First time viewer Nimeona ile vidio ya "how in laws says about marrying a Kenyan" ikiwa ya kwanza, Nikashidwa how comes mluyha amevaa Linda na kufunga kitambaa hivyo kwa wazungu? Kumbe is from inlaws.😊Hawa ni wazungu wamesitiri Miili yao na wako smart and beautiful lakini kuna huku kwetu waafrica tunakaa uchi wa unyama ati ni western style 😢😢.
lol… mama Jimmy I saw your Inlaw’s today but I wasn’t sure it’s them. Watu ufanana hapa America aki. Karibu niwaambie moja mbili but they got in the car before i got out of mine 😂😂😂💝 mko wasupuu sana. Next time I’ll hola ukuje nikupe the mahindis.
Nawatembelea soon angalao nipateko msichana wa ki Irish. Ni majirani hapa Kentucky. Nakuchako huko Christmas kuchukua mayai na kuku. Haki mama Jimmy si kuna fitting room.
@@millioner-lw4ql pliz she is just 15 the channel belongs to his bro, let the little girl develope in mind first may be some day she will have a channel and you will pour your issues with her, her clothing styles should be non of your business too dear child of Christ
BABA JIMMY SII UKUJEKO UNICHUKUE MIMI UNIPELEKAKO USA ., NATOKA KITALE SIDES ZA CHERANGANI JUST BFORE MAILI NANE., 2-3 KILOMETRES FROM KITALE TOWN., 😅LAKINI MIMI UCHEZEA KERICHO KITALE NA NAIROBI ., SOMETIMES HUWA NAFIKA SIDES ZA KIMININI PIA😂😂 MIMI NI MTU WA KANISAA
'mama mkwe ni kama yeye ni fundi' was hilarious 😂😂 spare my ribs. Mama Jimmy you've got the ball rolling doing youtube, gogogo
The love you guys have for each other is incredible, a family that loves God have peace and stays together,
Kweli...Mungu ni kila kitu
Nothing beats a humble beautiful woman baba jimmy u are blessed
am now addicted to watch this family a day cannot pass without me watching them
Hii ni think twice ya majuu so cool
Am addicted to watch this family for sure.
Just like that baba Jimmy got a well paying job on UA-cam. God is amazing
This is a real God fearing family,mama jimmy say your blessed ❤❤
“Tumegwama” aki mama Jimmy 😂😂😂😂😂
😂😂😂
Asante mama Jimmy, umetupatia elimu na experience nzury mpaka tuna hisi kama tuko huko live live. 🎉🎉🎉
I am Rams from congo 🇨🇩, woow you are very luck to have good mother in law
Mama Jimmy salamu nyingi sana, you are blessed , enjoy your shopping
I love your content dear....this video should be in your channel
Watching from Kenya 🇰🇪,we love you , beautiful family
Mama Jimmy's sister inlaw matching hair with dress how cutesy❤
First time viewer Nimeona ile vidio ya "how in laws says about marrying a Kenyan" ikiwa ya kwanza, Nikashidwa how comes mluyha amevaa Linda na kufunga kitambaa hivyo kwa wazungu? Kumbe is from inlaws.😊Hawa ni wazungu wamesitiri Miili yao na wako smart and beautiful lakini kuna huku kwetu waafrica tunakaa uchi wa unyama ati ni western style 😢😢.
😂😂😂Kwanza kwa matatu
Tis was interesting! Nice video 😊
Please be happy and know you are truly loved!!❤
Ghaii haki yani wengine tunashindwa kushika lugha za majirani wa kwetu,huku wazungu for short time wanajua kiswahili😂
THINK TWICE YA KENYA 😂
Thumbs up mama Jimmy hii video ni poa sana you doing well, ❤❤mambo mbaya like Jimmy's saying 😂😂
I love Thrift shopping too. Sorry that the car broke down😢
Wow that's great Isiah dad came to the rescue instead of spending/spending on a tow truck!! Very equiped family.
We are blessed with Baba Isaiah. ❤
Chukua Pingi one,how did that lady learn Kiswahili so fast?😮she so smart
They all lived in Kenya.
Asante for outing ya shopping
Mko sawa.....❤❤❤❤❤
Mama Jimmy you're blessed to have a family cares so much abt you
🇰🇪
Tupitiane jameni ❤❤
Ak nmekuwa addicted kuwatch mama jimmy sa undanga vaye hahahaha 🤣 I believe
Stay strong both god plan for both of you 🙏🙏🙏
Good family.God bless you so much
The love i have for this family aki❤❤❤
Reject mama mkwe that's yo mam koma sissy love you 😍
Mama jimmy, hiyo trouser iko langi nzuri, chukulia baba jimmy.
Rangi
Team kupitiana nipitieni niwapitie tugrow ❤
Hi done nipitie pia
Nipitie nimekupitia tayari
Nipotie pia
@@nish8917 hello, done nipitie pia
Yes have seen the nyash mama Jimmy that yellow dress is good on u
Wowww be blessed
Just lovely ❤❤❤❤❤❤.
I love rural life.
lol… mama Jimmy I saw your Inlaw’s today but I wasn’t sure it’s them. Watu ufanana hapa America aki. Karibu niwaambie moja mbili but they got in the car before i got out of mine 😂😂😂💝 mko wasupuu sana. Next time I’ll hola ukuje nikupe the mahindis.
Walikuwa wapi?
@ outside goodwill, sikukuona. Nilikuja kwambia my daughter alifurahi ati mum you should have ran after them and say hi😂😅
@@tvevaseveTafuta mama Jimmy Basi mumeet mkunywe kahawa.
Goodwill in which town?
Niliwaona outside goodwill,next time tusalimiane, nipitieni guys pale kwangu youtube
Nimekupitia
Mama J ,you aren't afraid of copyright yawa😂😂😂
Haha ate mumegwama.ni kama k ina kushinda kutamka pia huwa na sikia ukisema the pingi one instead of pink 😂😂😂.
This is lovely❤❤
Good family 🎉🎉🎉🎉
I like shopping too,nashika pesa ikienda🙆🏻♀️😄😄😄😂🤧
😂😂😂you are like my husband every week anashop especially siku ako off
Not very smart
Blessings broh ❤❤
Family is everything ❤
Blessed family.🎉🎉
Pink ✅Big ❌ ...kumbe all along unamaanisha pink 🤣
bingi😅
Si utwambie prices vile ziko hapo?😊
Goodwill ni mitumba ya USA
Beautiful
Lovely family
Thank you
Hiyo nzuri mama Jimmy umependeza
Hizi nguo ni poa...sio ati miniskirt,tumbo cut,micromini😂😂
😅😅😅hii inakaa ya jubilee
Wanauza "jaja" ya bink😂
Hamkuenda na Jimmy na Synthia
Kumbe ata wazungu uvaa mtush😂😂😂😂😂😂😂😂
Blessed
Nawatembelea soon angalao nipateko msichana wa ki Irish. Ni majirani hapa Kentucky. Nakuchako huko Christmas kuchukua mayai na kuku.
Haki mama Jimmy si kuna fitting room.
😅😅
Amazing
Happy familly❤❤❤
Mama jimmy nitumieko kiatu size no 44 😊
Good content ❤
Lovely video
Nipitie nikupitie guys
Hello done nipitie pia
@Marryforchrist done
@@Phoby_Aseno but sijaongezeka bado
@@Phoby_Aseno199 pitia pia
SAWA but tafuta color tamu
Mama Jimmy salimia kina Joan
Mama Jimmy zoea kuongea Kizungu. Uko na Wazungu na bado unang'ang'ana na Kiswahili ya Waluhya!
Hauskii wazungu wenyewe wakiongea kiswahili,,wachana na mana Jimmy
Kwani huyo jubilee hana dress ingine😂😂😂 tangu nimjue ako tu na hiyo .
This family lives a simple and peaceful life, just live them as they are, me I just admire them
@Marryforchrist my comment is none of your business 😏😏wewe sio wao
Ulianza kumujua lini???
Wachana na yeye tafatali..
Labda anapenda hiyo nguo sana.
@@millioner-lw4ql pliz she is just 15 the channel belongs to his bro, let the little girl develope in mind first may be some day she will have a channel and you will pour your issues with her, her clothing styles should be non of your business too dear child of Christ
@@mellanienyaboke4398 huwezi adika comment yako ng'ombe hii
Ma nguo muzuri kama yanini😅😅
With love Mama Jimmy and in laws . Love watching you and family. I love in the Bristol pA
Na sasa si ungepost kwa channel yako
Leo ndio nimejua mama Jimmy husema " the pink one" naskiaga kaa anasema thebingwa🙄🙄
Pia mm kofia ya pink😅
Pia mm nmeskia the bingwan so Lovely 🤩
hii ni kama 7 sundays kenya
Guys nipitieni Alafu ukinipitia you text here nikupitie pia❤
BABA JIMMY SII UKUJEKO UNICHUKUE MIMI UNIPELEKAKO USA ., NATOKA KITALE SIDES ZA CHERANGANI JUST BFORE MAILI NANE., 2-3 KILOMETRES FROM KITALE TOWN., 😅LAKINI MIMI UCHEZEA KERICHO KITALE NA NAIROBI ., SOMETIMES HUWA NAFIKA SIDES ZA KIMININI PIA😂😂 MIMI NI MTU WA KANISAA
Watu wa eka tano mtoke hapa 😂😂😂😂
Naipenda sana hii familia ina upendo wa kweli,MUNGU awatunze
Road to 100k subscribers
What's the point of having a headscarf yet you have not covered the hair? Or it's a style not religion?
Thanks for the video but stop using words like gugwama, sema kukwama please
Why are they covering their heads? Ama wako ile church ya prophet owuor
Salimika mother in love wako Na your sisters.
Wakupitiana mko
@@MercyKhasiala-e7c tuko
Nimeamua mnisaidie nitoke ushago nipate job us busaa itanimaliza huku
Kumbe US pia kuna think twice shop 😅😅
😂Ooh Yes
😂😂😂 awuoro
Hii ni think twice gold😂
😂😂😂
Oh yay.! Not everyone can afford brand new or designer clothes
❤❤❤❤
Nifupi hiyo
❤
Salimia rabbecca
🎉❤
pia ukumbuke bra
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
You are shouting good will the time you will start earning utajuwa maana ya that store you call good will😅
There’s nothing wrong with good will, that’s where humility comes in, you can be rich but still shop in regular/affordable stores
That Muzungu speaks Kiluyha that's not kiswahili
Mother in law ni mechanic😂
❤❤