INSHALLAH TUTAOWANA-ABDALLAH ISSA
Вставка
- Опубліковано 19 вер 2024
- #Inshallahtutaowana
#abdallahissa
#siku hiyo
#mombasa
#viral
#taarab
#oldisgold
#swahili
#swahilimusic
#swahilitotheworld
#zanzibar
#mwambao
#zanzibarculture
#zanzibarorchestra
#omanmusic
#oman
Znbr y zamani ipo kwenye hisia za waznzbrt
Mashaallah
Ikiwa mola ameyaandika tutaowanaaa kama alivyotukumbanishaa tukajuanaaaaaaaa
leo tarehe 25.12.2022 nimebakisha siku tano nifunge ndoa 30.12.2022 nikiendela kujipa matumaini na huu wimbo, Insha Allah Tutaowana akipenda Rahmani
mungu akufanyie wepesi.
Mabrook bro, tupe updates. Leo siku ya ndoa
Allah akusahilishie
Mashaallah mashaallah mashaallah Allah akufanyie wepes kwenye ndoa yako ❤🎉
@@arafajuma4128 Amin Insha Allah,nashkuru imefanyika vyema Ahamdulillah shukran kwa Dua zako
@@ismailsalim8853 hongera sana bro
Inshallah tutaoana
Bringing back lots of memories wallahi in 2022
2021❤
Masha Allah
Inshaallah tutaoana 😍
Nimeusikiliza nikiwa mbali na kipenzi changu kwa uwezo wa MUNGU leo tupo pamoja
Zanzbr yetu jaman❤
Inshallah amena iwe ivyo kwa kipenzi changu 🥰😋
inshaallah special kwa kipenz cha moyo wangu
In Sha Allah tutaonana kwa uwezo wake rauf 🙏
Inanikumbusha harusi yangu
Tar 22/2/2024 in sha allAh tutaoana bi idhin allah
Natumai harusi ilikuwa nzr.
leo nipo mbali inshaallah nikiludi salama nitaolewa na na kipenz changu❤
Mashaallah
anajua
daa hakika kwakweli mapenzi yalikuwepo na ndoa zilidumu kwasasa tukowapi
naipnd wallah
Naipenda sana
imedumu
Inshaallah
Kweli kabisaaa
🌷🌷🌷🙏
Respect song
Mume Wang njoo
Nakuja habibty
Maasha Allah
Inshallah tutaoanaa