Kwel usiombe yakukute Nlifiwa na mume wng nlisemwa nkatambua rafiki na ndg wa karb n yupi ila ctasahau mwaka 2019-2020 n miaka ambayo ilikuwa migumu jmn R.I.P hubby
Umeningusa sana huu mwimbo my dear mungu ndo rafili mwema binadamu anaweza kakuchoka lakini mungu hawezi akakuchoka mungu ndo mufaliji mwema hachoki kamwe milele na milele amina
Sijui ni shabikie wapi? Naachana na umbea pole mama, mwenyez mungu akutie nguvu. Nimetelekezwa barabaran baada ya kua house girl wa mtu mia kumi nikijua ni mume wangu na wtt wawili nikampatia zawadi. Kaja kuoa mwanamke aliekaa nae miezi 2😭😭. Msiba niliopo nao huu mwaka wa tano sijielewi nipo mtaani tu nakula bangi na masela, najiuliza angekufa na Mimi ningekufa, nguvu za kuandika hapa nimezipata kwako, mwenyez mungu akupe nguvu na mm pia. #kazi nzur sana.
Ooooh my God make her to be strong enough Menina our father is always there for you in everything that you need just believe in him not in people 🙏🏾 😭😭I'm so sorry for everything. Just to remind you that no matter what comes true in your life don't let it make you down or I can say that giving up is not good for you sweetheart trust God because his the King of everything ❤ 😭💯
Polesana ndugu yangu mungu yuponawe MENINA.NA BABY WAKO mtumainie yeye peke walah usiendi mbali na mwenyezimungu siku sinyingi tutawaona wapendwa wetu allah amupokeye mumewako na akupe sublaa insha'allah
Kwel usiombe yakukute
Nlifiwa na mume wng nlisemwa nkatambua rafiki na ndg wa karb n yupi ila ctasahau mwaka 2019-2020 n miaka ambayo ilikuwa migumu jmn
R.I.P hubby
Umeningusa sana huu mwimbo my dear mungu ndo rafili mwema binadamu anaweza kakuchoka lakini mungu hawezi akakuchoka mungu ndo mufaliji mwema hachoki kamwe milele na milele amina
Wa kwanza naomba like zenu 🙏🙏🙏
Dah! Nimelia sanaaa! Pole sana mpenzi. Mungu akupe nguvu na wepesi katika kipindi hiki kigumu kwako 😭😭😭😭😭
😭😭😭😭pole Sana vumilia kazi ya mungu Haina makosa tunamuombea🙏 na wanaadam hawana wema ckuzote vumiliaaa😭😭😭 nyimbo imeniliza sana
Sijui ni shabikie wapi? Naachana na umbea pole mama, mwenyez mungu akutie nguvu. Nimetelekezwa barabaran baada ya kua house girl wa mtu mia kumi nikijua ni mume wangu na wtt wawili nikampatia zawadi. Kaja kuoa mwanamke aliekaa nae miezi 2😭😭. Msiba niliopo nao huu mwaka wa tano sijielewi nipo mtaani tu nakula bangi na masela, najiuliza angekufa na Mimi ningekufa, nguvu za kuandika hapa nimezipata kwako, mwenyez mungu akupe nguvu na mm pia.
#kazi nzur sana.
Pole kipenzi
Pole sana
Pole my dada mungu akutie nguvu
Woooooow
Strong woman
Pole sana menina 🥺 Mungu ni mkuu akutue nguvu kipenzi.
Apumzike salama😓.
Daah pole menina mungu akutie nguvu😭
Hakuna dada Allah akupe subra na uvumlivu umepitia magumu kwa muda mfupi sana pole menina hichi kiatu hakivalik mmmmhhh
Pole sana menina
Kweli kila funzo lazima liwe na mwisho wake
Nilishangaa Mai kukusema vbaya mwanamke mwenzie kipindi cha msiba hakuna kitu kibaya kama kufiwa yani bora kuachana kuliko kufiwa
Umeniliza Maa! Allah azidi kukupa Subra Menina wangu😭
Daah the song inaumaa In shaa Allah utapata nguvu🥰
Polee sanaa Mungu akutunzie mtoto wako
Pole daa munqu akupe subra akutiye nquvu
Dah menina umenikumbusha mbali pole my dear mungu ni mwwma
Jamaan poole jaman
Pole sana jaman...Kifo kisikie kwa jiran jman...daaaah.😭🥺
Pole kipenz ni safari ya kila mtu..
Pole sana
Imenitouch kabisa😭😭
Pole sana menina mungu atakusaidia dada🙏🙏😭🙏
Pole sana jmn ila nyimbo nzuri mno 🔥🕊
Pole Sana dear alha akupe subra kwakipindi hiki kigum unachopitiya 😭😭😭😭
Wow nice song nimekubalia am from Kenyaa
Duuu! Pole menina
Pole sana mungu akupe subra
Pole saana jamani Allah akupe nguvu
Pole sana mpnz menina mungu akupe subra mmy😢🙏
Pole sana menina Mungu akupe nguvu na uvumilivu katika kipindi kigumu unachopitia... Mungu akutunzie mwanao🤲
Mungu akutie nguvu
Pole mamy MUNGU akupe nguvu tumekumiss kwenye jua Kali
Umeniliza Menina
Poleni San menina
Allah atamkuza vyema katt inshaallah
Ooooh my God make her to be strong enough Menina our father is always there for you in everything that you need just believe in him not in people 🙏🏾 😭😭I'm so sorry for everything. Just to remind you that no matter what comes true in your life don't let it make you down or I can say that giving up is not good for you sweetheart trust God because his the King of everything ❤ 😭💯
Pole Boss
Daaa nimelia
😭😭😭pole dear
Duh pole Sana mpnz
Mola akupeewepes menina
Pole mpenzi Allah akutie nguvu
Allah akufanyie wepesi inshallah ❣️🙏
Pure talents I swear 💯...All the best girl 🙏
Pole mamy...perfect 👌
Pole baby😭
Dah jmn 😭😭😭😭pole dada menina 🤦🏿♀️🤦🏿♀️🤦🏿♀️🤦🏿♀️🤦🏿♀️ 😭dah najikuta natoka na chonzi 😭😭😭😠pole sn kaaaaa
Pole mama🙏
Pole sana 😭😭
duu 😭pole sana menina inauma sana 😥💔
Nce song
Pole sana dear mungu akutie nguvu aki inauma sana😭😭😭😭
Kizuka kashamaliza eda jaman mbona yupo mitandaoni anaimba tena dini inaruhusu kweli😪😪😪
Pole antii
Mungu akufanyie wepesi katika hali unayopitia😥
Pole kipenzi😥
Dada menina mungu akutie nguvu nyimbo inaliza jamn
Pole Sana menina nimelia sana ndo ya dunia 😭😭😭😭
Pole sana 😭😭😭🙏🙏
Innalillah wainna ilayhi rajiuun. Hata kichanga chako kishamfuata baba yake. Allah akupe subra😭
Mwanae yup bhn
Polesana ndugu yangu mungu yuponawe MENINA.NA BABY WAKO
mtumainie yeye peke walah usiendi mbali na mwenyezimungu siku sinyingi tutawaona wapendwa wetu allah amupokeye mumewako na akupe sublaa insha'allah
Pole jaman
Tuaambiwa dunia sio mbaya ila binadamu wazito iko siku kila mtu atalipa kwa atendalo pole sana
Asant mungu Wang 🙏🏽🙏🏽
😭😭😭😭😭take heart dear
Pole menina wangu😭😭
Pole sana Allah akupe nguvu
Nice one ❤️❤️❤️❤️😍
Be strong
Pole dada😭
Poleee 😭😭
Mungu akutie nguvu dear😭😭😭
Pole sana menina nimelia sana 😭😭
❤️❤️
pole super women
Umeniliza Allah akupe wepes😭😭😭😭
💕💕💕
Ss mmesema kichanga nako kamefariki apa asema anakilea tujue vip sie tuliokua wasikilizaji
🔥🔥🔥🔥
Pole
So pain😭😭
😭😭
Keep being strong dear🙏
🙏🙏🙏
Nimelia sn
😭😭😭May God comfort u mummy🙏
😭😭😭😭😭😭😭😭
Feel sorry my dear
😭😭😭😭😭😭😭
😭😭😭
so pain😢😢
🙏😭
🔥🔥🔥
Pole sana dada 😭😭allah akupe subra mamy
One day i like to be with you? I love your songs
😭🎤
😭😭😭😭😥😥
😢😢😢😢😢
Nikweli ila kaa enda kwanza au alikua ci mumeo wa ndoa