RAYZAKO 6g NA DJ ZAKOTA MAWE KWENYE SHEREHE ZA MWENGE 2024 TURIANI MVOMERO, MIDUNDO YA USWAZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 49

  • @dignakisseye7514
    @dignakisseye7514 23 дні тому

    Umetishaa broo

  • @SaidiAli-w6m
    @SaidiAli-w6m 9 днів тому

    Usione rahaaaaaaaaa

  • @mgalulajanuary2387
    @mgalulajanuary2387 27 днів тому

    Anazingua py nyingi sana

  • @ZachariatzChrixtanduxy
    @ZachariatzChrixtanduxy 3 місяці тому +4

    Jay combat

  • @PatrickJacob-p8f
    @PatrickJacob-p8f 11 днів тому

    Rayzako unaatari🎉🎉

  • @Zabl0nx17
    @Zabl0nx17 5 місяців тому +2

    Rayzako yupo vizuri Lakn kwa upand wang anachoferi hatoi colabo na wasnii wa nje ya Moro Yan dare salaam

    • @officialallan3398
      @officialallan3398 5 місяців тому

      AtaAcha tu uoga

    • @Zabl0nx17
      @Zabl0nx17 5 місяців тому +2

      Cio uoga wanaxema rayzako anajickia xana hataki kujishusha Sasa yy anataka msanii Kama mczo aje kumuomba kurabo yy wakati yy ndo anatakiwa atoke ili jina likue na mzk wa Moro kwetu ukue

  • @KhamisMsambala
    @KhamisMsambala 5 місяців тому +2

    Msani bol hp mor moja tuuu jay combat mtu fund sana na anajua muangalie sana combat,kutunga anajua na nzur,na ujuzi wa kuza nyimb anao tuuuuh,jay ndio msani bol morogoro

    • @Zabl0nx17
      @Zabl0nx17 5 місяців тому

      Bloo wasanii Moro wapo weng na wlikuepo weng combat n mmoja wapo wanaoujua mzk huu tatizo la wasanii weng w Moro wasingeli Yan hawawez kujibrand muda wote wapo na masela ndo maana hata kweny show hao hao wauni wao wanatak kuingia Bure xx utaendeleaje

    • @RemiMassawe
      @RemiMassawe 22 дні тому

      Namimi naona watafute watu

  • @ZainabuNgalanga
    @ZainabuNgalanga 20 днів тому

    Rayzako apewe mauwa yakeeee❤

  • @JoyceAdrof
    @JoyceAdrof Місяць тому

    Yupo juu

  • @AzizaKhamis-n8l
    @AzizaKhamis-n8l 2 місяці тому

    unajua kakaaa❤❤❤❤❤

  • @MwanahamisiSaidi-p2d
    @MwanahamisiSaidi-p2d 18 днів тому

    Hi yamoto😮😮

  • @linusmadinda4871
    @linusmadinda4871 4 місяці тому +1

    Kaliiii

  • @KarimAlfan
    @KarimAlfan 5 місяців тому +4

    Sijajuwa shida iko wapi kwa wasanii wa singeli morogoro maana nyimbo zao kari sana kuliko za wasanii wa daar

    • @jinomojamedia
      @jinomojamedia  5 місяців тому

      Balaa

    • @jinomojamedia
      @jinomojamedia  5 місяців тому

      Balaa

    • @Zabl0nx17
      @Zabl0nx17 5 місяців тому +1

      Shida kujibrand wanapenda kukaa Sana na wauni wao tagi zao mbaka wanazoeleka kweny show wauni wanataka kuingia Bure huyu rayzako mwanangu nitoe elaa kwahy support inakua ndogo kutoka kwa mashabiki wao

    • @mptheswagz5399
      @mptheswagz5399 2 місяці тому

      Iyo imekaa xw xn yn ndg yng​@@Zabl0nx17

  • @HamisiAbdallah-bm1py
    @HamisiAbdallah-bm1py 2 місяці тому

    Kwa kweri wanajitaidi sana wanajuwa kuimba

  • @RajabuNyono
    @RajabuNyono 2 місяці тому

    Anajua

  • @zachaamaster5378
    @zachaamaster5378 23 дні тому

    #humu akuna msanii ni makande to alfu mijitu inasema anajua kama mnapigwa miti

  • @MathewMtunda
    @MathewMtunda 2 місяці тому

    Fundi anajua

  • @officialallan3398
    @officialallan3398 5 місяців тому

    Og Brand

    • @Zabl0nx17
      @Zabl0nx17 5 місяців тому

      Brand gani aombe kolabo atoke Moro atangaze jina

  • @emmatz1676
    @emmatz1676 Місяць тому

    Kusema kweli jamaa wa moyo kanikosha

  • @HabibuKidodi
    @HabibuKidodi 4 місяці тому

    Dogo anajua kucheza na jukwaa Ila dullayo top

  • @djrichsingelifreva8245
    @djrichsingelifreva8245 5 місяців тому +7

    Sapoti ndogo ila kwa sasa Moro Amna Msanii kama Rayzako kwenye kufanya Show live kama unakubaliana nami like najua wasanii wapo wengi sana moro na wapo kibao binafsi nawakubali wote

  • @MustineIddy
    @MustineIddy 4 місяці тому +1

    Moro ya vipaji

  • @bwakilafranko
    @bwakilafranko 7 днів тому

    achaneni nayo iyo

  • @ChidyKilaka
    @ChidyKilaka 2 місяці тому

    Badoo poa sema my 1:33 1:34 opinion layzak jitahd sana kuimb sengel laza utakuw m2 mkubwa mbelen

  • @abuzokhan
    @abuzokhan Місяць тому

    Uyu Dj Hanoqi😂

  • @ramadhaniharidi1682
    @ramadhaniharidi1682 5 місяців тому

    umekanyaga knm mwanangu ndo unavyotakiwa wanamorogoro kufanya hivi,makabila jina tu..Masheeli Masheeli Ryzako

  • @michaelmweta9055
    @michaelmweta9055 20 днів тому

    Sasa siumbe unapiga kelele tu

  • @MozzeMapenemo
    @MozzeMapenemo 4 місяці тому

    6g

  • @machinesintanzaniatv3909
    @machinesintanzaniatv3909 5 місяців тому

    Yaan hapo unakuta had wasanii wakubwa wanashaanga huyu wa wapi mbona mkaliii hivi🫡🫡🫡🫡

  • @usdizzo
    @usdizzo 5 місяців тому

    🎉

  • @TonnyMaster
    @TonnyMaster 5 місяців тому

    MSANII KAPOA SANA HAJITUMI KABOA😢😢😢 KUPOTEZA NAFASI KUBWA KAMA HIYO

  • @SHARIFAWAMBANGULU
    @SHARIFAWAMBANGULU 5 місяців тому

    😂😂😂

  • @FadhiliFaza
    @FadhiliFaza 4 місяці тому

    uyu atambe uko kwao kuimba bado akija Dsm ataumizwa jukwaani sifa nyingi kuimba ajuiii maneno mengi 🖕

  • @saidimsimange
    @saidimsimange 5 місяців тому

    6g

  • @saidimsimange
    @saidimsimange 5 місяців тому

    6g