Kama nikula hayo majani kalieni kwenu huku hatutaki hayo majani kaleni nyinyi na wamnyama wenu muwekama wao wutafune sawa sawa na hao wanyama mukiweza pikeni kama boga mule
My friend mr. Governer what you need to do is just increase the levy for Muguka entering mombasa County and your county will make more &more money badala ya kupigana na cash crop yenye inaleta pesa bwana chanuka wacha! wacha kuuwa watu wa mombasa na njaa!!!!
Washenziiii Sanaa wabaraa ALLAH ATAWASHINDA INSHAALLAH
Wee kwenda
Kaya bombo mko wapii fanyeni ile kitu,wakimbie wasiwaicrudi Mombasa
Hawa wanamchezo sna tutawafungulia umbwa
Musichome muguka ina tusaidiya siisi madereve kutafutiya watoto maisha
Mokoka kama nimizuri pikeni mule hiyo iwe boga zenu mule na ugali usipate tabu kununua boga hiyo ni boga toshakwenu
I like driver with KCY 💪💪💪
Tulisema muguka itauswa mombasa, mtu akikaa kwa barabara pita na yeye💪
Kama nikula hayo majani kalieni kwenu huku hatutaki hayo majani kaleni nyinyi na wamnyama wenu muwekama wao wutafune sawa sawa na hao wanyama mukiweza pikeni kama boga mule
1:15
Dah!....unyonge huu sasa..Inabidi wananchi tuingilie kati ss
Yp hawa jamaa wanatufanya fala si wauze huko kwao
Basi pia wapwani wakubalishwe kutengeneza pombe haramu isafirishwe hadi embu vijana wa huko waikunywe kwa wingi
Upumbavu ni mbaya
Hapo hakuna mtu wa mombasa.
Really
😂😂😂
Vile inafaa
Wajaribu kilifi county kama niwanaume wauze kwao meru
Kaloleni iko under kilifi county na iko kwa wingi ama wasema kilifi Town?
My friend mr. Governer what you need to do is just increase the levy for Muguka entering mombasa County and your county will make more &more money badala ya kupigana na cash crop yenye inaleta pesa bwana chanuka wacha! wacha kuuwa watu wa mombasa na njaa!!!!
It will increase crime so that users can get money to pau high price
Wageuze hiyo gari iende sigoi
Discipline your children not to eat muguka. Muguka has and always will be legal in Kenya
Muguka is was there before ur born and will continue even after ur.....