Kwa Mguso wa Imani (Official Video) - MASHAHIDI CHOIR || MOROGORO MJINI SDA CHURCH
Вставка
- Опубліковано 10 січ 2025
- WAEBRANIA 11:1,6
1. Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
6. Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza; kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao.
Song name: Kwa Mguso wa Imani
Artist: Mashahidi Choir
Audio: @vocapellamedia
Video: @vocapella
Copyright ©️ 2023 MashahidiSDAchoir