Mitumba kama yote

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @bennydugga9506
    @bennydugga9506 6 років тому +16

    Hahahahah hakika Joti ni mmoja kati ya viumbe wachache sana waliobaki dunian

  • @emmanuellubadisha3170
    @emmanuellubadisha3170 6 років тому +27

    Nguo yamzungu inafaa Kwa mbongooo ila ikitoka Kwa mbongoo Tambararadeki Kama umeielewa iyo gonga like twende sawa from 🇹🇿

  • @darryllowd3996
    @darryllowd3996 6 років тому +14

    Joti: lete suruali
    Wanunuzi: hii apa walaa ata atugombani
    Joti: nisije nikawapiga na bakola la mdomo
    😁😁😂😂😂😂😂
    Mzee saf sana

  • @zubeydashosy1236
    @zubeydashosy1236 6 років тому +3

    Jot nkupend sana wallah mungu akupe umri mrefu uzid kututoa tress👌👌💖

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi9722 6 років тому +151

    Ivi jamani hizi like mnazipelekaga wapi😂😂kila mtu anaomba like c mpi ata mmja bora ni mpe joti ananiondolea stress😂😂

    • @muktartz7314
      @muktartz7314 6 років тому +3

      Asia Zuberi itakuwa like Wana convent zinageuka MB kila mtu like like like😎

    • @habibumohamed4317
      @habibumohamed4317 6 років тому

      Hahaha

    • @amnemkubwa7353
      @amnemkubwa7353 6 років тому

      @@muktartz7314 😃😃😂😂😀😀

    • @monilahcruz7293
      @monilahcruz7293 6 років тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣😄😄😄😄😄

    • @einsteinmboje4730
      @einsteinmboje4730 6 років тому +1

      Asia Zuberi yaaan Nashukuru Umeongea Kwa Niaba Leo... 😀😀😀😀😀😀😀😀.... Yaaan Ushamba Utawaua Watu

  • @manyaramrema6531
    @manyaramrema6531 6 років тому +31

    Joti ni motooooooo.....nipeni like zenu kama unaona moto wa Joti hauzimi.....

  • @thelastking5180
    @thelastking5180 4 роки тому +2

    Mtumbaa huo mtumbaa huo kavaa mzungu bado mswahilii🤣🤣😂😂🙌

  • @amalcsalim-uu7hk
    @amalcsalim-uu7hk 6 років тому +46

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka mpaka meno yakaanguka chini kifala

  • @salimjuma9815
    @salimjuma9815 6 років тому +69

    Wako wapi wenzangu wanaompenda joti naomba like zao hapa

  • @ASUUSAL
    @ASUUSAL 6 років тому

    ..Mtumba uo! mtumba uo! mtumba uo!..#watching from China

  • @johngasto7751
    @johngasto7751 6 років тому +58

    Nisaidieni kulike bas wadau namimi nijidai

    • @habibumohamed4317
      @habibumohamed4317 6 років тому +1

      Hahaha

    • @frankchilumba265
      @frankchilumba265 6 років тому +1

      John Gasto tupo pamoja mudau

    • @onlinetzmedia
      @onlinetzmedia 6 років тому

      Can you please subscribe to my channel, I work hard for it everyday ua-cam.com/channels/TZs15hG3gPgk0J7u4NgPhg.html

  • @victorsir-nga7708
    @victorsir-nga7708 6 років тому +10

    eti unashangaa matundu kwenye nguo akati mpk kwenye mwili yapo😂😂😂

  • @yonarashidimbwambo2299
    @yonarashidimbwambo2299 6 років тому +41

    Sijawah pata like jamon. Naomben like

  • @geoffreygithinji2598
    @geoffreygithinji2598 6 років тому +1

    Wakenya pia wanamkubali joti wapi like saa wakenya

  • @jei_maimu6957
    @jei_maimu6957 6 років тому +93

    wapili kukoment😂😂 wa kwanza kuona,Like kama joti kashindikana kwa ujinga😂😂😂🙌🔥

  • @elsnyng6815
    @elsnyng6815 6 років тому +5

    Unashangaa kitobo kwenye nguo, wewe kwani kitobo hauna😂😂😂😂

  • @rachelraphael7064
    @rachelraphael7064 6 років тому +14

    Haha meipenda..
    Mitumba km yote

  • @seifyusuph9627
    @seifyusuph9627 6 років тому +7

    kavaa mzungu bado mswahili😁😁😁😁

  • @jumabuckary7698
    @jumabuckary7698 3 роки тому

    Mtumba huo kavaa mzungu bado mswahili. Hahahahaha joti namba 1

  • @s.b.m.tanzania440
    @s.b.m.tanzania440 6 років тому

    mtumba huo huo kavaa mzunguu bado mswahili kweli hiyo Kali bna

  • @kamgomoli3650
    @kamgomoli3650 6 років тому +1

    Hahahaaaaaaa joti ingekua wazungu wanakuelewa ungekuwa mchekeshaji bora duniani km Mr Bean

  • @yussufhimid5676
    @yussufhimid5676 6 років тому +15

    Nyie mnang’atwa na manyigu nini!!! 🤣 🤣 🤣

  • @ngupalirashidi4104
    @ngupalirashidi4104 6 років тому +2

    Wanaopenda joti saluti naomba like zenu kama mnatuoenda wamakonde kama jot

  • @tunguizengo5996
    @tunguizengo5996 6 років тому +7

    eti hizo nguo zenu za kubana ukitoa haja inakaa hata wiki 3 😁😁😁😁😁😁

  • @johngasto7751
    @johngasto7751 6 років тому +22

    Eti kwan wee kitobo huna??😂😂😂😂

  • @shaibumkanda9194
    @shaibumkanda9194 6 років тому

    mtumba kavaa mzungu bado mswahili,joty nomaa

  • @mossesmatechi9022
    @mossesmatechi9022 6 років тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂 Chukueni zote nipeni Jelo 😂😂😂😂😂😂😂

  • @capitainrogers4990
    @capitainrogers4990 5 років тому +1

    We Unashangaa Kitobo Kwenye Nguo Wakati Kito Kila Mtu Anacho Kwani We Kitobo Huna😂😂😂😂

  • @juliusnkana6141
    @juliusnkana6141 6 років тому +10

    Utakuja kutuuwa 😂😂😂😂😂

  • @stevenlyimo6101
    @stevenlyimo6101 6 років тому +1

    joti we muhuni sanaaa bt keep up kaz zako nazikubali sana 😂😂😂😂😂😃😃😃

  • @emanuelamos4039
    @emanuelamos4039 6 років тому +31

    Nikitokaga kuchek mark angel huwa nakuja na hapa

  • @humphreynduye6239
    @humphreynduye6239 6 років тому

    Gd,,,idea jot,,,,,wth u busnes,,,i like it,,,,

  • @jumachai4406
    @jumachai4406 6 років тому

    Nyie weu nyiee mmeshindikaa asee nice

  • @abrahamkanuya9947
    @abrahamkanuya9947 6 років тому +5

    motoooo kablaaa cjaichek😁😁😁😁😂😁😁

  • @yakobosengasu8073
    @yakobosengasu8073 6 років тому

    Joti ww noma sana kama unamkubali joti gonga like km zote

    • @TMaxmwanajeshi
      @TMaxmwanajeshi 5 років тому

      Joti..............kweri we tapeli mmebadilishna kwa sm kweri we noma babu

  • @machozyonline5243
    @machozyonline5243 6 років тому +1

    Hahaha joti ww mungu anakuona nakubali sana kaz zako walio pamoja na mm kwa joti gonga like zenu apa

  • @usher_bambi94
    @usher_bambi94 6 років тому +38

    Haya like kam unapenda kusoma comment kam mimi😂😂😂

  • @happygodfrey9445
    @happygodfrey9445 6 років тому +15

    Ahahaha jaman usisahau kushare na kusubscribe

  • @chancesholdan342
    @chancesholdan342 3 роки тому

    joti miyeyusho sana....bro tayar yuko legacy duniani🇹🇿

  • @mohammedrajabu7449
    @mohammedrajabu7449 4 роки тому +1

    Hahaha mlioshirikiki wote mmeua

  • @mulasimorina7779
    @mulasimorina7779 5 років тому +1

    😂😂😂nduu mze

  • @imeldabwire6628
    @imeldabwire6628 5 років тому

    unajua kutufurahisha jot kazi nzuri

  • @JovyTv
    @JovyTv 6 років тому +7

    Unajua Joti ndo anafanya Bangi ionekane mbaya

  • @sadickponera8221
    @sadickponera8221 5 років тому

    Daaaaaaaaa joti umetisha xana mitumba kama yoteeeeee

  • @sudyslaa8278
    @sudyslaa8278 6 років тому +28

    Like km unamwona joti hizi ndo zile nguo zake ambazo huwa anavaaga

  • @mwinjumazungu9079
    @mwinjumazungu9079 6 років тому +9

    First kukoment😎 joti umeonaa

  • @mirajingoma1838
    @mirajingoma1838 6 років тому +7

    we kweli muuza mitumba

  • @ligmmohd8112
    @ligmmohd8112 6 років тому +4

    UKIJAMBA KITU KINAPOTEA DADEQ WEW JOTI 😂😂😂😂😂😂😂

  • @rashidkayugwa7109
    @rashidkayugwa7109 6 років тому +18

    Wakwanza kucommeny

  • @dynermsumari3895
    @dynermsumari3895 6 років тому

    Hahahahhahqhqhaaaaaa uwiiii eti ikitoka kwa mswahili inakuwa tambara LA deki ila kweli...wabongo mweisho wa matatizo

  • @mauwam3627
    @mauwam3627 6 років тому +10

    🤣🤣😂😂joti huendi mbinguni haki na nkikuona nakutoa

  • @raymondraymond966
    @raymondraymond966 6 років тому +5

    😂😂😂😂😂 umeuwa sasa like hapa kama unameelewa joti

  • @jerrycharz25
    @jerrycharz25 6 років тому +13

    😂😂😂😂😂😂😂 mbavu zangu..dah ila ninakipaji cha kuchekexha ila xx naxhindwa wap nianze

    • @josephsanga474
      @josephsanga474 6 років тому

      Jerry Charz anzaa,hataaa chooni unaigiza na nzi

    • @Babayaga_47
      @Babayaga_47 6 років тому

      Anza mwanzo

    • @rajabunassoro7352
      @rajabunassoro7352 6 років тому

      Fuatilia azam tv mwezi wa kumi kuna mashindano ya kuchekesha unaweza ukatusua

    • @jerrycharz25
      @jerrycharz25 6 років тому

      @@rajabunassoro7352 thanks xana bro

  • @sir_leem_marlian1166
    @sir_leem_marlian1166 6 років тому +1

    Mtumba huo mtumba huo kavaa mzungu bado mswahili..

  • @emmanuelisitta4406
    @emmanuelisitta4406 4 роки тому +1

    kali

  • @revinamussa7320
    @revinamussa7320 6 років тому +3

    Kma mbavu zinauma kwa kicheko gonga like hapaa😂👌👌

  • @harrymakongwa1147
    @harrymakongwa1147 6 років тому +3

    8:08 mnang'atwa na manyigu nini🤣🤣🤣🤣

  • @marynon6033
    @marynon6033 6 років тому +5

    Eti mimi silengezi nimekaza hapo hapo hahahahah uwiiiiiiiiiii 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @boisalym9935
    @boisalym9935 6 років тому +6

    😂😂😂🤣🤣😂😂😂JOTI Dah!! 🙌🙌👏

  • @alexfrance5486
    @alexfrance5486 6 років тому

    safi saaaana ,ukiigiza kama Mzee inatisha saaana

  • @bonifasmdimi4615
    @bonifasmdimi4615 6 років тому +4

    Hahahahahahahaha joti noma sana hongera sana

  • @gaspopaulo9883
    @gaspopaulo9883 4 роки тому

    Hahaahahha joti mnang'atwa na manyigu nini hahahah

  • @brotherblood3871
    @brotherblood3871 6 років тому

    Nafurahi kuzaliwa zama hizi🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌so funny +255

  • @mwajumasaid4262
    @mwajumasaid4262 6 років тому +6

    Kitobo 😂😂😂

  • @henryjoseph5703
    @henryjoseph5703 6 років тому +2

    Nakukubali saana jotiii

  • @habibumohamed4317
    @habibumohamed4317 6 років тому

    Atthe beginning jot anatukumbusha kukoment lkn sio kuombanaombana LIKES

  • @marymodunda602
    @marymodunda602 6 років тому

    mnaopewa like mnafaidika nn Jaman mpaka nawataman, hebu na mm nipate like

  • @sabadmuya7137
    @sabadmuya7137 6 років тому +1

    mtu kuomba like ni umama mwanaume haombi like wana like wenyewe!!!!

  • @ahmedyally7558
    @ahmedyally7558 6 років тому

    😂😂😂😂kweli mitumba kama yoteeeee khaaaa joti we noma bn

  • @omariamiri5556
    @omariamiri5556 5 років тому

    Mtumba huo Mtumba huo kavaa mzungu mpak mswahili hayo mauno sasa

  • @tabuamour2609
    @tabuamour2609 6 років тому +1

    Mnang,atwa na manyigu nn 😂😂😂😂😂

  • @yamcleclement6909
    @yamcleclement6909 6 років тому

    Hahhaa kwel joti ni jembe mtumba huuooo wa leo leo kwan utachacha dah noma sn

  • @mayusahussein4721
    @mayusahussein4721 6 років тому +1

    Hahaaaa😅😅😅😅 joti kavaa mzungu bado mswahili

  • @muddysanga2989
    @muddysanga2989 6 років тому +1

    Noma sana !¡!!!!!!!

  • @marodamakungu3411
    @marodamakungu3411 3 роки тому +1

    Hahahaha hahahaha nimecheka aiseeeee

  • @saadsalum3253
    @saadsalum3253 6 років тому +1

    mnagatwa na manyigu nini uwiiiii joti bana umechukua nafasi ya marehem mzee majuto

  • @yusramadina4972
    @yusramadina4972 6 років тому +15

    Joti you're good actor 😂

  • @Views-mf8ir
    @Views-mf8ir 6 років тому +1

    Kavaa Mzungu bado mswahili...
    Yani nimecha kama fala vile

  • @elljimbogekigoma1993
    @elljimbogekigoma1993 6 років тому +2

    unalazimisha kuelewa hahaha#jot_bwana et munang,atwa na majibwa

  • @saadsalum3253
    @saadsalum3253 6 років тому +1

    km umeiskia wezereee mbue kasema mhhh joti bana mitaa yenu imechangamka mhhh twende sawa kwa like

  • @bongoland2901
    @bongoland2901 6 років тому +2

    Duh sanaa ya vichekesho umeifanya iwe yako sasa napenda kaz zako,unaubunifu mpya kila siku

  • @aswilemwakitwile9911
    @aswilemwakitwile9911 6 років тому +1

    Haaahaahaa kajisemea mjukuu wangu Blue wezeleeee

  • @mwinjumazungu9079
    @mwinjumazungu9079 6 років тому +4

    🤣🤣😂 we jamaa fundi

  • @Alpha-Tv09
    @Alpha-Tv09 6 років тому

    Huwa mimi nina like na kucomment bila hata kuangalia video....😅😅

  • @johnyusuph3221
    @johnyusuph3221 6 років тому

    Nyie mnang'atwa na manyigu mini! 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @fahimally3923
    @fahimally3923 5 років тому

    mtumba huwo mtumba huwo kavaa mzungu bado mswahili😂😂

  • @TheJoennie
    @TheJoennie 6 років тому +16

    nimekuja kuona watu wanavyoomba comments kama kazi.🙄🙄🙄🙄

  • @Allyzungujr
    @Allyzungujr 6 років тому +25

    wenye iphone tunaruhusiwa kucomment hapa hapa na wa tecno na itel

  • @mndigaboy2534
    @mndigaboy2534 6 років тому +43

    😂wale wakusoma coment tujuane angusha like yako hapa twende sawa

    • @amnemkubwa7353
      @amnemkubwa7353 6 років тому +1

      Nasoma comments uku nawatch vdeo😃😃😂😂😀😀😄🤣

    • @mndigaboy2534
      @mndigaboy2534 6 років тому

      Amne Mkubwa Hahaaaaaaaaaaaa hii tabia sjui ntaiacha lini 😂😂😂😂ni🔥🔥🔥🔥

    • @amnemkubwa7353
      @amnemkubwa7353 6 років тому +1

      @@mndigaboy2534 hahahhhh😀😄😃🤣😂🙌🙌🙌🙌 #hodari wa mboso😉😂😂😄

    • @ashminaabdullah5626
      @ashminaabdullah5626 6 років тому

      tupo

    • @amnemkubwa7353
      @amnemkubwa7353 6 років тому

      @@ashminaabdullah5626 hujambo🤗🤗😍

  • @rehemapeter2734
    @rehemapeter2734 6 років тому +1

    Hatari mimi wa 47 🔥🔥🔥🙌🙌🙌

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 роки тому +1

    😂😂Alieskia wee kitobo nini like yako hapa mdau😂😂

  • @tatujuma4912
    @tatujuma4912 6 років тому

    Hahahaha sema hawa wanunuzi wanakera joti katisha

  • @wazirisukari5178
    @wazirisukari5178 4 роки тому

    Shindweni kuomba kaz ombeni like tu mtazani nyie ndio mnaeigiza comedy hapo

  • @ashnaomi2385
    @ashnaomi2385 6 років тому +1

    Wasio mkubali joti wana ngatwa na manyigu hahaa zote jelo

  • @madpusher2036
    @madpusher2036 3 роки тому +1

    Joti 😂😂😂 legendary

  • @happygodifrey5867
    @happygodifrey5867 6 років тому

    Joti umetisha kinomanoma

  • @shantalismailhassan9878
    @shantalismailhassan9878 6 років тому

    😂😂😂 jamani joti si ukaze roho uende kwingine kutafuta riziki? Wanakuita unarudi tena. Mwisho utawapa bure.

  • @mussaharun7257
    @mussaharun7257 6 років тому +24

    Unajiuliza mtu una dislike video ya Joti una akili timamu kweli? Ama kweli haters kila mahali

  • @nasserhabsi9309
    @nasserhabsi9309 6 років тому +1

    Huyo sio
    Mnunuzi Mara book 4 Mara 2..
    Archana nao

  • @vedyerasmus8488
    @vedyerasmus8488 6 років тому

    nakukubali sana jot