MOYO WA SHUKRANI - KWAYA YA MT. YOSEFU MFANYAKAZI, NANSIO //Mtunzi: Dr. Kelvin B. Bongole
Вставка
- Опубліковано 29 лис 2024
- Karibu utazame wimbo, wa kumshukuru Mungu kwa Mengi anayotujalia.
Mtunzi: Dr. Kelvin B. Bongole
Waimbaji: KWAYA YA MT. YOSEFU MFANYAKAZI, NANSIO
Sound Eng.: SHIMANYI FM & PASCHAL P.(DUKE)
Video Director: MDETE TM
Audio & Video: CGen Pro
#kwayakatoliki #africangospel #thanksgiving #newyear2024
Mungu azidi kuwatia moyo wazee wangu nakupenda sana baba yangu kipenzi benjamin❤🙏
Hakika tuzidi kuombeana mtoto wetu
Mungu ni mwema kwa watu wake nasi yatupasa kuwa na moyo wa shukrani katika yote
Amina sana
Hongereni kwa wimbo mtamu
Asante sana karibu kwa kusikiliza zaidi na zaidi
Pongezi kwenu Mt Yosefu Mfanayakazi toka Parokia ya Nansio. Pongezi pia kwa Mtunzi Dr Bongole. Tungo zake zimekuwa na pekee sana. Asante kwa kutupatia shukrani nzuri tunapouanza mwaka Mpya 2023... Heri ya Mwaka Mpya kwenu🎉🎉
Hongereni wimbo mzuli sana kheri ya mwaka mpya mungu aendelee kuwazindishia mafanikio mema na baraka wapendwa ❤❤
P😊😊9
Hongereni sana wana Yosefu 👏👏👏 Endeleeni kusonga mbele kwenye Utume kwa Mamlaka ya Mungu wetu hakika 🙏🙏🙏
asante sana Mungu azidi kutubariki sote
Hongereni sana Kwa kazi Nzuri, ❤❤❤❤❤
Wimbo mzuri sana. Hongereni kwa kazi nzuri
Asante sana
Big up sana wana wa Mungu,wimbo mtam sana ila mfupi
Amina sana ...!!!
naona mtunzi aliamua uwe hivyo ili usichoke kusikiliza
Jina la Bwana litukuzwe daima... Kazi nzuri sana
Milele na milele yote
Wimbo mzuri sana! Bongole ni mwamba sana kazi nzuri kwa wana Kwaya
asante sana
Wimbo mzuri.. uimbaji mzuri 😊✊
Amina Mungu atukuzwe
Kazi nzuri sana kazi imetulia sehemu yake, kheri ya mwaka mpya kwenu KYM- Nansio
Amina...!! Heri na kwako pia
Waooh hongereni sana waimbaji kwa kazi nzuri 🌹🥂herini sana kwa mwaka mpya2024😍
Asante sana Dada Salome kwa kuwa mtu wa kutoa pongezi. Ahsante ahsante. Heri ya Mwaka Mpya Kwako pia na familia yako.
Asante
Tumshukuru Mungu pamaja nasi🎉
tuko pamoja sana na mwaka huu mungu aendelee kutubariki sote
Hongereni sana wapendwa. Kazi nzuri sana. Namuona Baba Jose, Dada Mecktilida na wengineo, Kwa wanaonifahamu ni zamani sana. Ernest Emmanuel
Woow Karibu sana Mwl. Ernest Emmanuel Kwenye kwaya yako pendwa tazama ni miaka mingi sana tangu utoke huku ...!!! tunatumaini siku moja utatutembelea. karibu sana Mwalimu wetu
Yasinta Gembe anakusalimia sana
Once again Dr. Bongole never disappoint. 💯🔥
yes ni yeye , anaupiga mwingi sana
Too inspiring God bless you
Thanks for listening
Mko vyema sana
thanks much
nice one
thanks Much
Unyama mwingi, big up sana
Asante sana Mkuu
Hongereni sana 🎉
asante sana sana
Hongera Sana wapedwa
asante sana
WOW
Woow .....!!!
You're Welcome
Hongereni wimbo mzuri
asante sana