MKURUGENZI ZSSF/CHAKULA CHA WAKUBWA/NILIKUWA MDOGO /WAMEONDOKA WOTE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • MKURUGENZI ZSSF/CHAKULA CHA WAKUBWA/NILIKUWA MDOGO /WAMEONDOKA WOTE

КОМЕНТАРІ • 96

  • @RashidSalim-jw1hv
    @RashidSalim-jw1hv 9 місяців тому +1

    Mashallah Allah atakulinda hapa duniani na atakufanyia kila Lilo na kheri nawe tupo nyuma yako milele

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky Рік тому +4

    Mashaalah I love her. Wawooooo I learned a lot from her 🥰🥰🥰🥰🥰

  • @saifbrashdy6095
    @saifbrashdy6095 Рік тому +4

    Smart honest, confidence i like you

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 Рік тому +6

    Kilabinadamu na mapungufu yak hakuna mkamilifu kwa ngu kwavile nalielewa hilo la kilabinadamu anaudhaifu yake ila kwwngu sabra ni mpambanaji anajielewa anajiamini na anajua alikosea wap na amepatia wapi ili andelee

  • @hisqueen7419
    @hisqueen7419 Рік тому +3

    Yupo very grateful ❤️gratitude open abundance ❤️❤️

  • @AliHassan-fq5zi
    @AliHassan-fq5zi 4 місяці тому

    Dada pole Dana je naNi msafi duniani Bora utulie TU M/Mungu yupo natayari umejifunza

  • @khadijahashiem9674
    @khadijahashiem9674 Рік тому +8

    I love this womn ❤

    • @aminaawal8953
      @aminaawal8953 Рік тому

      Wanawake wanapenda sana anguko la mwanamke mwenzao hili ndilo tatizo ushahidi ni mitandaoni tunayaona na katika jamii yameshika kasi,tubadilikeni Wanawake.

    • @fatmareshed9975
      @fatmareshed9975 Рік тому

      Mashallah keep it Up

  • @jokhaali5893
    @jokhaali5893 9 місяців тому +2

    The brilliant minded lady, love your thoughts

  • @aliomar9763
    @aliomar9763 Рік тому +3

    Nakupenda sana ni mwanamke mwenye upeo mkubwa

  • @jumaomarhaji5237
    @jumaomarhaji5237 Рік тому +2

    Keep it up Sabra, still I remember your humanity

  • @salmaissa1807
    @salmaissa1807 Рік тому +2

    Allah akufanyie wepesi hii ni mitihani kma mitihani mengine muhimu usisahau kuomba dua allah akufanyie wepesi

  • @jamaljamal9915
    @jamaljamal9915 Рік тому +2

    Bado anadi anapendeza mashallah

  • @peterlema805
    @peterlema805 Рік тому +2

    Nice. very intelligent

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab Рік тому +2

    Tunzo kajipa mwenyewe huyo😂😂😂😂😂😂Yaani huyo akapewe Tunzo ya nini,mpija hela za wananchi huyo ,Ali baba hahah Hauna lolote mwamba unajipa kiki tu ili kujiondoa stress

  • @omarkhamys9818
    @omarkhamys9818 Рік тому +2

    Sabra uko vizur nakukubali, kuteleza ndio ubinaadam..

  • @robertedward1992
    @robertedward1992 9 місяців тому +2

    Wewe mtoto wa wakubwa

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 9 місяців тому +1

    Maneno yako sio murua na ushike adabu yako kusema Allah ni mshikaji wako rekebishe lugha hio utapata laana

  • @ebmmziwanda2288
    @ebmmziwanda2288 Рік тому +3

    Nikikumbuka huyu Mama wakati wakolona Duuh natamani kucheka tulijichagua watu wa mahotel kwenda kwenye ofisi yake ya Zsff ili tupate hata pesa zetu wenyewe alitujibu vibaya sana na tulifurahi alivyotumbuliwa 😊

  • @mohdhassan6083
    @mohdhassan6083 Рік тому +1

    Poleeeeeeee, upige lkn bado kimawazo uko MDOGO

  • @fadyaseif5271
    @fadyaseif5271 9 місяців тому +2

    Mti wenye matunda hauwachi kurushiwa mawe.

  • @asmahanawadh7121
    @asmahanawadh7121 7 місяців тому

    Kweli ukhti bswabra unapata funzo

  • @deusdeditsimba4452
    @deusdeditsimba4452 9 місяців тому

    Dada Nakupenda uko powa Sana ila MAROHO MBAYA hayakosekani

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t Рік тому

    Wee kweli muhuni. Yaani Mungu ni mshikajì wakò. Huko nyuma.ya pazìa ndo weye

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 9 місяців тому

      Vip unamwita mwenzako muhuni?

  • @ZaidSeifSuleiman-q9w
    @ZaidSeifSuleiman-q9w 7 місяців тому +1

    Huyu anamatatizo mwanzo tulijua nimtu mwenye msimamo wa dini mtoaji nasaha na ushauri baada yakurudi kwenye nafasi yake akaanza kujirusha na haiwezekani mara kwa mara matatizo yake yananirudia nanilimsikia kiongozi mkubwa anamtaja kwa ubadhirifu kwa mali ya umma nanimtu wakuaminika aliyeyasema hayo huyu kwenye serikali hafai kabisa

  • @IddaItuga-o9d
    @IddaItuga-o9d 7 місяців тому

    Sabra big up

  • @wadhhasuleiman2621
    @wadhhasuleiman2621 Рік тому +1

    Uyu dada alikuwa na dharau sana Wakat wa cheo alisema nile chips hizi yaan aombe kwa mungu tu Ila dharau alikuwa nayo zee zima lilifanya harusi kama mwari kipindi cha COVID alingoa mabembea akaweka kwake

    • @mombasa0076
      @mombasa0076 9 місяців тому +1

      Wewe mwenyewe ni DHARAU.

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 9 місяців тому

      Kila mtu ana makosa, hata wewe una makosa yako

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 9 місяців тому

      Nasifia nnachokiona huyu dada kafanya kazi nzuri. Kwamba hataki kula chips za pahali fulani hata mimi sili kila pahali.

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t Рік тому +2

    Huyu Mama ni tapeli la kimataifa. Anajua kuiba kwa kaĺlamu alikua anakula na wakubwa huyo. Looh hata aìbu hana. Maneno kibaooo mwizi mmoja.

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 9 місяців тому

      Hata wewe inawezekana ni mwizi na kama si wewe basi wazee wako

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Рік тому +3

    Anaumia huyu kuwekwa benchi,,,Hana tena nafasi!!

    • @mombasa0076
      @mombasa0076 9 місяців тому +1

      HIYO NAFASI UMEPEWA WEWE AU UNACHONGA TU.

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 9 місяців тому

      ​@@mombasa0076punguza makasiriko msenge wewe!

  • @mohdhassan6083
    @mohdhassan6083 Рік тому +2

    Unazungumza kama upo MASKANI ya porojo...USIFANYEEE Acha hvyo ni AIBU ZAIDI

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 Рік тому +1

    Alizid utovu wa adabu hvo acha yamkute

  • @EshaHamd-ed9yv
    @EshaHamd-ed9yv 9 місяців тому +2

    Wewe ni mwizi tu sawa sawa na hao waliokuwa kwenye madarakani jamaa Yako Seif Alie Iddi katumie pesa za wizi dhuluma ufisadi uuwaji

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab Рік тому +3

    Miradi yake hadi leo imetajwa kwenye repoti ya Mdhibiti Zanzibari yaani kapiga hela sana tu za Wazanzibari kipindi alichozawadiwa na Shein maana shein alikuwa anawazawadia tu madaraka

    • @mombasa0076
      @mombasa0076 9 місяців тому +1

      ACHA FIKRA POTOFU.
      KUPIGA NI JUMLA YA MATUMIZI

    • @mombasa0076
      @mombasa0076 9 місяців тому +1

      MBONA WEWE HUKUZAWADIWA HAYO MADARAKA ?
      ACHA POROJO .

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 9 місяців тому

      Inasemekana wamepiga wakubwa ila kama kawaida kosa la ng'ombe wa mbele kichapo anakipata ng'ombe wa nyuma.

  • @eunicembwambo2749
    @eunicembwambo2749 Рік тому +2

    Nimependa ujacri wake

  • @fatmaali4921
    @fatmaali4921 Рік тому +9

    Ila chuki ww mwenyewe umezisababisha dear ulikuwa unazarau hao wanawake wezako sanaa kiasi wakuchukie kuna mda tusemen kweli km dharau zetu wenyewe ndizo zinasababisha watu watuchukie

    • @karimdaud3993
      @karimdaud3993 9 місяців тому +1

      Sio kweli husda na uchoyo vili sababisha

    • @fadhilahaji7929
      @fadhilahaji7929 9 місяців тому

      Mama usijisifu sana ww watu wanakujua saba

    • @fadhilahaji7929
      @fadhilahaji7929 9 місяців тому

      Wanasema ww mambo yko ni kujionesha onesha lkni mm nimekujua kwenye mitandandao lkni ww ni mwangu tu nakkpenda sana

    • @allyseleman9531
      @allyseleman9531 9 місяців тому

      Mqs1*@1*+7+7

    • @NanaNana-xo2og
      @NanaNana-xo2og 9 місяців тому +1

      Usimuhukumu mtu Kwa kusikia sabra hajioni na mtu poa sana ila kama humjui utahisi anaringa.ila ni mtu peace sana.

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t Рік тому +2

    Muongo umesimamishwa kwa wizi. Una hela gani mwizi wee. Sabra chips chafu mwanamke gani mwizi. Huna wasiwasi kwa kua unaibà na wakubwa. Msagaji mkubwa

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 9 місяців тому

      Kila mtu ana makosa hata wewe una makosa yako. Na kama wizi katika hizi nchi zetu upo na utaendelea kuwepo na kuna watu wanapiga kuliko yeye

  • @IddaItuga-o9d
    @IddaItuga-o9d 7 місяців тому

    Aliepewa kapewa umepewa watahangaika sana na wewe lakini hawatokufikia asilani

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t Рік тому +1

    Anajivunia wizi wa fedha zetu. Za ZSSF kaiba sana kupitia hayo majumba

    • @mombasa0076
      @mombasa0076 9 місяців тому +2

      NANI UNAYEMJUWA AMBAYE UNASEMA HAKUIBA.

    • @NanaNana-xo2og
      @NanaNana-xo2og 9 місяців тому

      Hakuna alikuwa yupi kwenye madarada haibi hata uyo rais wako anaiba kupitia hio hio miradi .hakuna anokaa sehemu akawa kipofu .angalia maisha yako

    • @NanaNana-xo2og
      @NanaNana-xo2og 9 місяців тому

      ​@@mombasa0076😂😂😂

  • @juma2979
    @juma2979 Рік тому +1

    Wee dada yani mungu mshkaji wako duuh noma

    • @rahmaarrington9019
      @rahmaarrington9019 Рік тому

      Halafu anasema watu ni wajinga sanaa!! Daah

    • @djzillah2857
      @djzillah2857 Рік тому

      Malaya anaropokwa tu kama mlevi😅

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 9 місяців тому

      Kwani maana ya mshikaji ni nini?

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 9 місяців тому

      ​@@djzillah2857huna dada, mama?

    • @i1_830
      @i1_830 9 місяців тому

      Muhammed unapata thawabu kuktetea binaadamu mwenzio

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t Рік тому +1

    Huko ZSSF ndio uliiba kwa matonge na wakubwa kwani unadhani hatujui¿

  • @AhmadaTahir-cu8se
    @AhmadaTahir-cu8se Рік тому

    Pale ZSSF kuna manyago kibaaaaao

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 Рік тому

    Kumba ila Huyu Mmoja Naskia Kaaguka Mpapai

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 Рік тому +1

    🤔Mimi husema tu jema husifiwa na baya hulaaniwa. Kama kuna mazuri aliyofanya Sabra na ushahidi upo basi apewe sifa yake. Na kama kuna mabaya si vipo vyombo vya upelelezi na ikithibitika atawajibishwa. Tupendane chuki bila ya ushahidi wa jambo baya au kitu ni upotevu wa muda.

    • @FekiHappy
      @FekiHappy 7 місяців тому

      Watu Wana chuki haswaa pambana eti anastress zitoke wapi

  • @mohdhassan6083
    @mohdhassan6083 Рік тому

    Unapohojiwa usishauri VIBAYA na USIJISIFU SANAAAAA

    • @rahmaarrington9019
      @rahmaarrington9019 Рік тому

      Swali analoulizwa silo analojibu!! Amekuwa Kama kamtengeneza huyu mwandishi!!

  • @mohamedjuma1878
    @mohamedjuma1878 Рік тому

    Baada ya kukosa la kufanya ndio ukaamuwa kujiundia foundation ili kukeep bize la msingi ni kutubia kwa wizi ulio ufanya pale zssf

  • @rizikiabdalla2501
    @rizikiabdalla2501 Рік тому +2

    Mhhhh makubwaa wasio kujua watakuonaa wanaka lakini wano kujua mhhh

  • @FatmaMwalimu-p2p
    @FatmaMwalimu-p2p 11 місяців тому

    Kweli rombaya na kufatilia Masha ya watu tutaendeleya wapi

  • @nasraissa4873
    @nasraissa4873 9 місяців тому

    Huyu mtu inavosemekana mzoefu wa kuiba na anakikos chake wapo wengi

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t Рік тому

    Elfu hamsini...ndo maana ukawa mwizi eti?

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t Рік тому +1

    Huoni hata maneno yake ya kitapèlì tapelì.

    • @rahmaarrington9019
      @rahmaarrington9019 Рік тому +1

      Mie huyu simuelewi elewi hasaa!! Kama kuna kitu kinamsumbuwaa kichwani ila ana act yupo na furaha! Ila hayupo sawa sawa huyu ndio maana maneno yake ni lawama za kuchukiwa Mara kuachwaaa miaka yotee huyu hayupo barabarr!! Au ndio hizo pesa za wizi??

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 9 місяців тому +2

    PIGA KAZI , ACHA WASEME

  • @salummasoud5778
    @salummasoud5778 Рік тому +1

    Congrats.

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t Рік тому

    Ukikua utaachà wizi lakini umekua jambazi

  • @AliAli-r6q4z
    @AliAli-r6q4z 9 місяців тому

    Dharma haidumu

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 Рік тому +2

    Huyu ni mama ni walewale maccm kazi zao ni chuki na UBAGUZI, kama sio ccm hapatti kitu.

  • @fatmamansour676
    @fatmamansour676 Рік тому +3

    Ssa upo likizo miaka yote au umesimamishwa kazi kwani ukisema umesimamishwa kun ubaa gani miaka yote katika uchunguzi tu mtihani

    • @frankdionis7700
      @frankdionis7700 Рік тому

      Alipiga nyingi

    • @juma2979
      @juma2979 Рік тому +1

      Amepiga Hela nyingi huyu dada halaf ni jeuri

    • @rahmaarrington9019
      @rahmaarrington9019 Рік тому

      Hivi kwani Kesi yake bado tu hajahukumiwa ?? Sasa likizo miaka 4 ?? Au ?

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t Рік тому +1

    Hata useme vp sisi tunakujua mwizi wa fedha za wavuja jasho.
    Malaya sana hata maneno yako ya kihuni

  • @SuleshSlu-vk2vg
    @SuleshSlu-vk2vg 8 місяців тому

    😢😢 mh

  • @AliHassan-fq5zi
    @AliHassan-fq5zi 4 місяці тому

    Dada pole Dana je naNi msafi duniani Bora utulie TU M/Mungu yupo natayari umejifunza

  • @mohdhassan6083
    @mohdhassan6083 Рік тому

    Unazungumza kama upo MASKANI ya porojo...USIFANYEEE Acha hvyo ni AIBU ZAIDI

    • @davidsemvua5336
      @davidsemvua5336 Рік тому +3

      Hongera sana dada you have big education uko vizuri sana wanao kuchukia ni wakuna nazi ilove you