Wewe sonko,mulipora nairobi mukiwa na waiguru,waizi mulipora serikali na mukajulikana,sasa saa hii ndyo unaambia watu wasiaribu mali ya wananchi,,,wakati mulikua mnaiba,wewe waiguru nawaititu
Journalists wasted an opportunity to ask muheshimiwa Sonko, who is killing the waandamanaji??? How come when the police vandalize shops/supermarkets and loot... no one seems to be bothered?
What sonko is doing by pretending to help people is being opportunist. Am not saying it's bad but the way you are doing it is not right: MATHEW 6:1-4 Be careful not to practice your righteousness in front of others to be seen by them. If you do, you will have no reward from your father in heaven. So when you give to the needy, do not announce it with trumpets, as the hypocrites do in the synagogue and on the streets, to be honoured by others .
Hapo kidogo umekosea bw sonko,iko police umeskia amechapwa risasi? means police ndiye wanauwa sivyo,swali,how can you shoot unamed person?zamani,GSU ndiye walikwa wana kabliana na mandamano,Not police,na hakukukwana maafa,
Sonko TV gani ya France ulihangaria magari alichomwa nyumba zimebomorewa I’m not supporting that but it happened in France to. So let people protest peacefully. The only difference French police doesn’t use live bullets they are well trained not like kenya police who are well trained in corruption 😂😂😂
Sonko you already forgot maandamano ya azimio ni peaceful until you and the police and UDA used to burn cars, rob shops and kill kenyans. It is insane kusikia maandamano ya amani.
"Kwenda kufa huko dubai na london! Unajipiga kifua ati unaeza kimbia huko,kwenda na usirudi tena kenya, no body needs you!
He must be looking for something. He has never talked sense
Sonko is trying to tame his tongue not being careless like Kuria
sure
Ruto ako na kiburi sana,lazima ashuke
Si mungu afanye muujiza sonko akuwe president next time
Tutapasua as long as ruto na gachagua wako kwa uongozi mr sonko.they lied to kenyans
Sonko is smart he knows Politics is not a serious game play picky ponky
Wewe sonko,mulipora nairobi mukiwa na waiguru,waizi mulipora serikali na mukajulikana,sasa saa hii ndyo unaambia watu wasiaribu mali ya wananchi,,,wakati mulikua mnaiba,wewe waiguru nawaititu
Journalists wasted an opportunity to ask muheshimiwa Sonko, who is killing the waandamanaji???
How come when the police vandalize shops/supermarkets and loot... no one seems to be bothered?
It's the especially nyinyi for me 😹
This channel is truly one of the orphans of the handshake brothers, sensational titling won't wash
ongea ukweli sonko hakuna m tu anataka kupasuwa nchii sema ukweli mambo sio poa watu wana njaa
This you call accusations jinga jigger
Hii ni jinga ya kawaida...ati ako na nyumba London 😅😅Huyu uchukulia watu mafala!!
Mmmmm
Kwani how much is it to own ahouse in London?!it's cheaper than owning ahouse in Kenya my friend
@@georgejuma9221I own ahouse in Kenya and iwork in Belfast for awhile now so iknow how much it is to own ahouse here in UK cheaper than Kenya
@nicholassanga1446 that sounds grate
@@nicholassanga1446 😂😂😂😂
Great
Mbona hauwambii hao mapolisi wawache kuua,ama unachunga usiwekwe kalamu
What sonko is doing by pretending to help people is being opportunist. Am not saying it's bad but the way you are doing it is not right:
MATHEW 6:1-4
Be careful not to practice your righteousness in front of others to be seen by them. If you do, you will have no reward from your father in heaven. So when you give to the needy, do not announce it with trumpets, as the hypocrites do in the synagogue and on the streets, to be honoured by others .
Sonko, ever in somali we have Working Goverment. Dont mension somali as no working govermeny.. Ruto Goverment it falied
😂Somali was just chilling
Peaceful maandamana iendelee 3:34
maandamano lazima coz serekali na raisi wanakiburi
Lakini sonko nakuuliza,,polisi ndyo wanaua ama ni wana nchi,sikuelewi
Ng'ombe kwenda huko mwizi ! Mbona ruto haja kupatia kazi.
Sonko who’s killing people???
acha ukamba mwingi sio wanainchi ndio waizi ziko clip mingi polisi wakiiba
😊
Bas sonk ambia ruto
Hapo kidogo umekosea bw sonko,iko police umeskia amechapwa risasi? means police ndiye wanauwa sivyo,swali,how can you shoot unamed person?zamani,GSU ndiye walikwa wana kabliana na mandamano,Not police,na hakukukwana maafa,
Sonko washable kujificha....police amezuia nani kuuiba?? Sually
I am surprised aliku uzia nyumba Dubai na London ama umenunua project housing watu aina yako belong in an enclave!
Sonko arudi kwa kiti
So many faces of Judas Iscariot.😂😂😂
Sonko mwengine au yu le yule alie leta vita mkmbasa😂😂😂 wakati wakura
He's worried his wealth,the loot he has ....IS TIMELESS!!
Police peaceful apo i lost u
What has Somalia got to do with it😂
Maskini Sonko anatapatapa😢
😂😂😂
Sonko sio maskini. Ile pesa ako nayo mfukoni wewe huwezi kupata hata ukichukua loan.
Do you know that pesa sonko ako nayo inaeza kulisha na familia yenu mzima plus watoto wako na bwanako😂😂😂
Usitoe speech ya kujipendekeza kwa serikali,tunaskia matamshi yako
Aki wewe Sonko
Hata wewe ulikua mwizi sonko
Sonko TV gani ya France ulihangaria magari alichomwa nyumba zimebomorewa I’m not supporting that but it happened in France to. So let people protest peacefully. The only difference French police doesn’t use live bullets they are well trained not like kenya police who are well trained in corruption 😂😂😂
Sonko tunakupenda wakenya yafadhali mwambie ruto awache kiburi kenya sio ya mamake atakufa aiwache vile kibaki moi alikufa
Sonko you already forgot maandamano ya azimio ni peaceful until you and the police and UDA used to burn cars, rob shops and kill kenyans. It is insane kusikia maandamano ya amani.
Sonko unaongea kama wazee wa tatu pamoja
Channel ya wajinga fake vile anaongea ni tofauti na vile mumeadika
Yeah this channel is criticizing government ad should shut down
@@americankidd1871 Problem wanaongea uongo not the first time
Pumbavu zako
Mutembei tv or whatever you are never honest....you lie!
Waacha zako. Who is killing people?
Stupid guy huyu ati France maandamano ya amani???