Hiki ni kipindi cha kukosoa hadithi.visa,riwaya za uongo alo singiziwa mtume ,na zinazo khalifiana na quran.na kusahihisha ufahamu wa makosa katika masaala ya dini.
Uko sahih sheikh kwa mafuum haya qurian inaeleweka vzr sana mm nilikuw taab sana nilijua swalatu hasr!! Ni kama neno sabaa minal mathan! Tunaambiwa suratil fatiha...alaf aya inamalizia kwa kusema na qurian tufuku!! Ktk suratil hijir😂😂
Kwahiyo kama kitu hajaona kwenye quran wewe shekhe ikaja hadithi sahihi wewe huikubali kisa hujaona ktk qur an? Sasa je hiuo mawaaqiitu sswaaat tuambie wakati waswala ya magharibi unaingia jua likifanyaje na unatoka muda wagharibi jua likifanyaje naomba tutajie aya inayoelekeza muda wa swala ya magharibi
ما شاء الله جزاك الله خيرا
Shukran kwa mawaidha Ustadh
Shukran kwa mawaidha