
      @fareesfarees7634 2 роки тому

      @@MsAggie5 nimekuelewa