KONGAMANO LA MAHUSIANO: KILA MILIMA NA VILIMA KWENYE MAHUSIANO SAWAZIKA-3
Вставка
- Опубліковано 14 гру 2024
- BWANA YESU asifiwe, karibu katika siku ya pili ya kongamano maalum la mahusiano lenye kichwa cha somo KILA MILIMA NA VILIMA KWENYE MAHUSIANO SAWAZIKA linalokujia leo siku ya Jumapili tarehe 25 Februari 2024 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.
Kongamano hili linaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.