RASMI SASA ZANZIBAR MAPUMZIKO MWAKA MPYA KIISLAM | WANANCHI WAMPONGEZA RAIS

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • Zanzibar itasherehekea maadhimisho ya Mwaka mpya wa Kiislam na mapumziko kwa mara ya kwanza 1445-2023 na kutambulika kiserikali kwa Kalenda hio ya Kiislam.
    Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar ikishirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar chini ya Rais wake Mh Dk Hussein Mwinyi imetangaza kuwa Mwaka mpya wa Kiislam 1445-H sawa na 2023 ni mapumziko Zanzibar.
    Ofisi ya Mufti ilipeleka maombi kwa Mh Rais kuwa kuwe na siku ya mapumziko ya Mwaka Mpya kwa Zanzibar kama ilivyo mwaka mpya wa Milaadia tarehe ya Kizungu.
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / miladu_tv
    FACEBOOK: / babdeo miladu/
    TIKTOK: www.tiktok.com...
    UA-cam: / @babdeomiladu

КОМЕНТАРІ • 4

  • @thamraabdul3740
    @thamraabdul3740 Рік тому +1

    Mashallah kipenzi Chetu Raisi wetu Hussein mwinyi Allah amjaalie umri mtefu❤

  • @khamisomar1130
    @khamisomar1130 Рік тому +1

    mashaallah zanzbr nisehem sahihi ya kuish mwsilam taratbu zote za kislam zinafatwa allah wajaze kher viongoz

  • @jumasoudy3558
    @jumasoudy3558 Рік тому

    ماشاء الله تبارك الله

  • @modricseif1018
    @modricseif1018 Рік тому

    MashaAllah