asalam alaikum, shehe wangu Allah akuhifadhi, kunakitu umekosea kidogo, kufunga mikono sio kufunga swala, ndio maana kuna dua baada ya kufunga mikono inayoitwa "DUAAUL--ISTIFTAHI" bali ukimaliza kutoa salamu mwisho kabisa, hapo ndio umefunga sala
na je mm nko kwa madhhabu ya shafi na pia nkaenda p ahali nkapambana na imam ambaye madhhabu ya hanafi na anaswalisha witri tuseme je nkimfuata itakuwa sawa

😁hiyo itakua kufungua sala
Ama othman sindoivo,hata mm hivo ndivo nnavojua kua kufunga mikono ama ucfunge lkn ile allahuakbar ni kufungua sala
mashaalah
uko vizuri ongeza juhudi.
Allah mjaze kila la khery shekh wetu amen
na tuseme yy anaswalisha takes nan salam na mm raka mbili salam he naeza kumfwata
JazzakhaAllah kheir!!!!