BIDAAH ZITUUNGANISHE WAISLAMU TUSIGOMBANE KISA MAULID NA KHITMAH, TUUNGANE TUUJENGE UMMAH HUU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 23

  • @ahmadirajabu257
    @ahmadirajabu257 2 місяці тому

    Shukrani sana sheikh mziwanda, malezi ya kifkra waisilamu wamekosa, tusome kitabu cha tarbiyatul islamu

  • @othmaniddikilongokilongo7890
    @othmaniddikilongokilongo7890 2 місяці тому

    Shukran sana Sheikh. Uko sawa kabisa

  • @DivNg27
    @DivNg27 2 місяці тому

    MwenyeziMungu akupe umri mrefu sheikh Mziwanda,nyumba za waqfu watu wanaziuza wanakula pesa wao na familia zao,viwanja pia,l hivyohivyo,na Bakwata wanaongoza katika hilo

  • @DivNg27
    @DivNg27 2 місяці тому

    MashaAllah,ujumbe mzuri saaanaa,

  • @EnthusiasticAtv-gn6pb
    @EnthusiasticAtv-gn6pb 2 місяці тому

    TOKA NIMEANZA KUMSIKILIZA SHEIKH MZIWANDA, HAPA NIMEMUELEWA SANA, NINA MPENDA KWA MSIMAMO HUU NA MUONO HUU

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 2 місяці тому

    Ufahamu nayo rizki ila ufahamu wako ni wakutafta rizki kweli huyu bwana mziwanda anapenda sana ubabaishaji

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 2 місяці тому

    Maneno safi kiujumla lakini kama yale maandamano Kenya kiongozi wa hayo mashauri yuko wapi?Hayupo na kama yupo aanzishe huo mchakato.

  • @EnthusiasticAtv-gn6pb
    @EnthusiasticAtv-gn6pb 2 місяці тому

    LADY FATIMA ORPHANAGE CENTER (LFC)
    Tunapatikana Mjimwema, Njiapanda ya Kimbiji na Kongowe, Kigamboni, Dar es Salaam.
    Watoto wetu wapo Nursery Schools, Std I - 7, Form I - 6, Vyuo vya Kati + Vyuo Vikuu.
    Tupigie:

  • @RashidiMwanongo
    @RashidiMwanongo 2 місяці тому

    kweli mwalim

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 2 місяці тому +1

    Sasa Sheikh Ibn Taimiyyah ana kosa gani? Kwani yeye alikua hai wakati huo ujinga wafanyika unahisi angekubali kama angekuwa hai je huyo swahaba aliyeongeza kitu Mtume Swalallahu alayhi wasallam si amekipitsha wewe ukileta jambo leo analihakiki nani
    ?

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 2 місяці тому

    Sio Kila ngoma unacheza, twendeni kwa mipando. Imamu shafii alitutaka tuwe kama Simba tusiwe kama mbwa.

  • @JabuUssi
    @JabuUssi 2 місяці тому

    Swahaba aliesema rabanawalakalhamdu kasema mtume akiwepo na kaikubali kauli hiyo swali he wakati ibintaimia kaikubali hitma au kosalake lipi

  • @DivNg27
    @DivNg27 2 місяці тому

    Ubinafsi wa Viongozi wa kiislam ndio unafanya Uislam usiwe na maendeleo nchini

  • @JumaSalum-j6b
    @JumaSalum-j6b 2 місяці тому

    Mbona mtume muhammad s a w alitumia sheria hizi zinazotungwa na walevi makahaba mbona hayazungumzwi uislam unakataza kiongozi mwanamke wewe unafurahia jewewe hukusoma

  • @jumanneissa8226
    @jumanneissa8226 2 місяці тому

    Miongoni mwa walinganizi ktk ijinga na upumbuavu na uowongo hili jamaa

  • @MkindiJujan
    @MkindiJujan 2 місяці тому

    Shekh Mtume Rehma na Amani alipokuwepo Bidaa hakuna wala Usufi wala Mauzushi yenu
    Waeleze waislam ya kweli usiwaconfuse kwa maneno mengi yasiyo na dalili
    Hajatoa dalili hata moja porojo tu
    Shekh mnawapoteza waislam nyinyi masufi

  • @mohamedmoledina6403
    @mohamedmoledina6403 2 місяці тому

    Njoo kwa mashia orodha zote zipo na misaada wanayopewa ipo na kaangalie live kama wanasomeshwa nenda shuleni au chuoni ukahakikishe

  • @DivNg27
    @DivNg27 2 місяці тому

    Na hizo shule za kiislam nyingi zimechangiwa na waislam walalahoi,mbaka zimefikia hapo zilipo,lakini ukifika hapo shuleni umepungukiwa Ada,utatolewa maneno hayo na kukataliwa juu

    • @DivNg27
      @DivNg27 2 місяці тому

      Tatzo ni ubinafsi wa Waislam wenyewe

  • @abuhafswin2686
    @abuhafswin2686 2 місяці тому +1

    Hii ni alama ya ujinga kubwa sana
    Hujui
    السنة التقريرية
    Masufi wanajikweza Sana ila niwakawaida sana
    Hakuna hoja hata kidogo katika maneno hayaa zaidi ya kufuata hawaaa
    Za nafsi
    Sijapata faida ya kielimu hata nusu katika clip hii na huyu ni sheykh mkubwaa msemajee wa waislaam huu nimswiba mkubwa sana

    • @DivNg27
      @DivNg27 2 місяці тому

      Wewe ni mjinga zaidi na hujui kama ni mjinga,Yani mwenzako anatetea umoja wa Uislam wewe unabeza,huu ndio upuuzi wenyewe

  • @DivNg27
    @DivNg27 2 місяці тому

    Kwenye Uislam sisi hapa Tanzania, Viongozi wetu ndio shida,ukimuuliza sheikh wa wilaya ana waislam wangapi wasomi katika eneo lake hajui,huyo wa mkoa ndio kabisaa..

  • @mudhihirugara8845
    @mudhihirugara8845 2 місяці тому

    Muhemko nao piya nishida maneno yamumngu nayamtume yabakivirevire tusiwazingishie