Zuhura Yunus na maisha ya mwanamke mwanamapinduzi Biubwa Amour Zahor

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

КОМЕНТАРІ • 10

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman5935 2 роки тому

    Page 84 issue ya kuchomekea bila ya kutoea maelezo ya yakinifu naona hapo ndio tunakwama

  • @barakashamte3273
    @barakashamte3273 2 роки тому

    Huyo HANA UHUSIANO NA MAPINDUZI YA KANUARI,12 ,1964 KWA YEYE ALIKUWA MWANACHAMA CHA UMMA PARTY CHA ABRAHMAN BABU WAKATI KAMATI YA WAJUMBE 14 WA MAPINDUZI YA 12 JANUARI,1964 YA CHAMA CHA AFRO-SHIRAZI PARTY CHINI YA MWENYEKITI MZEE ABEID AMANI KARUME

  • @staralive9260
    @staralive9260 2 роки тому +1

    Anatafuta Kiki kwa Mama huyo hana lolote huyo Zuhura! Eti Zanzibar!!

    • @mohdahmed5389
      @mohdahmed5389 2 роки тому +4

      Acha kuungulika ,chuki binafsi hazikufikishi mahali,kwani zanzibar sio sehemu?au ulitaka afanye wapi?waafrika badilikeni ,choyo tuu,mwenzenu akijiongeza munaumia,si uandike na wewe chako halafu ukazinduwe huko kijijini kwenu

    • @albaharyhaji8231
      @albaharyhaji8231 2 роки тому +4

      Sifa kubwa ya maskini kwanza ni roho mbaya pili choyo tatu chuki nne uchawi na husda..

    • @ip_header
      @ip_header 2 роки тому +4

      Nawewe tunga kitabu chako ili upate kiki, acha roho mbaya brother

    • @junaytadarwesh4708
      @junaytadarwesh4708 2 роки тому +3

      Duh! Kuna watu wa roho mbaya wengi duniani, kila familia anatokea mtu wa aina hiyo, hata kwetu wapo. Jiongeze wewe kaka na wewe uandike basi tusome kipaji chako. Roho mbaya ni maradhi ya moyo uliojaa hasada na choyo, jitibu upone hayo maradhi kama itawezekana.

    • @rahmasaleh1984
      @rahmasaleh1984 2 роки тому +2

      Mwafrika ni mtu wa ajabu hapendi maendeleo ya mwafrika mwenzake,wivu unakutatiza kaka kajitibu kabla ya kuchizika

  • @wazomyakinifu2301
    @wazomyakinifu2301 2 роки тому

    Kazi nzuri sana dada Zuhura!! Jaribu kuandika nakala nyingine pia ktk Kiingereza. Tunaomba uiweke pia huko Amazon. Asante dada yetu

  • @maryamsimai6263
    @maryamsimai6263 2 роки тому

    mashaallah barakaallah