Huyu Mohammad Khamiis hiii Rast kashajimilikisha mpk Kaimu sheikh wa mkoa nmeona kampa ijaaza kwa kutikisa kichwa na kusema "sawasawa"😂😂😂😂 angalieni vzuri
Ndungu zanguni mawahabi kwanini nyinyi wachokozi? Mambo yenu hamfuatiliw wala hakuna anayehangaika kuwajibu na kuwatukana kupitia mitandao waacheni watu na mambo yao hapo anayesifiwa ni mtume na kazi aloifanya inawauma nini ?
Maashallah baaraka llahu fiiikum
Allaahumma swalli wasallim wabaarik alayhi
MAWAHABI WANAUMIA SANA ,HII SIO WIKI YA MOHAMMED BIN WAHABI ,NA UZUSHI WENU WA KUMTANGAZA MTU NA KUMUACHA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)
Allah akuongoze na atuongoze sote
kionzi una balaa kijana Mashaa ALLAH
Ni balaa
Hi imeenda
dooh yaa man lahuu ii'zuu shafa'ataau wahdauuu bdo tu kunaubishi
Balaa hilo ❤
Huyu Mohammad Khamiis hiii Rast kashajimilikisha mpk Kaimu sheikh wa mkoa nmeona kampa ijaaza kwa kutikisa kichwa na kusema "sawasawa"😂😂😂😂 angalieni vzuri
Hii Bayyati ameitendea haqqi sana mkali wa Rast
Nyinyi huyo kionzi amekunywa nn huko kwenye ajemi mbon mbaya sana huyu mtoto aisee🔥🔥🔥
Mtoto hatari maashallah
Kionzi ndio huyo mwenye kofia nyeupe??
Douh nalia mwenyew kisili sili
RAZDI HUYOOO
Kijana bado anakuja vzuri azidi kujifunza kwa wakongwe hawa
Watu wapo siriyazi na wana mapenzi na mtume ndio maana unawaona wanatoa pesa zaoooo
Kionzi ajemy ni yake
Ndungu zanguni mawahabi kwanini nyinyi wachokozi? Mambo yenu hamfuatiliw wala hakuna anayehangaika kuwajibu na kuwatukana kupitia mitandao waacheni watu na mambo yao hapo anayesifiwa ni mtume na kazi aloifanya inawauma nini ?
Chanel ya babdeo inaeneza bidaa na uzushi
Inamaana bidaa ni kumsifu mtume MOHAMMAD (S.A.W) ama tatizo ni babdeo kuugana na wanao sheherekeya mazazi ?
Huna akili ww mwehu
Bidaa ni kumswifu mtume Muhammad au ???
Anae sema hip kazi ni bidaa ana. Matatizo ya akili
😂😂
Jamani hiyo sio dini haram
Tupe dalili kaka
Kuekezea history ya mtume kwa sauti ya kuvutia ni HARAAM??.?
Tupe dalili na ushaidi wa uharamu wake Lau siyo tambuwa utaveba thima kuaramisha ama tatizo lako ww ni kusifiwa mtume MOHAMMAD (S.A.W) ??
Inawezekana haramu ni ww kuwepo kwako usiyempenda Mtume
Nikweli