PART1:BINTI MCHAWI ALIETIKISA AFRICA/ALIJIGEUZA AKAWA SEHEMU ZA SIRI/YULE MZEE ALIGANDA HEWANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 173

  • @shammybeybe1825
    @shammybeybe1825 4 роки тому +20

    Hahaha Davista ulivyosikia uume unaelea umecheka Mimi huku mbavu Sina daah 😂😂😂😂

  • @estasage5506
    @estasage5506 4 роки тому +6

    I like the fact that davistar you are professional, you know the questions that needs to be asked

  • @mariammariam1473
    @mariammariam1473 4 роки тому +3

    Tumuokope mungu jamani daaaah kutoka Burundi 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 tujuwane

  • @salumsamesame1741
    @salumsamesame1741 4 роки тому +3

    Mtu Makini unapenda vitu deepest ✌️😁. Pamoja kaka

  • @Dutchez
    @Dutchez 4 роки тому +6

    Eeh dunia simama nishuke ulimwengu na walimwengu jamani dunia ina vituko tuliyo yajua nimadogo kunao wanayo yajua makubwa Allah warejeshe kwa ulimwengu wa haki na mwangaza

  • @goodgood9370
    @goodgood9370 4 роки тому +2

    Davister kakangu ..uko kazi kweli lakini na wee usisahau kua unaomba mara kwa mara wajua wachawi wengi pia wanaangalia kipindi chako na huezi jua malengo yao ..wanawzwa.chukia vile watu wanatoa siri zao..plz jua kufunga sana na kuomba

  • @mwambakakudji6288
    @mwambakakudji6288 4 роки тому +1

    Davidstar...Tafadhali naomba kuongea na uyu bintu. Anaongea vizuri saaana. Unipe jibu rafiki yangu.

  • @agrihousehouse5831
    @agrihousehouse5831 4 роки тому

    Jamani wapendwa mm nimeshindwa kuvumilia plz naomba nitowe ya moyoni nampenda sanaa sanaaa Davistar anae weza kumwambia plz anisaidie

  • @ibrahimrukundo3064
    @ibrahimrukundo3064 4 роки тому +14

    🤔🤔🤔 nivyema kumcha MWENYEZIMUNG.

  • @salumbunga240
    @salumbunga240 4 роки тому +1

    Davistar kijan wako hpa mtu mwenyew utu wng respect 👊

  • @abdulhalimhumud1917
    @abdulhalimhumud1917 4 роки тому +1

    😂😂😂😂 Mr Facts uneshindwa kujizuia Naona umekutana na Vitu vya ajabu Dunia ina mengi Hii Mungu atulinde Kwa nguvu Zake amen 🙏

  • @hafsamansoor3977
    @hafsamansoor3977 4 роки тому +1

    Duh namsifu mwandishi hongera kwa kupekenyua

  • @karimkalama7608
    @karimkalama7608 4 роки тому

    Uko vzr big up, ushauli kdg mwambie fundi mitambo upepo ktk clip nyingine zinatuumiza maskio.

  • @stevenrichard189
    @stevenrichard189 Рік тому +1

    Mungu amsaidie sana mjawa wake

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 3 роки тому +1

    Kuna maisha watu wanayaishi ukiyalkisia ni kama unaota.ni zaidi ya maajabu.

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 4 роки тому +2

    Mungu wangu doo Tunusuru na ya dunia Aisseh

  • @romanusmapunda4057
    @romanusmapunda4057 4 роки тому +2

    Hey Kaka I hope asubuh utaendelea na hii stor tunaweka notification on maana ni noma

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 роки тому +5

    Uuume unadunda dunda kama kitenesi aisee hii xtory Nmecheka xana kumbe wachaw nao wana kikao cha SADEC

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 роки тому

    Asante kwa story mpya wacha tujifunze kitu hapa

  • @najmamohmad6348
    @najmamohmad6348 4 роки тому

    Subhannallah ulipata uraisi duh mwashindana na mungu

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 4 роки тому +1

    Davista umecheka ukishangaa vitu vinadundadunda angani..hata mimi nimejipata nakodoa macho

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 4 роки тому +2

    Khaaaa makubwa ya dunia , devister kuwa makini maana .mnatoa siri za wachawi

  • @allykutenga2862
    @allykutenga2862 4 роки тому +3

    Makubwaaa!!
    Jamani QIYAMA kuna kaziiii kwe2 cc wanaadamu yaani ucku kumbe 2kilala huku kuna waja ndo wanajifanya wao ndo waungu wa2uu!!!!!!..

  • @amirimbago8325
    @amirimbago8325 4 роки тому +1

    hahahahaaa...Davistar kavumiliaa mwisho kacheka @12:55

  • @mashamramba3461
    @mashamramba3461 4 роки тому

    Hii kalii . Amekuwa na ume kama wotee

  • @tatumkumba2274
    @tatumkumba2274 4 роки тому

    Mtihani kwa kweli duniani kuna mambo dooh wachawi hawa wanatutesa sana

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 4 роки тому +2

    Just landed here 🇰🇪 🇰🇪

  • @lizzydaniel1513
    @lizzydaniel1513 4 роки тому

    Mungu akubariki 🙏🙏

  • @aishah3186
    @aishah3186 4 роки тому +14

    Juma 17 UTUPE MREJESHO

  • @bittebenard43
    @bittebenard43 4 роки тому

    😲😲😲🙌🙌 wachawi na mufeeee

  • @gerishownraphael1059
    @gerishownraphael1059 4 роки тому

    Brother unafanya kanz nzuli sna kututafutia matokeo kama haya yakweli katika jami natunajifunza sna kupitia habali hiv kupitia kwako shukuran sna

  • @mwanalimagamunda997
    @mwanalimagamunda997 4 роки тому +1

    Ati ulienda na viberiti?,🤣🤣🤣🤣🤣,Davista leo kapatikana paka uso kaubadisha,Chezea wachawi ww🤣🤣

  • @zunirasalim7660
    @zunirasalim7660 4 роки тому

    Hahahahaa davister ety ulienda na viberiti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @asiakilea2590
    @asiakilea2590 4 роки тому

    Mmh mtihani mungu atunusuru

  • @annapeter4994
    @annapeter4994 4 роки тому

    Mungu tu amtume huyo mwanae mara ya pili maana watu wanaumizwa sana na WACHAWI! Wanasiasa na wezi

  • @annapeter4994
    @annapeter4994 4 роки тому +1

    Tanzania hadi ijikomboe toka hili janga la uchawi, itachukua muda jamani😭😭😭

  • @SamsungA-su2qj
    @SamsungA-su2qj 4 роки тому

    🤣🤣🤣🤣 kwa hiyo Naniliu zilikuwa zinaelea duh mie ningecheka mpk haja zikanitoka

  • @nginamugwe8093
    @nginamugwe8093 4 роки тому

    😀😀😀😀😀wachawi mlirogwa na nani jameni mtu anakua uume tupu 🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 роки тому +5

    Mhh jamani hadi naogopa kuja kuliwa na wachawi ,hivi nyie wachawi mnashindana na Mungu kweli jamani,hivi wanavyofanya uchawi wanajijua?

  • @mwatimeabdallah7945
    @mwatimeabdallah7945 4 роки тому +1

    Davista nakuona Kama una chunusi kubwa kwenye paji la uso linang'aa sana

  • @titinmbega4128
    @titinmbega4128 4 роки тому

    Mnakesha youtube jamani?????1mint six coments waah😁🤔Davii wape zawadi👏🏻👏🏻🌹

  • @kareemalamoody6345
    @kareemalamoody6345 4 роки тому

    Jamani mbona uchawi mwingi Tanzania

  • @violinenyakara5028
    @violinenyakara5028 4 роки тому +1

    Wa kwanza
    Part 2,hii kali sana 🤣🤣🤣🤣

  • @fatmamustapha6929
    @fatmamustapha6929 4 роки тому

    Hii mait au mwili wa marehem kupanda juu ya kaburi nakumbuka story ya yule mtt hawa michezo yao bhna

  • @jhayparism1152
    @jhayparism1152 4 роки тому +1

    Dada alikuwa kiboko duh!! 🤣🤣🤣

  • @nancychissamo379
    @nancychissamo379 4 роки тому

    🤣🤣🤣duh uume una dunda dunda walah jmn hawa viumbe kha,hii kali ya mwaka aseee.

  • @naomiakoth2958
    @naomiakoth2958 4 роки тому

    🤣😂😂😂😂😂😂😂 hapo umecheka sana

  • @wag1fam958
    @wag1fam958 4 роки тому

    Na lugha wananyozungumza ni ipi wakifika huko naija ☺

  • @jonassilvester4325
    @jonassilvester4325 4 роки тому

    Davistar ee Nitumie hiyo picha Ya huyo dada nimuone

  • @violinenyakara5028
    @violinenyakara5028 4 роки тому +1

    Wa kwanza

  • @kareemalamoody6345
    @kareemalamoody6345 4 роки тому

    Nabii Musa aliwashinda wachawi kwa miujiza ya Allah

  • @aminaismail4221
    @aminaismail4221 4 роки тому

    Davista leo umepatikana hadi sura imebadilika

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677 4 роки тому

    Duuuh hii kar davista mata ww cheka brooo hahah part 2

  • @annapeter4994
    @annapeter4994 4 роки тому

    We kaka mbona inakatisha story. Mwache aeleze kwanini aliamua kuacha

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 4 роки тому

    Makubwa heeeeee😳🤭🤭🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️

  • @princesssway1396
    @princesssway1396 4 роки тому

    Davista sio mambo ya Giza kidogo sema alikua mchawi kkk

  • @OmarMohamed-cb1tu
    @OmarMohamed-cb1tu 4 роки тому

    Jitupu hewani duh Dunia ina mambo inabid tu siamin watu nam Kuna dem kanita bongo balaa..

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 4 роки тому +2

    TZ ya viwanda sijui kama itafanikiwa.Yaani watu fastaaa wamewahi duuu!Nilizani mi wa kwanza?

  • @mwashumcubwa1928
    @mwashumcubwa1928 4 роки тому

    Jomoni umeshindwa kujiziwa mm mwenyew mbavu zimetak kunikauk eti unaelea 🤣🤣😂wachawi yani ndo malofa wakwanza 😂🤔

  • @mwatimeabdallah7945
    @mwatimeabdallah7945 4 роки тому +1

    Mi sijui wa ngapi

  • @hellenmanzi4740
    @hellenmanzi4740 4 роки тому +2

    Hajaacha bado kuweni makini wote mnaocomment😀😀

  • @bettyowiti397
    @bettyowiti397 4 роки тому +1

    Mpaka naogopa..waah ..walimwengu

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 роки тому

    Hahahaaaa mtu anawaxha moto af anaujampia unazima aaah davx uwe makini hahaaaa

  • @maynalwaleed4324
    @maynalwaleed4324 4 роки тому

    Hehee munakula maiti😂 hio maitii ikiwa ina corona sii mutashikwa na nyinyi hio virus😆😆

  • @aishasaid5702
    @aishasaid5702 4 роки тому

    Nacheka kama mazuri yaani nakuhisi mtangazaji kama unataka kusita aiseee

  • @osmannchimwanga5072
    @osmannchimwanga5072 4 роки тому

    Davistar naomba atufahamishe huko wanakoenda nje kuna wachawi wanatoka nchi mbalimbali mawasiliano yanakuwa kwa lugha ipi? Sababu kila nchi ina lugha yake.

  • @hamadshein498
    @hamadshein498 4 роки тому +1

    1 Time

  • @zeynabomar7151
    @zeynabomar7151 4 роки тому

    Davistar mpka umecheka aaaaahaaa

  • @maryamoman1370
    @maryamoman1370 4 роки тому

    Hii sauti kama yule dada aliyekuwa anahojiwa akiwa na miwan ila sijui

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 роки тому

    Shukatukuone mungu wetu😪😪😪😪

  • @pamelauwera3830
    @pamelauwera3830 4 роки тому +1

    Jamani hamna kazi za kufanya??????????????najitaidi kuwa hata top 10 ila nashindwa

  • @irenewilly1110
    @irenewilly1110 4 роки тому

    Duh nmecheka sana

  • @shamilaathuman3669
    @shamilaathuman3669 4 роки тому

    Davistar mrejesho wa juma

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 3 роки тому

    kwa hiyo TZ mabibi ni wachawi mno??

  • @abdularuffin9308
    @abdularuffin9308 4 роки тому

    Kweli wachawi hawana akili unaweza kula wazazi wako na unaona uko sahihi kweli wachawi hawajitambui

  • @salehfarid1003
    @salehfarid1003 4 роки тому

    Anataka kufirwar tu huyu ... kauzima moto kwa makalio inamaanisha anawashwa kikunduz

  • @griezmannmhalaka4338
    @griezmannmhalaka4338 4 роки тому

    Mara nyingi wadada Wana chunvi sana

  • @eshalibaba1195
    @eshalibaba1195 4 роки тому +1

    Wachawii ukiwaona äta uwazanii

  • @khamisfaki2902
    @khamisfaki2902 4 роки тому

    Anatisha sana balaaa

  • @abdullmalik7847
    @abdullmalik7847 4 роки тому

    Part 2 please 254

  • @eshalibaba1195
    @eshalibaba1195 4 роки тому

    Leo nimekua Team kuwai wa 11

  • @fadhiliswalehe9286
    @fadhiliswalehe9286 4 роки тому

    Geita kwa uchawi hatar na bariad

  • @happyoshea
    @happyoshea 4 роки тому +1

    😂😂 Yaani .

  • @kalssambaboo9705
    @kalssambaboo9705 4 роки тому

    Mungu awaraan wachawi wote dadeki zako ww

  • @leylahloo5863
    @leylahloo5863 4 роки тому

    🙄🙄🙄🙄weeeh hapana eee mungu

  • @mwanalimagamunda997
    @mwanalimagamunda997 4 роки тому +1

    Nani amecheka kama mm na kuirudia mara tano seemu ya jinsia kudundadunda🤣

  • @khadijajuma7873
    @khadijajuma7873 2 роки тому

    Tutanusurika kweli. 🤔

  • @nyingos
    @nyingos 2 роки тому

    Huyo alikuwa mchawi wa daraja la chini.

  • @navorossy720
    @navorossy720 4 роки тому

    Umenchkesha kumuuliza ulienda n vibiriti

  • @hildaernest1090
    @hildaernest1090 4 роки тому

    Davista umecheka balaaa

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 4 роки тому

    Subhanallah

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 4 роки тому

    Sasa hao wanaigeria na wamalawi.waghana. alikuwa anazungumza nao kwa lugha gani wakati hakusoma.

  • @estamapenzi4274
    @estamapenzi4274 4 роки тому

    Mungu wangu 😂😃

  • @philipmbaabu6169
    @philipmbaabu6169 Рік тому

    Ungo haswa ni nini??

  • @kareemalamoody6345
    @kareemalamoody6345 4 роки тому

    Na kwanini serikali wasi ifanye illegal

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 роки тому

    Mm ninavyosikia kupanda cheo huko mpaka uwe chinja chinja, nyonga nyonga na ua ua huyo Dada naonekana alikuwa katili sana Kwenye uchaw ndo maana akapanda cheo tena davix uwe makini anaweza akakufinyanga huku umekaa nae hapo unaxhangaa unajampa jampa ovyo kumbe yeye kabonyeza batani on, hahahaaaaaa

    • @hadija846
      @hadija846 4 роки тому

      Haahaaaahaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣nyonganyonga, chinjachinja na uwauwa Haahaaaahaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому

    Duu tena tena unasema hiyo kazi uliipenda kaxi gani hiyo yakula nyama zabinadamu kama sio laana hiyo

  • @bintimrope
    @bintimrope 4 роки тому

    Iviii huwaogopii watu kama hao. Na hauotagi usiku

  • @mwanalimagamunda997
    @mwanalimagamunda997 4 роки тому

    Mumenishinda Tabia,sijui hamshulikii ndoa zenu ama vp,yani dakika tisa na comment pia ni tisa, Ama Davista ulituendea kwa babu?,mana npaka nashangaa

  • @mathiascharles471
    @mathiascharles471 4 роки тому +2

    Hii nayo kali