Mama mkwe yuko kimya tu😮.Dada Acha kumfuatilia mumeo kila kona ndoa lazima itakushinda tu.Kwenye ndoa lazima uvumilivu na hekima.kila mahali nikufuatiliana tu na maneno mengi mtandaoni siyo sawa.Heshimianeni na kuaminiana tu.Huwezi kamwe kumlinda mtu mzima hasifanye yaliyondani ya tabia yake.
Barnaba hatawezana nahuyu Raya . Barnaba achana nahuyu bidada Hana heshima family yote yake inakuja tu kukuvamiya Barnaba kumbuka tukio la kwanza tulikwambiya achana nahuyu Raya hawukusikiya . Ivi sasa tunasubiri mapovu kutoka kwa mama Kimbo 😀😀😀
Brother, chanel yako naipwnda san… tatizo unapoleta habari za ukuda iliwajinga watoe nyimbo zao… bro bundara achna na udaku tunataka habari zilizotukuka hizi za udaku waachie blog za uchocholoni.
😅😅Kiki zao to...ukitaka kuachna na mmeo uje kumuandikia apa
Maamuzi binafsi😂😂😂😂 unatutangazia uumaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kiki tu kufanya kazi aah 😂 Mbwa nyir tumewachoka
😂😂😂😂😂😂😂
Aya niyale kama ya zuchu tu.
Kwani huko bongo wanamuziki hawatoki mpaka kiki? Yaani inaboa sana kwakweli
Wana visa@@reneemwenda7306
Mama mkwe yuko kimya tu😮.Dada Acha kumfuatilia mumeo kila kona ndoa lazima itakushinda tu.Kwenye ndoa lazima uvumilivu na hekima.kila mahali nikufuatiliana tu na maneno mengi mtandaoni siyo sawa.Heshimianeni na kuaminiana tu.Huwezi kamwe kumlinda mtu mzima hasifanye yaliyondani ya tabia yake.
Kiki zimeanza 😊😊
Teena kikiiiii za pikipiki
Barnaba hatawezana nahuyu Raya . Barnaba achana nahuyu bidada Hana heshima family yote yake inakuja tu kukuvamiya Barnaba kumbuka tukio la kwanza tulikwambiya achana nahuyu Raya hawukusikiya . Ivi sasa tunasubiri mapovu kutoka kwa mama Kimbo 😀😀😀
Kaka sky samahani kama nitakukwaza habari kama hizi ndo unatakiwa kumpaa yule mdada itapendeza ww Baki na majukimu mengine # sns forever.
Nahuyo ni wale wale 😊
Kiki tu hakuna chochote hapo tumeshajua 😂😂😂
Kwahiyo timsaidaiaje shenzi zake😂😂😂
😂😂😂😂 kwani hakujua kama wanaume ni wazembe tuvumilie mwaya😂😂
Kwanza huna uzuri wowote, uachike uolewe na nani na hayo meno yako mmmh
Bora uondoke kama sokwe hufananii kuwa na barnaba
Mmmh
Kabla ya wewe kua nae kumbuka alishakua na wanawake wengne so tembo hawezi acha njia alizowahi kupita wewe siyo wa kwanza kwake
Wasinichoshe kbsaa niko busy na mambo yangu shenziii zenu
kosa alilofanya barnaba kumtambulisha mwanamke wake kazini
Wameanza tena... Ndoa gani kila siku kiki bwana 😅😂 mtu kabadilisha mpaka Dini unamuacha
Sasa tukusaidie nn?Bado mama Kimbo
KIKI tu mbwa nyiee
Sasa kwann msimalizane huko kwenye kuachana ndiyo mje kutuchosha na vibando vyetu vya chai huku😢😢😢😢
😂😂
@@LindaMbilinyi-n3n umeona eeeh
Brother, chanel yako naipwnda san… tatizo unapoleta habari za ukuda iliwajinga watoe nyimbo zao… bro bundara achna na udaku tunataka habari zilizotukuka hizi za udaku waachie blog za uchocholoni.
Kiki mnapenda acheni uongo
Ngoma mpya coming soon
Dulla makabila alisema uyoo jamaa malaya sana
Hata sisi tumechoka kiki watoe iyo nyimbo.
Tumechoka hasa hizi kiki inaboa sana
Hiyo Nyimbo anayotoa Barnaba hatuangalii sijui mnatuchukuliaje kiki za kisen**
Tuliambiwa umefundwa umefundika uwez achika utamuweka sawa mume leo vp tena?
Barnaba anatoa nyimbo soo
Hapo ndio ninapoonaga ushamba wa wasanii... Piganeni matukio kimya kimya watu waje wajue baadae... Kama mnavyorudianaga kimya kimya
Et kwanin msiachane kimya kimya jaman khaa aibu tu wanajitia mitandaon
@MariyimJumanin wanazingua sana
Tuna msubiri mamamkwe 😂😂😂
Hii hasara ya mitandao kw wanawake wa sasa hakuna Tena mambo ya ndan
Nikweli😢
tulishawachoka na izo kiki zenu tafuten njia zingine
Kwani wakati mnaanzana ulituandikia?
Kwani ukiondoka kimya kimya umeshachufuliwa mwili wako unatutangazia nn sasa mshamba ww
Alipopewa tunzo ya umalay na dula alikuj juu😂😂😂😂😂😂😂😂😂hakujua kua wanaume wanajuan vzr huag hwabahatish😂😂😂
Acha uongo
Pengine itakuwa kher kwa Barnaba apumzike na gubu la mke/mkwe 😉🤸🤸♀️🤸♂️
Kiki hiziii barinaba atapotea
Wakitafutana hawasemi ila kuachana lazma iwe matangazo kwanini usiondoke tu yanini kutuhusisha sisi
Maneno haya si mageni..
Kwahiyo wakati wanazini hakuwa mzinifu ila sasa umeolewa ndo umuone mzinifu? Apambane tu hata akitangaza haina maana
kiki jamani
Hizo ni kikiii za pikipikiiii
😂😂😂nacheka kama mazuri
Waendelee tu na hizo kiki watakuja achana kweli 🚮
Kiki izi 😬🙄
Kikiii za pikipikiii
Hii nyimbo inatoka lini?
Tar moja😂😂😂 yakufunga mwaka😂😂
Achen kutochosha nyokoooo nyieee
Hawa nao wasituchoshe bhna
so sad stop cheating on you wife barnaba take care of her
Hahaaaaaaaa nililiona hili linakuja hamnaga ndo ya watuwafupi inayodumu
Usiseme Sana ..Kuna kiki pia ukumbuke 😂😂
Usiseme Sana ..Kuna kiki pia ukumbuke 😂😂
Aaaaaaaaaaa aaaaaa mawiooooo😂😂😂😂😂
Saraaaaaaaaaaaa go to Comoros😂😂😂
@anny19988 😂😂😂 ci ndyo
Mwisho wa mwezi huu hormones zinaongea. Mwanamke wa wangu ana kuwa chizi kabisa ikifika mwisho wa mwezi
Mjinga uyo mama anakwambia nini
huo nae kiki za kijinga ni nyimbo hio si alisema hawezi achika eti wanajuana wanaume hawa😅😅😅😅😅😅😅
Kwahio ile habari ya mtu kufungwa kwa kumuita mtu mchawi umeona haina maana bora huu upuuzi sio. Hongera unsubscribing
😂😂😂
New song coming soon 😂😂💀💀💀
Kiki za kijinga tu 😂😂
Barnaba umeyataka mwenyew kuoa upande wa pili
Ukimaanisha ameoa mwanaume mwenziwe? Au ndo ameoa Muslim,au upande wa pili NI upi
Makabila alisema yote
Kuhusu nn jamani tujuzane wengine hatujui
Akamuona mbaya Leo kimemlamba
@@zainabwage4658
Dula ndio alisema barnaba ni muhuni ila Raya hakusikiliza?
Ngoma mpya ya Barnaba inakuja, kiki za kijinga
Yeah tungoje Ngoma tuenjoy bas