Mrisho Mpoto (mjomba) ampongeza kilimohalisi kwa kazi nzuri ya kuzalisha miche

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Karibu @@kilimohalisi endelea kuongeza maarifa ya kilimo kupitia ukurasa huu waalike uwapendao pia,,,
    Drip.kit ya tuta moja ni 15000 mita 10 ni line mbili tuta litachukua miche 134 ya mboga za majani utapanda mboga line nne ,,,,tupe oder Yako sasa kesho upokee mzigo
    Tunapenda kutoa taarifa za maendeleo ya bustani tulizo zianzisha Ili watu wengi wajifunze kwa kuona kuwa hakuna kisichowezekana ..
    Hapa ni Tanzania Moshi kilmanjaro wiliya ya Hai tunabustani yetu hii lakini Miche utatumwa mkoa wowote uliopo itakufikia
    Bei zetu za Miche ni hizi
    Mboga 50
    Nyanya 100
    Hoho 100
    Bilinganganya 100
    Ngogwe 100
    Pili pili mwendokasi 150
    Papai 2500
    Passion 2000
    Herbs ni 5000
    Rosemery,, lavender,, thyme,, majoram,,baby spinach,,, Organo,, tarragon,, fenel,,, dill,,, lemon bulm,,,
    Mfumo wa umwagiliaji drip kit ni 15000 mita 10
    Whatsapp number 0652553944
    Unaweza kupiga simu hizi pia
    0672568516
    0684153567
    0748664886
    Tupo Bomang'ombe Kilimanjaro wilaya ya Hai lakin mkoa wowote tunatuma mizigo

КОМЕНТАРІ •