Kumshinda Mlinzi wa Mlango | Pastor Gidion Kanyairita | Juni 2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025
  • Mlango ni sehemu ya kuingilia au kutokea. Mlango upo kusudi umsaidie mmoja kuingia na umzuie mwingine kuingia. Ukizuiwa usipite mlangoni basi umezuiwa usipate kilicho ndani.
    Kupitia somo hili utajua namna ya kumshinda adui wa mlango anayekuzuia kuingia katika maisha ambayo Mungu amekupangia.

КОМЕНТАРІ • 5