Thanks radio biu for such awesome litany I don't have a chance for all saints liturgy working in Somalia and I have recited litany with all my heart glory be to God .
Mwenyezi mungu yeye aliyewapa neema ya kumtumikia basi nasi tunawaombea mapadre wetu wapya Hawa utumishi uliotukuka wa kuliishi neno la Mungu baba Mwenyezi

Mungu aliyewaita kuwatumikia watu wake, awaongoze katika wito huo .Amina
Mungu awaongoze katika kazi yao ya utume
Mungu awatangulie katika utume wenu.
Nawakumbuka sana jamani hasa kusali nyumbani kwangu❤
Mungu awaongoze