PENZI LA MEET US LIMEKUFA : CANDY AKATAA PETE YA RAHEEM HADHARANI NI AIBU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 гру 2024
  • Our mission is to bring people together,entertain and educate people that's why we create content that does exactly that

КОМЕНТАРІ • 18

  • @Martha871
    @Martha871 8 днів тому +4

    Nilichojua mwanaume ni mshenzi sanaaaa et ''''akicheat its okay''' na yote ayo unayasema hadharan et ma ex wanatuma picha sanaaa ili li lahim lina tabia ya kucheat tuy na hamheshim mdada duuuu siwezii kwa kwelii

  • @EviathaEdistedius
    @EviathaEdistedius 6 днів тому +2

    Sasa candy unanuna akat ushamnyonyesha Raheem anajuaa vzur uchi wak ni mamb ya kuongeaaa utazunguk sana wanaume wote wapo hvo utaruka mkojo ukanyage Maviii tuliaaa ww😅

  • @DorcasKessy
    @DorcasKessy 9 днів тому +9

    Ukishaona mauchafu kabla ya ndoa Haina haja ya kuingia kwenye ndoa

    • @rizikisam6481
      @rizikisam6481 9 днів тому

      Na mm ilinitokea hii nlikataa siwezi wakati najua tayari mambo ambayo ningeyakuta ndani

  • @Ms.natebillionaire
    @Ms.natebillionaire 9 днів тому +2

    Sema ni sahihi sana mwanamke alichokifanya mm namsupport asilimia 100 kuz in reality sidhan kama mwanaume ni mtu sahihi kwake in terms of vitu vingi

  • @mamuumuu4999
    @mamuumuu4999 5 днів тому

    Hatimaye 😂😂😂😀😂 wametufanya wengine tujione kenge tu na yatima wa mapenzi

  • @ShamsaJuma-hv3hr
    @ShamsaJuma-hv3hr 2 дні тому

    Wanatuigizia tu hao

  • @SuleimanMuhammed-g7q
    @SuleimanMuhammed-g7q 9 днів тому +1

    Ww mjinga km usizuie hasira ukifanya kitu kibaya,,,,zuia hasira

  • @MariamuJoseph-eb8ms
    @MariamuJoseph-eb8ms 9 днів тому

    She said no 😅😅😅

  • @eysherjuma3779
    @eysherjuma3779 9 днів тому

    Hana jeuri hyo kbsa

  • @veronicahlusekelo5205
    @veronicahlusekelo5205 9 днів тому

    Mbn vtu vngine wanatuonyesha waache ujinga hawajaoana

  • @matronmkenda3510
    @matronmkenda3510 8 днів тому

    Mimba tu imemkataa amebeba kidume huyo tunza comment yangu

  • @LinnaPaul-s4x
    @LinnaPaul-s4x 9 днів тому +3

    Mimba imemchukia huyo mwanaume

    • @nasramohamedi4095
      @nasramohamedi4095 9 днів тому

      Wala huyo mwanaume ni Malaya alikuwa anatoka na Yule x wa lukamba

  • @KAHINDOMATABISHI-v6m
    @KAHINDOMATABISHI-v6m 9 днів тому

    She did bad

  • @Ms.natebillionaire
    @Ms.natebillionaire 9 днів тому +2

    Sema ni sahihi sana mwanamke alichokifanya mm namsupport asilimia 100 kuz in reality sidhan kama mwanaume ni mtu sahihi kwake in terms of vitu vingi